Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Minaelewa ndo maana sihitaji kukariri kama wewe ambaye uko bize kuhifadhi/kukariri juzuu
Bro mie unadhani nahangaika na wewe!?
We wakuekewa ushahidi unaukataa!?
Aisee sitaki nicheke maana nimeshiba sana futari.
🙌🙌🙌😂😂😂
 
Bro mie unadhani nahangaika na wewe!?
We wakuekewa ushahidi unaukataa!?
Aisee sitaki nicheke maana nimeshiba sana futari.
🙌🙌🙌😂😂😂
Kama ungekua hauhangaiki na mimi usinge reply kijana wa madrasaa kiongozi wa kundi la jihadi ajaye
 
⚡#BREAKING Putin: Terrorist attack in Moscow is also part of Kiev regime's attacks on Russia — Reuters
 
Kama ungekua hauhangaiki na mimi usinge reply kijana wa madrasaa kiongozi wa kundi la jihadi ajaye
⚡#BREAKING Putin: Tunafahamu ni nani aliyetenda uhalifu sasa tunataka kujua ni nani aliyeamuru — Reuters
 
Siyo tena Isis
🤣🤣🤣🤣
Wazee wa Double Standard mmeanza kuwa wafuasi wa Netanyahu kwa maamuzi Magumu.. Ugaidi hauwezi achwa muueneze kisha muutetee... Puti keshaapa kwa Nyota inayoanguka kama Allah alivyoapa Quran 56:75 ukafiri
 
Wazee wa Double Standard mmeanza kuwa wafuasi wa Netanyahu kwa maamuzi Magumu.. Ugaidi hauwezi achwa muueneze kisha muutetee... Puti keshaapa kwa Nyota inayoanguka kama Allah alivyoapa Quran 56:75 ukafiri
🇷🇺 Vladimir Putin:

"Using various channels, the USA is trying to convince its satellites and other countries that, according to their intelligence, there is no Kiev traces in the Moscow terror attack."
 
Badala kuweka updates huko kinachojiri, mpo bize na upuuzi wa uislamu na ukristo mnakera 🦮 nyie 😏😏😏😏😏😏
 
Marekani na Ulaya wanalazimisha kuwa waliosika na shambulio Urusi ni Isis. Putin hayupo kabisa huko kasema wazi kwa nini mnawapangia na kulazimisha mnavyoraka nyie? Achane sisi tumeishafanya uchunguzi wetu na magaidi tumewakamata walikuwa wanataka kukimbilia walipotumwa.
 
Wanaukumbi.

BREAKING: INTERROGATION VIDEO OF MOSCOW TERROR SUSPECT

HE CLAIMS HE WAS RECRUITED VIA TELEGRAM:

'Police: “What did you do in Crocus?”

Suspect: “Shot.”

Police: “Whom?”

Suspect: “People.”

Police: “For what?”

Suspect: “For money. Half a million Rubles.”

Police: “Where did you get the weapons?”

Suspect: “They delivered the weapons themselves.”

Police: “Who are they?”

Suspect: “I don’t know. They wrote by Telegram without a name, without anything.”

BREAKING: VIDEO YA KUHOJIWA YA MTUHUMIWA WA UGAIDI MOSCOW

ANADAI ALIAJIRIWA KUPITIA TELEGRAM:

'Polisi: "Ulifanya nini huko Crocus?"

Mtuhumiwa: "Piga risasi."

Polisi: "Nani?"

Mtuhumiwa: "Watu."

Polisi: "Kwa nini?"

Mtuhumiwa: "Kwa pesa. Rubles nusu milioni."

Polisi: "Ulipata wapi silaha?"

Mshukiwa: "Walikabidhi silaha wenyewe."

Polisi: "Ni akina nani?"

Mtuhumiwa: "Sijui. Waliandika na Telegram bila jina, bila chochote.


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1771504136179077548?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Up Date============


View: https://x.com/marionawfal/status/1771601115592712379?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

UP DATE
==========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1772332240426422539?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

🔥🔥🔥🔥
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin amehutubia Taifa lake kwa mara nyingine leo akitoa msimamo kuhusu shambulizi la kigaidi lililoua zaidi ya Watu 130 Crocus City Hall ambapo amesema ni kweli Waislamu wenye itikadi kali wamehusika na shambulio kama Marekani na Washirika wake wanavyosema lakini Putin amesema bado kuna maswali mengi ya kujiuliza ili kumjua aliyewatuma Wahalifu hao, moja ya swali hilo likiwa ‘inawezekanaje Waislamu wa kweli wakaua Watu ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani!!”.

Putin amenukuliwa akisema “Huu uhalifu umefanywa na Waislamu wenye msimamo mkali , Marekani wanatumia hii fursa kujaribu kwa makusudi kuficha ukweli kuhusu wanaohusika na shambulizi na wanasema ISIS ndio wanahusika moja kwa moja na shambulizi lakini tunajua ambaye amepanga na kutekeleza shambulizi lakini tunachotamani kwa sasa ni kumjua aliyewatuma na kutoa amri wafanye shambulizi”

“Vyombo vyetu vya uchunguzi na vya kisheria vinatakiwa kujiuliza na kupata majibu ya maswali mengi ikiwemo kwamba ‘inawezekanaje?, Waislamu wenye msimamo mkali ambao wanajinasibu kuwa ni Waislamu wa kweli wanawezaje kufanya dhambi kubwa kama ile ya kuua Watu ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan!?’, swali hili na mengine ya kitaalamu yatasaidia kwenye uchunguzi wa shambulizi hili na tutapata majibu, tutajua nani ananufaika na shambulizi lile”

“Shambulizi hili linaweza kuwa lina mahusiano ya karibu kabisa na Mataifa/Watu ambao wanaipiga vita Urusi tangu kwaka 2014, maumivu ambayo wote tunayahisi na hamu tuliyonayo ya kumuadhibu kila aliyehusika tunatakiwa kuhakikisha uchunguzi unafanyika kwa viwango vya juu vya kitaalamu bila kumuonea Mtu au kuegemea upande wowote kwa sababu za kisiasa”
 
Kuna kitu kinachekesha sana kwa nini watu hawataki Putin hawatafute waliowatuma magaidi kushambulia Urusi???
 
The FAKE NEWS about ISIS was released by the Ukrainian Telegram channels and the media, all in order to shift the blame from themselves. The perpetrators are active soldiers in the Ukrainian Army.
Putin kasema leo ndo maana nakuitaga wewe ni mjinga
C86D48B5-A6AC-4C94-A511-083B674EE316.png
 
Kuna kitu kinachekesha sana kwa nini watu hawataki Putin hawatafute waliowatuma magaidi kushambulia Urusi???
Siulema ukraine ndo wanahusika leo umebadilisha tena gia
Nilikuambia waislamu ndo wamehusika tokea siku ya kwanza ila ukawa unabisha
 
Back
Top Bottom