Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Kuwa na akili basi hata kidogo. Kusema vile haimaanishi kwamba waliofanya hilo jaribio sio Ukrainians. Kuna uwezekano wa Ukrainians waliingia Moscow kwa mission maalumu
sasa unapinga nini ? narudia tena maana yake maadui wapo ndani ya urusi tena mji mkuu , sijui bado unatetea nini ? ambacho unataka na mimi nitumie akili yako sio common sense

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wampe dogo zele missiles awanyooshe hao wapuuz wanaoona raha kuvamia na kuharibu nchi nyingine
 
Pumbafu. Waambie marekani wapige kombola Moscow or norh Korea alafu uone kama hawatamjibu
Hakuna nchi yenye ubavu wa kupambana na USA. Russia amalizane Kwanza na Ukraine aache ujinga. Anaiwaza marekani wakati Ukraine imetait kisaswasa.
 

..siamini kama Kremlin imeshambuliwa na Ukraine au USA.

..hiyo lazima itakuwa ni sabotage iliyofanywa na Warusi wenye access na mifumo ya ulinzi wa anga la Moscow / Urusi.
 
Yaani inasikitishana Putin alikuwa mtu ndaro sana mpaka wahuni wameenda kuigonga Kremlin hana ubavu wa kufanya chochote ananungunika tu

Halafu kumbe Urusi inapigika haiko salama, hawana ulinzi wowote wa anga, ndege mpaka inaenda kugonga mnara wa Kremlin wameshindwa ku-intersept

Putin kwa alivyo muoga humo Ikulu yake hatii tena maguu kwa woga, maamae watu wamemuonyesha tu kwamba usijidai wewe huko salama, ni vile uanze tumalize mchezo
 
Wamepiga ikulu kumuonesha kwamba yeye wakawaida, na ipo siku wataingia mazima.
 
Aibu ndio inepelekea watamke hivyo.kuwa.Marekani ndio.imeshambulia Kremlin

Wameona wakisema Ukraine ndio kushambulia hata warusi wangekosa imani na serikali na jeshi.

Wameona wataje taifa kubwa

Lakini uongo Ukraine ndie kamtwanga
I got your point sir! Salute.
 
Anachofanya Russia ni kuichoresha US kwenye nchi wanachama umoja wa mataifa kwamba yeye ndio kichochezi, mnafiki na tatizo la vita hio kutoisha pia kwa kitendo hiko inaenda mbali zaidi na kuichoresha US kama mnafiki asiyeitakia mema Ukraine pia kikwazo dhidi yao katika mazungumzo ya kusimama vita.

Lakini pia inawezekana kweli NATO ndio wahusika, lakini swali la kujiuliza ni kwa sababu ipi?
 
Wamepiga ikulu kumuonesha kwamba yeye wakawaida, na ipo siku wataingia mazima.
Kuna shushushu moja la Urusi lilikamatwa likahojiwa akasema Putin ni mtu mwenye hofu sana hana utulivu wa maisha anapenda kujibadilisha sura, ukisikia Putin ameenda kutembelea Crimea kumbe sio yeye ni wa bandia
 
Dogo Zele apewe missiles na figher jet ,opereseheni ya kumng'oa dikteta mwendawazimu wa kremlin ianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…