Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,469
- 17,975
Tupe historia ya eneo la siberia.
- Ni taifa la kijamaa..... (wanafata falsafa za Karlmax)
- Ni taifa linalo beba asilimia 11% ya nchi kavu ya dunia (linapakana na mabara yote kasoro Afrika australia na Antactica)
- Ni taifa kubwa lenye Nuclear Arsenal nyingi kuliko mengine yote
- Kwenye anga za kimataifa wana jali Utu zaidi ya madili (kwamfano, vita ya Syra mataifa menge yalitoa ofa kwa Urusi ili iache kumlind "dicteta" Assad. Pia tunaona viongozi wengi wa magharibi wakipishana huku kuishawishi Urusi juu mlengo wake huko Syria
- Ni taifa lililo wekewa vikwazo na Marekani juu ya Mgogoro wa Krimea. (ukweli nin kwamba watu wa Crimea walipiga Kura huru na kuchagua kuwa sehemu ya Urusi kama vile watu wa Forkland walivo piga kura na kuchagua kuwa sehemu ya Uingereza badala ya Agentina ingawaje kisiwa hicho kipo karibu sana na Agentina badala ya Uingereza
- Ni taifa lenye baridi kali sana
- Kwenye vita ya pili ya Dunia walikufa warusi 70Million yaani sawa na Taifa zima la Venezuela au Iran lakini Dunia inalilia Wayahudi 7Milioni.
1. Watu wake(tamaduni)
2. Shughuli(biashara)
Nasikia siberia ni eneo lenye viumbe wanaopatikana hapo tu hawapatikani sehemu nyingine. Kuna ukweli?