Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Sio kweli kabisaa, mimi nabisha,Nakunga mkono kwa hilo Shickland vita vya sakafuni kumbuka pia walienda Somalia miaka ya 90s waliuawa over 80% na wasomali walisalimu amri mpaka Leo mmarekani hamini jinzi gani mkenya alivyo mpiga msomali na kuweka kambi huko huko somali
Mateka anapress button ipi, umeshaona mateka wa vita wanavyokuwa, unajua kuwa mateka wa Isis wanakuwa striped off their original combat dressing?Kuwajulisah wenzako u r in trouble i jus a matter of pressing a button, Ni kama stress call za ndege na meli,
Bear in mind waliomkamata ni low techs,
Bado hapo hujaniambia kuhusu high tech, At least aliesema kuhusu satan-2 amesema kuhusu high tech
Mateka anapress button ipi, umeshaona mateka wa vita wanavyokuwa, unajua kuwa mateka wa Isis wanakuwa striped off their original combat dressing?
naomba unielezee kuhusu hyo ant balistic sytermInawezekana, Ila
Best army ni combination ya navy, Airforce na land forces,
Kwa best army kura yangu ningempa USA,
PIA IWAPO utafuatilia technology nyingi za kijeshi russia yupo nyuma ya USA, Yaani USA wanainvest pesa kubwa sana kutafiti na kugundua vitu vipya, Jiulize kina f15 eagle walitoka mwaka gani, Alaf russia alitoa 4th generation mwaka gani, nani alianzisha stealth technology,(kumbuka f117 night hawk), Fuatilia kuhusu NIMITZ CLASS CARRIERS, , yan ni mbo mengi,
My take: ni ugunduz mzuri, Najua halitatumika, Limewekwa mkwara tu. Ila ni hatua kubwa kwao(japo haina manufaa kwetu)
Ila je ipo vipi mbele ya anti-ballistic systems, Kumbumba us antiballistics system inadetect tangu pale ballistic inapokua launched.
US army still ni strongest n the best
Inawezekana, Ila
Best army ni combination ya navy, Airforce na land forces,
Kwa best army kura yangu ningempa USA,
PIA IWAPO utafuatilia technology nyingi za kijeshi russia yupo nyuma ya USA, Yaani USA wanainvest pesa kubwa sana kutafiti na kugundua vitu vipya, Jiulize kina f15 eagle walitoka mwaka gani, Alaf russia alitoa 4th generation mwaka gani, nani alianzisha stealth technology,(kumbuka f117 night hawk), Fuatilia kuhusu NIMITZ CLASS CARRIERS, , yan ni mbo mengi,
My take: ni ugunduz mzuri, Najua halitatumika, Limewekwa mkwara tu. Ila ni hatua kubwa kwao(japo haina manufaa kwetu)
Ila je ipo vipi mbele ya anti-ballistic systems, Kumbumba us antiballistics system inadetect tangu pale ballistic inapokua launched.
US army still ni strongest n the best
Ant Intercontinental Ballistic Messile za mrusi ni hatari, halafu kwa mujibu wa maelezo ya mitandaoni ni kwamba ICBM za mrusi haziko detactive kwenye rada. Kama unafuatilia habari za kimataifa utakumbuka kuna mazungumzo yalifanyika miaka michache iliyopita kuhusu kuanzisha mfumo wa kujilinda na makombora yanayoruka kutoka bara moja hadi lingine(ICBM)kwa nchi wanachama wa jumuiya ya kujihami ya nchi za magharibi(NATO) dhidi ya nchi korofi kama NK na Iran, makamanda wakasema kwamba bila urusi mkataba huo hautakuwa na maana kwa sababu urusi ndio yenye silaha hizo zinazoruka kutoka bara moja hadi lingine.RUssia kweli amedevelop icbm nyingi sana, Vp kuhusu anti-icbm
Mi kwa uelewa wangu mdogo, Aliye salama ni yule mwenyewe defense capability kubwa na sio attack capability,
Ila kuwa nazo zote mbili ni the best, I hope huyu ni usa
Rambo style ni habari nyingine. Yaani commando anaiita ndege na ndege inafika fasta na kutelemsha moto wa adabu.Long range missile with high precision hujssikia, hujasikia kuhusu kamanda wa Russia aliyetekwa but akaamuru wenzie wamtwange kwa kombora na kuteketeza maadui kibao?
Kwa propaganda zile za Hillary Clinton nashawishika kuamini maneno yakoBro rudi tena kachimbue kwa undani.. Warusi ni hatar Mkuu.. America ni wazur wa propaganda tu.. Lazima urusi ndo kwenyew...
Huwez amini but ndo ivo... Technolojia ya ndani ya Urusi.. Ni kubwa Kuliko marekani.. Lakini najua utaamini marekani ni bora.. USA are good in psychological attack.. Wanatangaza Bajet kubwa.. Wanapromote filamu za kijeshi za kimarekani wakidisplay huge technology.. So obvious lazima watu waingie kwenye hyo trap.. Nakuamin American is the best Army.Sawa. Ila niambie uzur wao, Mi nimetoa vimifano vidogo, Mbona We umekulimbilia kusema ni wazuri bila hata mfano BTW najua vitu vini kijesi ni classffied, Basi at least to hata hivyo vya wikipedia ambavyo sio classffied
Mkuu kumbuka sio kila kitu kinakuwa wazi kijeshi,Huwez amini but ndo ivo... Technolojia ya ndani ya Urusi.. Ni kubwa Kuliko marekani.. Lakini najua utaamini marekani ni bora.. USA are good in psychological attack.. Wanatangaza Bajet kubwa.. Wanapromote filamu za kijeshi za kimarekani wakidisplay huge technology.. So obvious lazima watu waingie kwenye hyo trap.. Nakuamin American is the best Army.
Lakini tafta wanajeshi hata wa hapa tz.. Wanaojua halafu uulize nani mkali kati Ya mrusi na marekani kijeshi na kitechnolojia..
Na zaid Americans wanapenda sifa na ujiko.. They do everything it takes waonekane the best.. Na kuna fact nyingi tu za kihstoria zmepotoshwa kufavor America don't trust everything as it is especially from USA.Sawa. Ila niambie uzur wao, Mi nimetoa vimifano vidogo, Mbona We umekulimbilia kusema ni wazuri bila hata mfano BTW najua vitu vini kijesi ni classffied, Basi at least to hata hivyo vya wikipedia ambavyo sio classffied
Ok ni draw fact zangu kutoka kwa watanzania wenzetu.. Ambao wanazijua hizi nchi vizur.. Kama ukikumbuka kuanzia kpind Cha cold war during 19..Urusi tulikuwa na uhusiano nao mzur tu.. Ko Kuna wanajeshi wetu wengi waliopata mafunzo ya ndani ya kiusalama ndani ya jeshi la Urusi.. Na pia ndo hao hao baada ya tz kutoumana na na upande wowote walinusa pia upande wa pili.. Ko nlipata uchambuzi mkubwa toka kwa jamaa hao.. Kias kwamba Kama ulivyosema kuna vitu vingine u can't write them here..Mkuu kumbuka sio kila kitu kinakuwa wazi kijeshi,
YAani kuna vitu ni clasffied kwa usalama wa nchi, Na kuna vitu ni unclassfied
So hapa tuongele unclassiffied tu, MAana tukisema kuhusu siri bazo ni classfied tunadanganyana tu,
Tuongelee vinavoonekaana na akina sie wa thord world a.k.a wadandiaji,
**thibitisha kuwa russia wapo juu ya USA Kijeshi, Tumia hiz hiz source zetu za kila siku.... **
Kuzijadiri ndio sisi hapa tutazinunua? Hao wakuu wako wa Giningi tukijadiri masuala ya nchi yao wanatushitaki kwa uchochezi. Bora nini?Jamani CT SCAN NA MRI zimekufa Muhimbili tuzijadili hizi ni muhimu kwetu kuliko makombora ya Russia
Mwenzako Russia aki-endorse kopo lake la nyuklia hiyo navy na anga na ardhi utavitumia wapi na atakuwa kashaifanya nchi majivu pamoja na hiyo mibomu yenu(us)Kumbuka vita ni combinatiom ya air+land+navy, The way unaweza intergrate haya makundi matatu kufanya kazi kama kundi moja basi ww ni bingwa, Russia ataendelea kuwa nyuma ya USA
Wewe ndio hauna mwelekeo Upo Upo tuHivi kwanini asilipue tu bongo ili tupotee tu maana hatuna muelekeo kabisa
Mimi nina muelekeo labda walipue familia yako, mda huu nipo ofisini (Serikalini) jioni nitakua na wahudumu wangu wa Saloon zangu na Mgahawa wanipe Taarifa huku nikipata bia mbili tatu, jana nimelipa ada zote za wadogo wangu wawili waliokosa Mkopo UD na UDOM, Kesho naenda Kiwangwa kusimamia chanjo ya kuku shambani kwangu nikitoka huko narudi home nikae na familia yangu, jioni naelekea sehemu nimesikia patakua na Bendi. Kesho kutwa Jpili tukitoka ibada na familia tunaelekea Beach tukapigwe upepo mpaka jioni, then Jumatatu ratiba ya kazi inaendelea.... baada ya kusema hivi naomba tusilipuliwe mimi nafurahia maishaHivi kwanini asilipue tu bongo ili tupotee tu maana hatuna muelekeo kabisa
Zipi hizo? Mbona hamzitaji, Mnaishia kusema zipo mana sio kweli mara hiki mara kile, Si mseme tu na sie wengien tuelimikeNa zaid Americans wanapenda sifa na ujiko.. They do everything it takes waonekane the best.. Na kuna fact nyingi tu za kihstoria zmepotoshwa kufavor America don't trust everything as it is especially from USA.
Sawa mkuu America is the best...Zipi hizo? Mbona hamzitaji, Mnaishia kusema zipo mana sio kweli mara hiki mara kile, Si mseme tu na sie wengien tuelimike
KUmbuka vita sio mabomu tu, kUmbuka kuna vita ya kisaikolojia so america sio wajinga kuanza kuwashikia watu akili.