Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,090
MBONA TUNAJAZANA UJINGA KM WATOTO WA PRIMARY ZA KATA?Kasome tena Na utafakari!!! Kilicho semwa kuwa cio kwamba anajitenga na internet bl anataka kujitoa kwenye mfumo WA internet WA kidunia ili kulinda Usalama wake Na vile vile kuna vitisho vya vikwazo vya kimtandao kwaiyo kufikia mpk April watakua wana kamilisha mfumo wao wa internet ambao saver zote zitapitia urusi lkn kwa watu wake wataweza pata taarifa za dunia ht km watakua na vikwazo vya kimtandao kupitia Mfumo mazubuti DNS ambao taarifa zote za kimtandao za ndan ya urusi zitabakia urusi Na urusi itakua na mamlaka za taarifa kutoka nje zp zina faa kwa watu wake kuzipata kwaiyo atajitegemea mwenyewe kima mambo ya kimtandao
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi mnajua maana ya Internet
au ni hivi visimu vyetu tunavyobofya hapa tunajiona tunamili Internet
mwambieni azime basi km hakukuta Warusi zaidi ya 80% wana mawasiliano hayo
kuna misimu km Blackberry hayapitii Tigo Voda au airtel sisi tunapitishwa huko tunajiona wakali
kuna watu kibao wanapitia Wifi nk
km ni kweli mobimba weka link sio kudanganyana huenda lugha ikawa tatizo kuna wanaojua kirusi humu