Urusi: Rais Putin hatohudhuria mazishi ya Gorbachev

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi.

Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022 akiwa na umri wa miaka 91, pia hatapewa heshima ya mazishi rasmi ya Serikali, na kumfanya kuwa kiongozi wa kwanza tangu Nikita Khrushchev kutopewa heshima hiyo.

Badala yake Putin ametoa heshima zake za mwisho kwa kiongozi huyo wa Soviet leo September 1,2022 asubuhi, akiacha maua karibu na jeneza lake kwenye ukumbi wa maombolezo wa Hospitali kuu ya Moscow.

==============================

Vladimir Putin will not attend the funeral of Mikhail Gorbachev, the last leader of the Soviet Union, the Kremlin has said, in what will be seen as an extraordinary snub by the Russian president.

Gorbachev, who died on Tuesday at 91, will also not receive an official state funeral, a Kremlin spokesperson indicated, making him the first leader since Nikita Khrushchev not to be given that honour.

The spokesperson, Dmitry Peskov, said schedule constraints meant Putin would not attend a public farewell ceremony at Moscow’s House of Unions, or the funeral at Novodevichy cemetery on Saturday. “Unfortunately, the president’s work schedule will not allow him,” Peskov said.

Putin did pay his respects to the Soviet leader on Thursday morning, leaving flowers by Gorbachev’s coffin at the mourning hall of Moscow’s Central Clinical hospital.

The Guardian
 
Maamuzi sahihi kabisa kutoka kwa watu wanaojitambua na ambao wapo tayari kulinda identity yao kwa gharama yoyote.

Kwa lengo la kuifanya Dunia sehemu salama ya kuishi, Lazima Russia iwepo na iwe na nguvu
 
Pumbavuu kama hizi ambazo hata kuvaa hazijuii zinabiahana na akili kubwaa za warusi..shwain kabisaa hili jitu leusi. Hata hivyo sijulaumu kati ya watu weusi elfu moja wenye kujitambua ni wawil au mmoja..sio bure serikal yako inakukamua tozo hati ya kujisaidia..shwainn kabisaa
Tulia bibie,naingiza taratiibu..,naichomeka Pole pole dadaa..,!
Shiiiiiiiiiiiiii..!
Imeingia eeeee...!!
Vumilia basi namaliziaaa..
 
Pumbavuu kama hizi ambazo hata kuvaa hazijuii zinabiahana na akili kubwaa za warusi..shwain kabisaa hili jitu leusi. Hata hivyo sijulaumu kati ya watu weusi elfu moja wenye kujitambua ni wawil au mmoja..sio bure serikal yako inakukamua tozo hati ya kujisaidia..shwainn kabisaa
Mkuu msamehe kaiba simu ya mazaake🤭🤭🤭🤭🤭
 
Back
Top Bottom