Urusi kuangushwa na Uturuki katika Mgogoro wa Azerbaijan na Armenia. Je, huu ndio mwisho wa Urusi?

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
We chekaa tu....😂😂

Yule Milosevic alitaka kufanya yale ya WAHUTU wenye Misimamo mikali kuwachinja WATUTSI kama kuku....oooh gosh UN italaumiwa hadi KIAMA kwa KUTOWEZA kuyazuia YALE....na ndio maana PAUL KAGAME anabaki kuwa HERO Rwanda na AFRIKA YA MASHARIKI....

Bila ya yeye....WATUTSI wangefutwa kama alivyotaka SHETANI SLOBODAN MILOSEVIC kwa raia wasio na hatia wakosovo waalbania.....
 
MAREKANI na NATO walichukua miaka zaidi ya 2 kupambana na Islamic state na bado jamaa wakawa na nguvu kila kukicha....... Ila ilimchukua URUSI miezi 6 tu Islamic state ikabaki jina tu.....

Alafu leo hii unasema URUSI na zaifu.hayo ni matumizi mabaya ya eshima ndugu

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Tatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....

Wale jamaa walikuwa STAGED kwa ajili ya kuivunja SYRIA....sasa inawezekanaje kwa US kuwamaliza haraka UTAKAVYO?!!!

Hivi kweli KINYAGO ulichokichonga unashindwaje KUPAMBANA nacho?!!!

Think THRICE
 
Angalia sbb zifuatazo:

Jumuiya ya kimataifa including Russia haikuwah kuikubalia Armenia kumiliki hili eneo lililo kwenye mgogoro, hivyo Russia haikuona umuhimu wa kuizuia Az. isifanye yake

Turkey iliyo upande wa Az. imekuwa rafiki wa Russia hivi karibuni, na Putin ameona aendeleze urafiki; kumbuka Uturuki ni nchi ya pili kwa ukubwa wa jeshi NATO ikitanguliwa na US. Mrussi anakiri siku zote NATO ndio adui yake namba 1; kujipendekeza kwa uturuki ni kumong'onyoa umoja wa adui yake: jambo ambalo amefanikiwa. Sasa Edrogan yuko karibu na putin kuliko Western leaders.

Sababu ya tatu ni kwamba kiongozi wa Armenia alionesha kuegemea upande wa nchi za ulaya(Pro western) na hivyo Russia kaona ni mda muafaka wa kum'punish. US haijaingilia moja kwa moja probably sababu ya uchaguzi.

Sasa kwenye makala yako kuhusisha kuanguka kwa Russia na China kwa nguvu ya Western countries naona hujaitendea haki kalamu ya uandishi.
Ww ni fundi nimekukubali, naili kauli yako iwe nanguvu ndoman mturuki namrusi ndo wanasimamia huo mpango wa Aman, hapa Kuna kitu kikubwa San cha uturuki na urusi, pia tusisahau popote mrusi alipokutana namturuki kwenye hii mizozo Wali maliza vizur San, mfano kule Libya mturuki alimzid mrusi kilichotokea mrus akapeleka ndege akawaondoa raia wake walikua wanapigana kule pia sirya wanaelewan San Hawa wanamipango mkakat mkubwa San bila kusahau amemuuzia S400 nahali yakua marekan kafanya kila awezalo kuzuia hii dili akashindwa, Kuna jambo kubwa San wajuvi waje

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....

Wale jamaa walikuwa STAGED kwa ajili ya kuivunja SYRIA....sasa inawezekanaje kwa US kuwamaliza haraka UTAKAVYO?!!!

Hivi kweli KINYAGO ulichokichonga unashindwaje KUPAMBANA nacho?!!!

Think THRICE
Manano ya kijiweni hayo
 
Urusi imebaki HISTORIA...

Walishindwa na TALIBAN waliowezeshwa na rafiki zetu kipenzi US kipindi kile vita ya MUJAHIDEEN kule Kandahar.....

Warusi walifurushwa mbio na TALIBAN....

UTURUKI iko NATO...nyuma yake kuna nguvu kubwa na bora zaidi ya wale WAKOMUNISTI WA MOSCOW....

Imeisha hiyo.....
Marekan walifurushwa na alshabab ndan ya somalia, Blackhawk zilidondoshwa mpaka jamaa wakaona isiwe tabu wakakimbia
 
Mkuu...

GDP zao tu ziko TOFAUTI...

Yaani nchi yenye GDP Dollar 21.5Trillion utaifananisha na Urusi yenye Dollar 1200billion?!!

Mkuu acha MASKHARA....

Kwa iyo uwo ndo ubora wa silaha ?....kweli akili ni nywele kila mtu ana zake

Silaha haipimwi kwa ela ndugu izo ni bangi za mchana kweupe M-16 machine gun bei yake ni mara 2 ya Ak-47 ila ukija kwenye ubora AK-47 ni habari nyingine kabisa........

.Ni mwanajeshi chizi pekee ambaye ukimwambia achague kati ya izo silaha 2 yeye achukue M-16 aache Ak-47
 
Tatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....

Wale jamaa walikuwa STAGED kwa ajili ya kuivunja SYRIA....sasa inawezekanaje kwa US kuwamaliza haraka UTAKAVYO?!!!

Hivi kweli KINYAGO ulichokichonga unashindwaje KUPAMBANA nacho?!!!

Think THRICE
Wamarekani walikuwa wanachinywa kama kuku alafu leo hii uje kusema wanajuana, utakuwa una matatizo labda.yani mtu anayemchinja ndugu yako leo hii useme mnajuana.acha utani mkuu

Ebu kuweni serious kidogo
 
Na ambacho ajui ni kwamba masilahi ya Urusi kwa Azabeijan ni makubwa sana na muhimu kuliko Armenia,mimi ninacho kiona Urusi ineweka ukaribu na Armenia kwa sababu tu ni majirani na hataki Marekani aitumie kuweka kambi zake,ila tofauti na hapo Armenia hana faida nyingine kwa Russia.
Urusi ana maslahi gani na Azerbaijan??? Mwenye influence zaidi Azerbaijan ni Uturuki na sio Russia
 
MAREKANI na NATO walichukua miaka zaidi ya 2 kupambana na Islamic state na bado jamaa wakawa na nguvu kila kukicha....... Ila ilimchukua URUSI miezi 6 tu Islamic state ikabaki jina tu.....

Alafu leo hii unasema URUSI na zaifu.hayo ni matumizi mabaya ya eshima ndugu

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Kwani IS imemalizwa na Urusi au Marekani na washirika wake??? Aliyekuwa kiongozi wa IS aliuliwa na Marekani au Urusi??
 
Urusi ana maslahi gani na Azerbaijan??? Mwenye influence zaidi Azerbaijan ni Uturuki na sio Russia
Acha ubishi usio kuwa na maana mkuu , biashara kati ya Azabeijan na Urusi ni kubwa zaidi ya mara tano ya biashara kati ya Urusi na Armenia kwa sababu Armenia uchumi wake ni mdogo mno.
Alafu kingine tambua ya kwamba Hata Azabeijan ni mnunuzi mukubwa wa silaa kutoka Urusi.
Urusi hana masilahi yeyote kwa Armenia zaidi ya kuitumia kulinda mipaka yake.
 
MAREKANI na NATO walichukua miaka zaidi ya 2 kupambana na Islamic state na bado jamaa wakawa na nguvu kila kukicha....... Ila ilimchukua URUSI miezi 6 tu Islamic state ikabaki jina tu.....

Alafu leo hii unasema URUSI na zaifu.hayo ni matumizi mabaya ya eshima ndugu

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Tatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....

Wale jamaa walikuwa STAGED kwa ajili ya kuivunja SYRIA....sasa inawezekanaje kwa US kuwamaliza haraka UTAKAVYO?!!!

Hivi kweli KINYAGO ulichokichonga unashindwaje KUPAMBANA nacho?!!!

Think THRICE
Wamarekani walikuwa wanachinywa kama kuku alafu leo hii uje kusema wanajuana, utakuwa una matatizo labda.yani mtu anayemchinja ndugu yako leo hii useme mnajuana.acha utani mkuu

Ebu kuweni serious kidogo
Niko serious Mkuu....

Kwani hizo habari ndio kwanza unazisikia kwangu?!!!

Mbona rafiki yako PUTIN anaongea kila Mara?!!!

Hivi unamfuatilia vyema rafiki yako MKOMUNISTI Putin mkuu...?!!!

Unaniangushaaa....😂😂

Binafsi amekuwa akisema kuwa ISIS wametengenezwa na anawatuhumu "watu fulani" waziwazi....aaah mkuu hata hili nalo ni UTOTO?!!!

😂😂
 
Kwa iyo uwo ndo ubora wa silaha ?....kweli akili ni nywele kila mtu ana zake

Silaha haipimwi kwa ela ndugu izo ni bangi za mchana kweupe M-16 machine gun bei yake ni mara 2 ya Ak-47 ila ukija kwenye ubora AK-47 ni habari nyingine kabisa........

.Ni mwanajeshi chizi pekee ambaye ukimwambia achague kati ya izo silaha 2 yeye achukue M-16 aache Ak-47
😂😂😂
Mkuu kweli wewe ni mkomunisti....

Twende hivi....

Ninasemaje MWANAJESHI huyo atakuwa ni mkomunisti ama amepigana vita kule AFGHANISTAN...

M-16 Ni bora kuliko AK 47 KALASHNIKOV....

1.M-16 ni nyepesi MNOOO kuliko hiyo KALASHNIKOV.....
2.M-16 ina uwezo wa kufyatua risasi mbali zaidi ya mita 400(Viwanja 4 vya mpira wa Miguu) zaidi ya hilo "dubwasha la kirusi" ambalo HALIPENYI zaidi ya VIWANJA VIWILI VYA MPIRA....
Dubwasha zito Kama nini...dubwasha LINAUMIZA BEGA mnoooo 😂😂😂😂
 
Mkuu kweli wewe ni mkomunisti....

Twende hivi....

Ninasemaje MWANAJESHI huyo atakuwa ni mkomunisti ama amepigana vita kule AFGHANISTAN...

M-16 Ni bora kuliko AK 47 KALASHNIKOV....

1.M-16 ni nyepesi MNOOO kuliko hiyo KALASHNIKOV.....
2.M-16 ina uwezo wa kufyatua risasi mbali zaidi ya mita 400(Viwanja 4 vya mpira wa Miguu) zaidi ya hilo "dubwasha la kirusi" ambalo HALIPENYI zaidi ya VIWANJA VIWILI VYA MPIRA....
Dubwasha zito Kama nini...dubwasha LINAUMIZA BEGA mnoooo
Ni nchi gani kubwa duniani ambayo haijawai kutumia AK-47 ?

Acha kabisa kufananisha vitu vya kipumbavu na AK-47.Iyo bunduki ni habari nyingine kabisa wala uwezi ukapata hata mtu 1 wa kukusapoti kwa ili.AK-47 hata ukikuta umefukiwa chini miaka, ukifuta tu vumbi basi twende kazi.

Napata mashaka na uelewa wako ....
 
Tatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....

Wale jamaa walikuwa STAGED kwa ajili ya kuivunja SYRIA....sasa inawezekanaje kwa US kuwamaliza haraka UTAKAVYO?!!!

Hivi kweli KINYAGO ulichokichonga unashindwaje KUPAMBANA nacho?!!!

Think THRICE

Niko serious Mkuu....

Kwani hizo habari ndio kwanza unazisikia kwangu?!!!

Mbona rafiki yako PUTIN anaongea kila Mara?!!!

Hivi unamfuatilia vyema rafiki yako MKOMUNISTI Putin mkuu...?!!!

Unaniangushaaa....

Binafsi amekuwa akisema kuwa ISIS wametengenezwa na anawatuhumu "watu fulani" waziwazi....aaah mkuu hata hili nalo ni UTOTO?!!!

Wewe ndo umuelewi vizuri Putin ndugu.Islamic state ni kweli viongozi wake na wapiganaji ni wale waliokuwa waasi wa Syria.walipewa mafunzo na Marekani na washirika wake kwa ajili ya kumtoa Assad ila mwisho wa siku wakaona Wamarekani wanawazingua wakaanzisha utawala wao wenyewe.

Pasipo MAREKANI na NATO hili kundi ni kweli lisingekiwepo maana silaha zote walipata kutoka USA na NATO.iyo ndo maana ya bwana mkubwa Putin....

Sasa hapo sio ndo inamaanisha wanashilikiana na USA au NATO bali ni watu waliotokea kwenye mikono ya hawa mabwana
 
Marekan walifurushwa na alshabab ndan ya somalia, Blackhawk zilidondoshwa mpaka jamaa wakaona isiwe tabu wakakimbia
Mkuu hebu nisikilize....

Hao kina FARAH AIDEED walikuwa ni wajinga tu....

I remind you that Americans were leading UN troops kuwasaidia RAIA wa SOMALIA waliokuwa WANAKUFA kwa BAA LA NJAA(famine)...

Njaa iliwaua WASOMALI zaidi ya nusu MILIONI....

US wana huruma Sana Mkuu....

Walikwenda kuwashambulia WABABE WA KIVITA ambao walikuwa wanazuia MISAADA ya KIUTU kwa raia wasio na HATIA....

Sasa mtu ANASAIDIA WATU WENU...halafu "mazwazwa" yanataka SHIDA iendelee...BURE KABISA...EMPTY BRAINS 😂😂😂

Ni kweli WANAJESHI 18 wa US walivamiwa na kuuwawa....the terrific issue ni UPUMBAVU was wale wababe KUTEMBEZA MAITI za ASKARI WA US Mitaani Kama SIO BINADAMU...it's true GHATI(mirungi) is not healthy to mentally cognitive BRAIN...😂😂😂
 
Mkuu hebu nisikilize....

Hao kina FARAH AIDEED walikuwa ni wajinga tu....

I remind you that Americans were leading UN troops kuwasaidia RAIA wa SOMALIA waliokuwa WANAKUFA kwa BAA LA NJAA(famine)...

Njaa iliwaua WASOMALI zaidi ya nusu MILIONI....

US wana huruma Sana Mkuu....

Walikwenda kuwashambulia WABABE WA KIVITA ambao walikuwa wanazuia MISAADA ya KIUTU kwa raia wasio na HATIA....

Sasa mtu ANASAIDIA WATU WENU...halafu "mazwazwa" yanataka SHIDA iendelee...BURE KABISA...EMPTY BRAINS

Ni kweli WANAJESHI 18 wa US walivamiwa na kuuwawa....the terrific issue ni UPUMBAVU was wale wababe KUTEMBEZA MAITI za ASKARI WA US Mitaani Kama SIO BINADAMU...it's true GHATI(mirungi) is not healthy to mentally cognitive BRAIN...
Samahan Kaka,ukiandika neno kwa ajili ya kujibu kile ambacho mim nimeandika utanitendea haki km utaandika kwa kiswahili kwa sabab sipo vzr kwa kiingereza.
 
Back
Top Bottom