T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,931
- 47,206
List uchwara. Eti Belarus inazipiga France na Japan. Eti Israel ya nne. Na Ukraine inaipiga Turkey, France, UK ambazo zinaipa msaada wa silaha zao za kawaida kabisa.
List ya wajinga hii.
List uchwara. Eti Belarus inazipiga France na Japan. Eti Israel ya nne. Na Ukraine inaipiga Turkey, France, UK ambazo zinaipa msaada wa silaha zao za kawaida kabisa.
Taarifa zinasema theluthi mbili za hivyo vifaru vya Russia ni chuma chakavu havifanyi kazi hivyo mnapaswa kurekebisha takwimu hapo.The also have Highest number of Military tanks :
Russia [emoji635]➙12,566
North Korea [emoji1188]➙6,645
United States [emoji631]➙5,500
China [emoji630]➙4,950
Egypt [emoji1093]➙4,664
India [emoji1128]➙4,614
Iran [emoji1130]➙4,071
Pakistan [emoji1191]➙3,742
Syria [emoji1238]➙2,616
South Korea [emoji2406]➙2,331
Turkey [emoji1250]➙2,229
Israel [emoji1134]➙2,200
Ukraine [emoji1255]➙1,890
OnaKwasasa Urusi ndo nchi namba moja kwa nguvu za kijeshi ikifuatiwa na Marekani kulingana na takwimu za kijeshi
BREAKING: Russia has moved to the top of the list of the world's strongest armies.
Strongest militaries:
1. Russia [emoji635]
2. USA [emoji631]
3. China [emoji630]
4. Israel [emoji1134]
5. South Korea [emoji2406]
6. Ukraine [emoji1255]
7. Iran [emoji1130]
8. UK [emoji636]
9. Germany [emoji629]
10. Turkey [emoji1250]
11. Saudi Arabia [emoji1210]
12. Belarus [emoji1044]
13. France [emoji632]
14. India [emoji1128]
15. Japan [emoji627]
16. Egypt [emoji1093]
17. Vietnam [emoji1264]
18. Uzbekistan [emoji1260]
19. Kazakhstan [emoji1138]
20. UAE [emoji1256]
*according to U.S. News and World Report
View attachment 2799283
Huyu Hamas mjinga sana😂😂
Wapo vizuri sana,wanatengeneza na kuuza Silaha, kwenye vita vya Iraq alitoa Manowari na wanamaji.Hivi Spain huwa ni nchi ya namna gani?
Kwenye list hapo siwaoni (japo ya mchongo sana). Pia sijawhi kabisa hata kusikia kauli yoyote ya kijeshi kutoka pale, achilia mbali kutuma silaha hata manati na mawe kwa upande wowote tangu imeibuka hii migogoro ya Ukraine na huu mpya wa huko gaza.
Ninachokikumbuka kuhusu wao ni kile kimgogoro cha katalunya basi.
Aunt yangu yupo huko valencia anasema wanasali sana, labda nchi nzima watakuwa wapo busy sana na misa.
Anayefahamu tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohhoooo asante. Nitawafuatilia zaidi.Wapo vizuri sana,wanatengeneza na kuuza Silaha, kwenye vita vya Iraq alitoa Manowari na wanamaji.
Bajeti ya Kijeshi ya North Korea imepitwa mbali na SouthHiyo namba tano sio typing error kweli!?
Badala ya North wakaweka South Korea!?
Jamaa uliadimika sana jukwaani.....Ulikua unaikimbiza sana jf mwaka juzi..Mkuu Joseverest ulipotelea wapi?...Wendelea kuta ndao!!TANZANIA VIPI
South Korea wapo vzr kwenye ka idara , huyo kiduku ni kiki tu ila mchovu sana , SK wapo vzr hata kuzidi mataifa ya ulaya unayoyajua wewe ila kwavile hawana bifu na USA huez wasikia sanaHiyo namba tano sio typing error kweli!?
Badala ya North wakaweka South Korea!?
Kijana atakuwa ana ndoa changa ( just kidding)Jamaa uliadimika sana jukwaani.....Ulikua unaikimbiza sana jf mwaka juzi..Mkuu Joseverest ulipotelea wapi?...Wendelea kuta ndao!!
Hahaha niliadimika kwenye majukumu moja na mbili ya kusongesha lifeJamaa uliadimika sana jukwaani.....Ulikua unaikimbiza sana jf mwaka juzi..Mkuu Joseverest ulipotelea wapi?...Wendelea kuta ndao!!
Hahahaha Russia kuipiku Marekani si jambo la leo... since then Russia yupo top[emoji28]Kwasasa Urusi ndo nchi namba moja kwa nguvu za kijeshi ikifuatiwa na Marekani kulingana na takwimu za kijeshi
BREAKING: Russia has moved to the top of the list of the world's strongest armies.
Strongest militaries:
1. Russia [emoji635]
2. USA [emoji631]
3. China [emoji630]
4. Israel [emoji1134]
5. South Korea [emoji2406]
6. Ukraine [emoji1255]
7. Iran [emoji1130]
8. UK [emoji636]
9. Germany [emoji629]
10. Turkey [emoji1250]
11. Saudi Arabia [emoji1210]
12. Belarus [emoji1044]
13. France [emoji632]
14. India [emoji1128]
15. Japan [emoji627]
16. Egypt [emoji1093]
17. Vietnam [emoji1264]
18. Uzbekistan [emoji1260]
19. Kazakhstan [emoji1138]
20. UAE [emoji1256]
*according to U.S. News and World Report
View attachment 2799283