Mzee wa Gizani
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,997
- 6,290
May kapaniki brexit mambo hayendi vizuri anawatoa watu kwenye focus
[emoji23][emoji23][emoji23]Walete mbwembwe zao zote lakini kombe la dunia libaki kama lilivyo..
Kwakweli atakayegusa ratio za kombe la dunia sitaelewana nae na hatua nitakazo chukua watakuja kujutia
hii inamaana kwamba kumbe urusi ndio baba lao la kikwelikweli.baba la babaNaona siku hizi Urusi ndo amekuwa wa kulaumiwa kila kitu!
Yaani wamalizane na Urusi? Ikipigwa vita kati yao kuna nchi zitafutwa kwenye ramaniWanamshambulia coz washamaliza kwa waarabu na waafrika so huyo ndio mbaya anayefuatia. Wakimalizana nae ataingia china maana naona korea kaskazini washatepeta.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dunia nzima tutawamindWalete mbwembwe zao zote lakini kombe la dunia libaki kama lilivyo..
Kwakweli atakayegusa ratiba za kombe la dunia sitaelewana nae na hatua nitakazo chukua watakuja kujutia
Yaani hawa jamaa wanataka kugusa pabaya...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dunia nzima tutawamind
Uingereza nadhani nayo imeanza kupwaya katika list ya mataifa ambayo ni headstrongs duniani. Wanawezaje ku jump to an Act of Aggression basing on assumptions? As of now sijaona popote pale wakiwa wame proof assumptions zao on Russia. However, huu mchezo umechezwa kitoto sana, hii si kati ya michezo inayoweza kuchezwa na Russia at all.
Yaani Russia watumie mbinu za akina Mwigulu? Mambosasa na akina Bashite? Huu mchezo umechezwa frim within waingereza wenyewe halafu they came out barking.
hii inamaana kwamba kumbe urusi ndio baba lao la kikwelikweli.baba la baba
Mkuu unaamini Urusi iliivamia Ukraine?!Crimea ni vikwazo vilivyotakana na Uvamizi wa Urusi nchinin Ukraine. Hivi ni vikwazo vingine ambavyo vinahusisha urusi kufanya shambulio la kijeshi nchini Uingereza. Hivyo wanaongezea vingine ili kuvunja kabisa mgongo wa Uchumi wa Urusi.
Mkuu unaamini Urusi iliivamia Ukraine?!
najua unatania....!!!Ndiyo ilivamia mipaka ya Ukraine na kumega jimbo la Crimea.