Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,797
- 19,833
Sijawahi kusikia Marekani ikilia kwa unyonge kuilalamikia nchi yoyote kama ilivyolalamika kua Urusi imeingilia mifumo yake ya uchaguzi na kuvuruga uchaguzi w Marekani kwa manufaa ya Rais wa sasa wa USA
Kwa wale wajuzi wa mambo ya espionage naomba kujuzwa kuhusu uwezo wa kijasusi na kitechnolojia wa Taifa la Urusi ambalo kwa kwetu huku halipewi promo sana kama taifa kubwa na lenye nguvu kulinganisha na Marekani. Ninavyoelewa ingekua nchi nyingine ndio anglau imejaribu kufanya kitendo wanachodaiwa kukifanya Urusi basi ingepigwa mikwara si ya dunia hii