Urusi yaionya Uingereza kutolitisha Taifa hilo

Urusi yaionya Uingereza kutolitisha Taifa hilo

Uanpotuhumu Wewe ulietuhumu ndio Mwenye Jukumu la Kuleta ushahidi wa Tuhuma sio utake Mtu atoe ushahidi wa kujitetea wakati Wewe hujaelata ushahidi wa kutuhumu
 
Russians are really mathematicians...they are intelligent...they know how to assemble stuff logically. Hawana wawakilishi "vilaza" kwenye sehemu wanapotakiwa kuwakilishwa. kikao cha jana cha UNSC kimenipa mwanga zaidi juu ya Ndugu zetu hawa wa Russia.

Definetely! Hawaanaliii umetoka CCM ama CDM kama sisi, wanachojali una nini kichwani!! Hii ngozi nyeusi.....! Nilichotaka kusema Mungu anajua!!!!
 
Ninachofahamu mimi ni kwamba katika nyanja za ujasusi, hasa wale majasusi hasa wanaotembea na sehemu muhimu ya mustakabali wa nchi yao lazima na loose deal kama bargaining chip mara mambo yatakapokwenda ndivyo sivyo. Deal huonekana very valuable kwa adui wakati huku alishatoa taarifa kiwa mambo yakienda sivyo basi deal hii ndiyo nitaiuza ili kujiokoa au ku gain trust so that I can get more deep in their inner circles.

Kama kweli majasusi wa uingereza walifanikiwa kum brainwash huyu jamaa basi Russia wangem terminate kitambo sana, wasingehangaika kumteka na kuja eti kumfunga halafu baadaye sana ndiyo uingereza inakuja kugundua kuwa Russia wamemfunga mtoa habari wao. Russia iliwatengenezea maigizo waingereza wao wakajua ni tukio la kweli mpaka Uingereza walipokuja kugundua kuwa wamefanyiwa igizo ndiyo nao wakatafuta kum terminate huyu Russian lakini si kihasara bali katika namna itakayo wapa faida.

Hili tukio lilimefanywa na uingereza wentewe and not otherwise. Nakumbuka kipindi kile Russia na Qata wameshinda nafasi ya kuandaa kombe la dunia uingereza alijiapiza kuwa na yeye ataendelea na maandalizi just incase. (Hili la kombe la dunia silipi uzito at all).

Hapa ni kwamba Uingereza wamekuja kustuka baadaye sana kuwa jamaa aliwaaminisha tu kuwa wamem brainwash na deal zote alizowapa zilikua staged mapema ili kuwachota, ndipo wakamchezea huu mchezo na kujaribu kurudisha lawama kizembe kwa Russia. Uingereza inapitia vipindi vigumu sana kwa sasa, wanasiasa wao hasa waliopo madarakani watalichukua hili na kulipa promo kwa nguvu zote ili kufifisha na focus za watu. Wataka kuligeuza hili kuwa karata muhimu kwao kitu ambacho hakitawaacha salama.
Achana Na muingereza kaka, Sepp Blatter Rais aliyepita wa FIFA na Michael Platin wa UEFA walivyowanyima Uingereza Kuandaa mashindano haya, Uingereza iliapa lazima Hawa Jamaa wapoteze nafasi yao na mashtaka juu.
Nafikiri kilichotokea ulishuhudia mwenyewe.

Sasa Urusi soon ataisoma namba
 
Yaani wamalizane na Urusi? Ikipigwa vita kati yao kuna nchi zitafutwa kwenye ramani

Yaani Russia ikiamua kuifuta Uingereza na UK kwa ujumla ni sekunde 50 tutena kwa kakombora ka nyuklia kadogo tu
 
Achana Na muingereza kaka, Sepp Blatter Rais aliyepita wa FIFA na Michael Platin wa UEFA walivyowanyima Uingereza Kuandaa mashindano haya, Uingereza iliapa lazima Hawa Jamaa wapoteze nafasi yao na mashtaka juu.
Nafikiri kilichotokea ulishuhudia mwenyewe.

Sasa Urusi soon ataisoma namba

Mmmmh pengine Ndugu yangu hujui kinachoendelea kuhusu Russia
 
Huyu jamaa alikua urusi na kafungwa meaning wangeweza kumuua bila hii sumu.najiuliza lengo la UK kusema uongo wote huu na mikelele hii yote saiv.

Wazungu hawa sio watu...ni waongo na wazushi wakubwa
 
Putin kawatisha na Bomu lisiloonekana uchawi toka gambushi[emoji42]
 
Mkuu Prof good to see you bro,
The definition of An act of aggression is Janus-faced. What Theresa said can amount to an act of aggression, because it doesn't only need A legitimate use of armed forces of one state making military incursion into another states territory.

An act of aggression can be done even by state agents or even armed groups so long as they work under the umbrella of that country sending them. This was very clear in the case of Nicaragua v United States..The (International Court of Justice) ICJ was of the opinion that America was an aggressor even thou she did not send her armed forces but instead she armed the Sandinista rebels (So the jurisprudence of the Court with regard to Military Aggression was very broadened)

The International Criminal Tribunal for the Former Yugoslavia (ICTY) set a firm boundaries in the case of Dusko Tadič v The Prosecutor by giving out the tests of measuring whether the an armed group acts on behalf of another state. There is what we call Effective Control and Overall Control Tests (I advice you to read the case, its very Interesting. I am willing to provide you with materials for this if you may be interested )

NB: Henceforth, do not forget that an Act of aggression invokes double penalty under International law. At first a Nation State gets punished for international wrongful act under the Public International Law Principle of STATE RESPONSIBILITY. A State may be sanctioned or isolated by the international community or sometimes the security council may invoke Chapter Seven VII of the United Nations Charter 1945 and authorize military action against it. Refer the issue of North Korea in 1950, after she invaded South Korea by the crossing the 38th Parallel. On the other hand refer the Lockerbie Incident of 1988 where Libyan remote state operatives bombed the Pan-Am flight 103 (Cargo Plane) but the whole State suffered through sanctions and Isolation. And finally you can read the Rainbow Warrior Case, where French spies sunk a Environmental activists ship which was there to stop French Nuclear Bombing: France as a state paid indemnity fee for reparations to the families who lost their beloved ones and the spies who caused the homicide where detained in a remote island for three years (but they got out earlier than this)

At second instance,
A Crime of aggression can target the state officials who have perpetrated or orchestrated the Crime of Aggression. And this is because Criminal Responsibility is Individual Responsibility (Here you can refer the Leipzig trials after The First World War and Nuremberg trials after the Second World War). But unfortunately, since 1945 Nuremberg and Far East Military Trials no other state official has ever been prosecuted for the crime of aggression.

The Rome Statute establishing the International Criminal Court (ICC) lists it down as one of the International Crimes but it is not effective and not is not used. It was supposed to have been passed it after the Ugandan Convention in 2015 (If i remember correctly) but state officials members to the treaty are very unwilling to pass it (It is very dangerous to allow the crime to be tried by the Court)

In the current case,
Russia as a state can be held liable for An act of aggression which invokes the Principle of State Responsibility specifically under the periphery of Imputability theory because the act was state sponsored (if the British can only prove the claim)

And if they want to prosecute Vladimir Putin and cronies. They can only accuse them of Crimes Against humanity but again its too difficult because Russia is not a signatory of The Rome Statute which creates the ICC. And the crime of aggression is not operational within the Statute or anywhere..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NB: It just gets better and better......
And they only use state responsibility because that's the only argument they have (Yesterday Security Council meeting with regard to Salisbury Attacks was so hooooot, please watch it bro)
Lakini hata kama haujasaini hyo Rome statute establishing the ICC bado kuna avenue ya security council kukrefer ICC au ndio tuseme kisa russia yupo kwenye security council ataipiga chini tena kule ikija[emoji1]
 
Lakini hata kama haujasaini hyo Rome statute establishing the ICC bado kuna avenue ya security council kukrefer ICC au ndio tuseme kisa russia yupo kwenye security council ataipiga chini tena kule ikija[emoji1]

I agree with you,
The UNSC is malfunctioning and it needs massive reforms.
But the empirical observation is, Russians do not need a VETO to fend off the ICC Prosecutors.
Countries like Israel and Sudan have successfully evaded the claws of the ICC countless times without a VETO.
African leaders have discovered that they just need to scare the ICC with en masse abrogation of the Rome Statue and every thing will get back to normal (As it was in the case of Kenyatta). ICC is a one useless malfunctioning kangaroo court and we all know the truth that despite its deterrence narrative; The version of justice it offers is very selective. And for this world to be a better place we don't need a kangaroo Court that bends to the will of The Super States who fund it.
 
Lakini hata kama haujasaini hyo Rome statute establishing the ICC bado kuna avenue ya security council kukrefer ICC au ndio tuseme kisa russia yupo kwenye security council ataipiga chini tena kule ikija[emoji1]
Unaamini sana UN eeh
 
Mrussi akiamua kuisambaratisha uingereza ni muda wa lisaa li moja tu. Tena hatumii lile dude kuwahi kutokea lisilokuwa na limit..atatumia kadogo tu kutokana na eneo lenyewe.
 
Back
Top Bottom