Urusi ni taifa la aina gani?

Urusi ni taifa la aina gani?

  • Ni taifa la kijamaa..... (wanafata falsafa za Karlmax)
  • Ni taifa linalo beba asilimia 11% ya nchi kavu ya dunia (linapakana na mabara yote kasoro Afrika australia na Antactica)
  • Ni taifa kubwa lenye Nuclear Arsenal nyingi kuliko mengine yote
  • Kwenye anga za kimataifa wana jali Utu zaidi ya madili (kwamfano, vita ya Syra mataifa menge yalitoa ofa kwa Urusi ili iache kumlind "dicteta" Assad. Pia tunaona viongozi wengi wa magharibi wakipishana huku kuishawishi Urusi juu mlengo wake huko Syria
  • Ni taifa lililo wekewa vikwazo na Marekani juu ya Mgogoro wa Krimea. (ukweli nin kwamba watu wa Crimea walipiga Kura huru na kuchagua kuwa sehemu ya Urusi kama vile watu wa Forkland walivo piga kura na kuchagua kuwa sehemu ya Uingereza badala ya Agentina ingawaje kisiwa hicho kipo karibu sana na Agentina badala ya Uingereza
  • Ni taifa lenye baridi kali sana
  • Kwenye vita ya pili ya Dunia walikufa warusi 70Million yaani sawa na Taifa zima la Venezuela au Iran lakini Dunia inalilia Wayahudi 7Milioni.
Tupe historia ya eneo la siberia.
1. Watu wake(tamaduni)
2. Shughuli(biashara)
Nasikia siberia ni eneo lenye viumbe wanaopatikana hapo tu hawapatikani sehemu nyingine. Kuna ukweli?
 
Ni nchi yenye jimbo mpaka nnje ya mipaka ya urusi.jimbo la kalinigrad ni jimbo ambalo ili ufike ni lazima upite nchi nyingineView attachment 823703
Hilo Jimbo wakati mengine yakijitenga wao walikuwa wapi? Wenzao wa Estonia, Belarus, Lithuania, Azerbaijan, Kyrgyzstan, Kazakhstan na Armenia wanatoka wao walikuwa wamelala usiingizi wa pono.

Vv
 
Sijawahi kusikia Marekani ikilia kwa unyonge kuilalamikia nchi yoyote kama ilivyolalamika kua Urusi imeingilia mifumo yake ya uchaguzi na kuvuruga uchaguzi w Marekani kwa manufaa ya Rais wa sasa wa USA

Kwa wale wajuzi wa mambo ya espionage naomba kujuzwa kuhusu uwezo wa kijasusi na kitechnolojia wa Taifa la Urusi ambalo kwa kwetu huku halipewi promo sana kama taifa kubwa na lenye nguvu kulinganisha na Marekani. Ninavyoelewa ingekua nchi nyingine ndio anglau imejaribu kufanya kitendo wanachodaiwa kukifanya Urusi basi ingepigwa mikwara si ya dunia hii

dah
 
Hilo Jimbo wakati mengine yakijitenga wao walikuwa wapi? Wenzao wa Estonia, Belarus, Lithuania, Azerbaijan, Kyrgyzstan, Kazakhstan na Armenia wanatoka wao walikuwa wamelala usiingizi wa pono.

Vv
Hilo jimbo halikuwa na haki ya kujitenga maana halijawahi kuwa taifa, jimbo hilo walilichukua warusi baada ya vita kuu ya pili ya dunia ni jimbo la kimkakati sana hasa kijeshi, limejaa silaha za hatari sana hilo jimbo
 
Usipumbazwe na ukubwa wa hilo eneo. Sehemu kubwa ni barafu. Maeneo kama yale ya siberia ni barafu tupu huko. Hivyo 99% ya population hiko western part of the country.
ila kuna rasilimali kule hasa gas na mafuta na bado haijawa explored

kwa hiyo bado ni faida kwao
 
Hilo jimbo halikuwa na haki ya kujitenga maana halijawahi kuwa taifa, jimbo hilo walilichukua warusi baada ya vita kuu ya pili ya dunia ni jimbo la kimkakati sana hasa kijeshi, limejaa silaha za hatari sana hilo jimbo
na mkakati wake mkubwa hasa ni uwepo wa bahari
 
  • Ni taifa la kijamaa..... (wanafata falsafa za Karlmax)
  • Ni taifa linalo beba asilimia 11% ya nchi kavu ya dunia (linapakana na mabara yote kasoro Afrika australia na Antactica)
  • Ni taifa kubwa lenye Nuclear Arsenal nyingi kuliko mengine yote
  • Kwenye anga za kimataifa wana jali Utu zaidi ya madili (kwamfano, vita ya Syra mataifa menge yalitoa ofa kwa Urusi ili iache kumlind "dicteta" Assad. Pia tunaona viongozi wengi wa magharibi wakipishana huku kuishawishi Urusi juu mlengo wake huko Syria
  • Ni taifa lililo wekewa vikwazo na Marekani juu ya Mgogoro wa Krimea. (ukweli nin kwamba watu wa Crimea walipiga Kura huru na kuchagua kuwa sehemu ya Urusi kama vile watu wa Forkland walivo piga kura na kuchagua kuwa sehemu ya Uingereza badala ya Agentina ingawaje kisiwa hicho kipo karibu sana na Agentina badala ya Uingereza
  • Ni taifa lenye baridi kali sana
  • Kwenye vita ya pili ya Dunia walikufa warusi 70Million yaani sawa na Taifa zima la Venezuela au Iran lakini Dunia inalilia Wayahudi 7Milioni.
hahaaa asante chief" nimecheka mnooo hapo kwenye aya ya mwisho
 
Usipumbazwe na ukubwa wa hilo eneo. Sehemu kubwa ni barafu. Maeneo kama yale ya siberia ni barafu tupu huko. Hivyo 99% ya population hiko western part of the country.
Kwenye barafu huko kuna deposit ya mafuta na gesi mkuu kwa hiyo ukubwa unafaida vile vile.
 
Warusi ni wanywaji wazuri wa pombe kali.
 
Back
Top Bottom