Urusi yaanza kujenga mtambo wa nuclear nchini Iran

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
urusi imeanza ujenzi wa kinu cha nuclear kijulikanacho kama Bushar 2, huko Iran.
Kinu hicho ambacho kitazalisha umeme wenye MW 2,100 kitatumia teknolojia ya vinu vya nuclear ya kizazi cha tatu.
Makubariano ya ujenzi wa kinu hicho kati ya Moscow na Tehran yalifikiwa miaka mitatu iliyopita na yanaonyesha urafiki mkubwa uliopo baina ya serikali hizi mbili.
Source Rt
 
Hii kitu urusi iko after money tu! hivyo ni Faida kwa urusi na hasara kubwa kwa iran...na ukweli utabakia project haiko salama...
 
Wanawatengenezea lakini hawataweza kuwapa ujanja wote kwa sababu ni hatari sana hata kwa Russia yenyewe ambaye ni jirani yako. Kwa iyo vijana kutoka Tel Aviv pale Israel Lazima watadhuru tuu, iwe kwa njia ya kutumia Virus au kulipua kama walivyo fanya mwanzo walituma virus vikaaribu system yote na yule Mama mtaaramu wa nyuklia alipigwa bomu akafa
 
Halafu wataalam wa hizo tech ni Wayahudi wa kirusi.. kwa nini hawa watu hawajitambui??? Ukirejea Vita zote alizoshiriki mwarabu akisaidiwa na mrusi ni kushindwa tu...f'th column iko kazini
 
Wanawatengenezea lakini hawataweza kuwapa ujanja wote kwa sababu ni hatari sana hata kwa Russia yenyewe ambaye ni jirani yako. Kwa iyo vijana kutoka Tel Aviv pale Israel Lazima watadhuru tuu, iwe kwa njia ya kutumia Virus au kulipua kama walivyo fanya mwanzo walituma virus vikaaribu system yote na yule Mama mtaaramu wa nyuklia alipigwa bomu akafa
Watu mnalishana matango pori hicho ni kinu cha pili kipo cha kwanza kinaitwa Bushar 1 vyote ni vyakuzalishia umeme.
And by the way two weeks ago Israel kasema ana taarifa kuwa tayari Iran ina silaha za nyuklia..
 
ni vizur kwao
sio huku kwetu umeme mpaka usiku kwa usiku
au usirudi tu kabisa
wenzetu wapo mbali.
 
Iran ana vinu kibao tu vya nuclear vipo chini ya milima hii siri walitoa opposition wa iran... hivi vya umeme ni zuga tu ili ionakane kua Iran is conducting peaceful nuclear technology
 
Km Iran inampango wa kutengeneza submarines powered by nuclear fuels ndo ujue Tiyar Iran ina hiyo power
 
Back
Top Bottom