Mkuu nadhani hao ni IS!Nini hapo kitakuwa kinaendelea? Je western countries ndio waliopanga tukio na kuangamiza abiria wote ili kumuonya Putin aachane na agenda yake kumsupport Asaad? Je inawezekana west walifadhili mpango huu kuikomesha serikali ya Moscow?
Hao terrorists wanaodhaniwa kufanisha tukio hili waliwezaje kupenyeza bomu ndani ya ndege wakati ulinzi mkali ulikuwepo?
Ngoja tuone hii game inavyoenda.
Kwani bomu lilikuwa ndani ya ndege? au kombora limepigwa kutoka nje?
Siku za hawa mashetani yanosponsor isis etc zinahesabika
putin kasema ata deal nao popote watapojificha.
Ila Nchi zikiungana kusema ukweli zitawafutilia mbali hao IS
Sasa kwa nini mwanzoni walikataa?
Manake waliambiwa na Marekani hiyo ndege ilidondoshwa na bomu wao wakajifanya wajuaji.
Mwishowe wameisoma namba na kukubali.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Tunaambiwagwa russia ni hatari sana kijeshi, vp tena ndege zao zinalipuliwa? Na sasa russia yuko vitani na IS lakini IS bado ipo
Toka sku ya kwanza US na Uk walishasema ile ndege ilidunguliwa na magaidi,urusi wakakataa...sasa wamejionea wenyewe
Mmi nlishasema middle east kuingia ni lazima ukubali madhara kama haya...Putin kama ana intel ya kutosha ataweza kuwapata but sidha kama anayo