TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
I think Russians are usually ahead !So this time The Russian Federation won the Vaccine-Race.
KALAMAGANDA KABUDI Polofesa wa jalalani umesikia hiyooo. .Rais Vladimir Putin ametangaza kuwa Urusi imeidhinisha rasmi chanjo ya COVID19 iliyotengenezwa na Taasisi ya Galameya iliyopo Mji Mkuu wa nchi hiyo, Moscow
Akizungumza na Mawaziri kupitia mtandao, Rais Putin (67) amesema hii ni mara ya kwanza kwa chanjo dhidi ya CoronaVirus kuidhinishwa duniani
Ameongeza kuwa, chanjo hiyo imepitia hatua zote muhimu na kwamba binti yake aliyekuwa na homa ameitumia na anaendelea vizuri kwa sasa
Hata hivyo, Urusi haijatoa taarifa zozote za kisayansi kuhusiana na chanjo hiyo
===
Russia has officially registered a coronavirus vaccine developed by the Moscow-based Gamaleya Institute, President Vladimir Putin said on Russian state TV on Tuesday.
Speaking in a live teleconference with his cabinet ministers, Putin said the vaccine had gone through all the necessary checks.
The Russian President said one of his daughters has taken the vaccine; he said she had a slightly higher temperature, but that she now feels better.
Reports about Russia's vaccine have come amid concerns about its safety, effectiveness and allegations that the country has cut essential corners in its development.
Russian officials told CNN previously that crucial Phase III trials would take place after state registration of the vaccine.
Russia has released no scientific data on its vaccine testing and CNN is unable to verify its claimed safety or effectiveness.
Critics say the country's push for a vaccine comes amid political pressure from the Kremlin, which is keen to portray Russia as a global scientific force.
Source: CNN
Urusi ni dola la kijasusi, taarifa zake ni za kutiliwa shaka siku zote (kumbuka zile tuhuma za wanariadha wake kutumia dawa za kuongeza nguvu) isitoshe inatuhumiwa kuiba taarifa kuhusu chanjo za Corona zinazofanyiwa majaribio na makampuni ya dawa ya ulaya.So this time The Russian Federation won the Vaccine-Race.
Care to mention other areas which Russia is usually ahead ???I think Russians are usually ahead !
sOme of them is ''military weapons' technologies'' and 'counterintelligence'.Care to mention other areas which Russia is usually ahead ???
Bwana Mbonde kutoka dunia ya tatu,anabishana na watu walio tengenezeza vitu kibao vya kisayansi.Urusi haijawahi kuwa na sayansi ya hivyo! Kama wameshindwa kurekebisha Antonov, wataweza hili la nano tch!
Vaccine si rahisi ki hivyo tunvyoaminishwa taking into consideration kuwa viruses hawa have a high rate of mutation! Ngoja tuone, may be!Bwana Mbonde kutoka dunia ya tatu,anabishana na watu walio tengenezeza vitu kibao vya kisayansi.
So this time The Russian Federation won the Vaccine-Race.
Sio virahisi kwako Mbonde wa dunia ya tatu,huko dunia ya kwanza wameinvest hela nyingi ktk tafiti mbalimbali,hao Russia sio wajinga wanachokifanya wanakijua.Vaccine si rahisi ki hivyo tunvyoaminishwa taking into consideration kuwa viruses hawa have a high rate of mutation! Ngoja tuone, may be!
Nchi zaidi ya Ishirini zikiwemo zenye uwezo unaotambulika kisayansi zimeisha weka order ya mzigo wa chanjo hiyo. Sasa mkuu nchi zote hizi ni mbumbumbu kweli kiasi cha kuingizwa mtegoni na Russia? Jibu ni kuwa nchi hizi zinaamini Russia anaweza kufanya jambo hilo.Vaccine si rahisi ki hivyo tunvyoaminishwa taking into consideration kuwa viruses hawa have a high rate of mutation! Ngoja tuone, may be!
Wanasema satelite ya Sputinik kipindi hicho iliamsha ari ya kisayansi duniani. Hivyo na chanjo yao hii itasaidia kuamsha ari ya wanasayansi kutafuta mbinu bora zaidi kukabilina na virusi jamii ya corona na vya aina nyingine duniani. Hii inaonyesha jinsi gani Russia wana nia ya heri na utu kwa dunia hii.Chanjo inaitwa Sputnik jina kama la satellite yao ya kwanza.