Urusi yaingilia kati matamko ya mabalozi

Msaada pekee kutoka urusi ni kufanya mabadilishano ya kuwapeleka Vijana wa kitanzania kwenye uwanja wa mapambano na wao kutoa scholarship, nafasi za ajira urusi fake.
 
Mama si alisema angekuwa na uwezo angewatupa vijana wake nchi jirani basi atawapeleka wakafe ukraine
 
"Context ya Sweden kusitisha bilateral cooperation ni kwa sababu pesa zinaenda kufund Ukraine war."
 
Kichwa cha huu uzi kinapotosha

Context ya Sweden kusitisha bilateral cooperation ni kwa sababu pesa zinaenda kufund Ukraine war.

Hao Russia na sweden wapo wanajibizana kuhusu vita ya ukraine na Russia na sio kuhusu matamko ya mabolizi kuhusu serikali ya TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…