Urusi wazuiwa kutumia dola

na wegine tumepata ufadhiri wa kwenda huko mwaka huu... wana hazina ya dola za kutoshaa...
Ukija nione Ultsa 7 hapa ila acha Ku exagrate haha haha Urusi hana mnayoyasema ni Maskini tu ila ni ngumu kumwelewesha thomaso wa bongo mpaka wafike, UKIJA UTAWEKA MREJESHO HAPA KWA NAYOSEMAGA WATU WANABISHA MKATABA WANGU NA *** UNAISHA 2024 HIVO UTANIKUTA TU

Nime Ku DM namba yangu utanichek pia Nitakupa Location ukifika nikutembeze kidogo MOSCOW Najua huna Madhara Mtekaji kashaishia zake huko
 
Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Pro Russia wa hapa JF wanakwambia vikwazo havimtishi kabisa Putin,bila kujali haya madhara wanayoyapata hawa wa kawaida kama huyo Shemeji yako.
 
Taira kweli wee jamaa kuna jela zilizojaa kama za US Kwa nchi ziliozoendelea izi sanction hazitazidi miaka miwili aslimia 50 ya hizi sanctions zitatolewa na Putin hatoki madarakani wewe bwabwaja apa utasema ata biashara ya viazi unayo

Mkuu una ugomvi na matumizi ya herufi 'h'

Taira= Tahira
Ziliozoendelea=zilizoendelea
izi =hizi
apa=hapa
ata=hata
 
Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Bora umetoa ushuhuda kuna watu wanaamini wanaoumia ni ulaya tu ila russia ni mwendo wa bata.
 
Duh...kwa kweli wewe unateseka Sana....Ni kitu ambacho hakiwezekani...ila Russia inaweza kufanya hivyo Kama njia ya kuidhoofisha dola...
 
North Korea wanatumia dollar?? Una akili timamu? North korea hawanunui kitu chochote kwa dollar yapata miaka 30 saizi.
 
Uongo huu tulidanganywa tukiwa watoto, thibitisha umasikini wa north korea... taifa masikini linaweza kuwekeza kwenye tafiti za kisayansi kama nuclear??
Hizo propaganda za west hazifanyi kazi saizi.
 
Uongo huu tulidanganywa tukiwa watoto, thibitisha umasikini wa north korea... taifa masikini linaweza kuwekeza kwenye tafiti za kisayansi kama nuclear??
Hizo propaganda za west hazifanyi kazi saizi.
Tafiti at the expense of poor people
Kodi zote 90 percent zinaenda jeshini badala ya kuboresha maisha ya wananchi

Wewe hata upewe scholarship bure kusoma Vyuo vikuu North Korea ukisoma nani anatambua hiyo elimu yao ni takataka ya jalalani
 
Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Mkuu Malcolm..natumai shemejio aliwekeza kidogo hapa Bongo..kwa hali inavyoelekea huenda akawepo sana hapa Bongo na hili la kufungiwa account....asije akajikuta yuko home kwako au kwa wakwe kazi yake ni kubadili tu channel za TV! hahhaha
 
North Korea wanatumia dollar?? Una akili timamu? North korea hawanunui kitu chochote kwa dollar yapata miaka 30 saizi.
Wew ndo una akili Sasa ...hao North Korea..wanatumia Us dollars vizur tu..,

Na mpka walipata skendo, ya kuwa na kikundi chin ya mwamvuli wa serikali yao....kilichohuska na uchakataj wa dollar fek,...
 
Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Mwambie aandamane dunia Kijiji ataonekana tu mkuu kupinga upuuzi wa Putin na watoto wake wakike wale wawili
 
Taira kweli wee jamaa kuna jela zilizojaa kama za US Kwa nchi ziliozoendelea izi sanction hazitazidi miaka miwili aslimia 50 ya hizi sanctions zitatolewa na Putin hatoki madarakani wewe bwabwaja apa utasema ata biashara ya viazi unayo
Sasa wewe umejuaje kama hana biashara yoyote?
 
Ndio maana bidhaa zao wameamua kuuza kwa rubble. Sioni shida hapo.

Anayehitaji bidhaa russia atafute rubble. Hii pesa ya kirusi inakuja kupata nguvu sana hapo mbeleni.
 
Pole ndugu yangu unateseka kutokea wapi au unakalia kigogo? Kwamba urusi ana magobole? We jamaa upo serious au una mimber ya seneta wa US?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…