Urusi kuangushwa na Uturuki katika Mgogoro wa Azerbaijan na Armenia. Je, huu ndio mwisho wa Urusi?

300px-USS_Abraham_Lincoln_(CVN-72)_underway_in_the_Atlantic_Ocean_on_30_January_2019_(190130-N...JPG

Hizi ngoma US wanazo 11 duniani kote....

Hakuna ZWAZWA yeyote mwenye nazo bora na IDADI hiyo shubaaamit.....

Putin ATASUBIRI SANA....

Long live US....
Long live Biden....
Long live MAGUFULI...

Maendeleo hayana vyama!!
 
Nchi gani nyingine yenye nguvu unayoijua tofauti na Urusi kwenye uwo muungano uliyovunjika?.... .

Urusi alikuwa ndo kila kitu kwenye uwo Muungano hata silaha zote za nuclear alichukua zote yeye baada ya kuvunja muungano............

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni HISTORIA budaaa.....

Kumbuka JESHI JEKUNDU lilikuwa na ASKARI wengi kutoka NCHI ZA BALKAN....

Na kumbuka nchi hizo nyingi Kama AZERBAIJAN ya sasa ina watu wenye damu ya PERSIA...na mapersia wanajulikana kwa UJASIRI....ukitaka ujue waulize WAARABU wanywa maziwa ya ngamia watakueleza mziki wa WATURUKI na WAFURSI....

Man power ya URUSI imepungua Sana baada ya USSR kuvunjika....
 
Mwaka 1999 majeshi ya Nato yalifika kwenye uwanja wa ndege wa Kosovo wakakuta Warusi washauchukua uwanja wa ndege wa Kosovo.General wa Nato akamwambia General wa Urusi kuwa tumetumwa tuje kuchukua Airport kwa iyo mnatakiwa kuondoka na majeshi yenu.......

General wa Warusi akajibu kuwa tumeambiwa kuwa ili mtu mwingine achukue uthibiti wa huu uwanja basi sisi tuwe tumekufa muda uwo.General wa Nato akapiga simu makao makuu, akambiwa arudishe majeshi wala asije akafanya chochote kile.........

MAREKANI na NATO walichukua miaka zaidi ya 2 kupambana na Islamic state na bado jamaa wakawa na nguvu kila kukicha....... Ila ilimchukua URUSI miezi 6 tu Islamic state ikabaki jina tu.....

Alafu leo hii unasema URUSI na zaifu.hayo ni matumizi mabaya ya eshima ndugu

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1625973
Hizi ngoma US wanazo 11 duniani kote....

Hakuna ZWAZWA yeyote mwenye nazo bora na IDADI hiyo shubaaamit.....

Putin ATASUBIRI SANA....

Long live US....
Long live Biden....
Long live MAGUFULI...

Maendeleo hayana vyama!!
Unajua lakini kazi ya hayo madude?....hayo madude ni sawa tu na uwanja wa ndege wala hayana maana nyingine tofauti na hayo ndugu.mi nilijua unanionyeshea silaha gani kumbe umekuja na hayo madude

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 1999 majeshi ya Nato yalifika kwenye uwanja wa ndege wa Kosovo wakakuta Warusi washauchukua uwanja wa ndege wa Kosovo.General wa Nato akamwambia General wa Urusi kuwa tumetumwa tuje kuchukua Airport kwa iyo mnatakiwa kuondoka na majeshi yenu.......

General wa Warusi akajibu kuwa tumeambiwa kuwa ili mtu mwingine achukue uthibiti wa huu uwanja basi sisi tuwe tumekufa muda uwo.General wa Nato akapiga simu makao makuu, akambiwa arudishe majeshi wala asije akafanya chochote kile.........

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona UNAPINDUAPINDUA?!!

It's true RUSSIA walifika kabla ya NATO...ila unajua ya kuwa NATO walikuwa PEACEKEEPING kama jamaa zetu MONUSCO kule Kongo?!!!

Detarchment ya kwanza kufika ilikuwa ni hao WAINGEREZA(NATO) na Wala hakukuwa na mapambano...ikumbukwe kuwa NATO haikwenda KUPIGANA bali kuleta AMANI na kuwalinda WAKOSOVO?!!!
 
We una akili kweli......Nato walivamia YUGOSLAVIA wakawa wanawasaidia waasi wa kosovo.... Walituma ndege vita kupiga majeshi ya YUGOSLAVIA ili jimbo la kosovo liwe huru.wewe unasema walienda kulinda amani.....iyo taarifa umeitowa wapi ndugu?

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Unajua lakini kazi ya hayo madude?....hayo madude ni sawa tu na uwanja wa ndege wala hayana maana nyingine tofauti na hayo ndugu.mi nilijua unanionyeshea silaha gani kumbe umekuja na hayo madude

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Mkuu....

Warusi wanajitapa na RS-24 ICBM....

Ushamba wao ni maonyesho kubebwa na MALORI(trucks) ambazo si imara kama za MAREKANI....

Za US hazibebwi na vilori uchwara...na Kama wakibeba ujue kuwa ICBM zinakuwa Katika Yale MALORI yaliyojengwa kwa DHAHABU...
 
Attachments

  • 300px-USS_Abraham_Lincoln_(CVN-72)_underway_in_the_Atlantic_Ocean_on_30_January_2019_(190130-N...JPG
    300px-USS_Abraham_Lincoln_(CVN-72)_underway_in_the_Atlantic_Ocean_on_30_January_2019_(190130-N...JPG
    8.2 KB · Views: 1
We una akili kweli......Nato walivamia YUGOSLAVIA wakawa wanawasaidia waasi wa kosovo.... Walituma ndege vita kupiga majeshi ya YUGOSLAVIA ili jimbo la kosovo liwe huru.wewe unasema walienda kulinda amani.....iyo taarifa umeitowa wapi ndugu?

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Mkuu....

Unajua ya kwamba bila NATO kwenda basi YUGOSLAVIA ingewamaliza WAKOSOVO wa ALBANIA?!!!

NATO washukuriwe kwa kuwahami WAKOSOVO WA ALBANIA wasichinjwe na kuwa EXTERMINATED....

Ile move ilikuwa totally for humanitarian purpose Mkuu wangu....
 
Mkuu mbona UNAPINDUAPINDUA?!!

It's true RUSSIA walifika kabla ya NATO...ila unajua ya kuwa NATO walikuwa PEACEKEEPING kama jamaa zetu MONUSCO kule Kongo?!!!

Detarchment ya kwanza kufika ilikuwa ni hao WAINGEREZA(NATO) na Wala hakukuwa na mapambano...ikumbukwe kuwa NATO haikwenda KUPIGANA bali kuleta AMANI na kuwalinda WAKOSOVO?!!!
Kwa kukuongezea tu kwa Mara ya Kwanza ndege isiyonekana kwenye rada F-117 Nighthawk stealh ya MAREKANI ilitunguliwa na mfumo wa kizamani wa jeshi la YUGOSLAVIA aina ya S-125 neva/pachora....

Lilikuwa tukio la kushangaza sana na pigo kwa jeshi la Marekani

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu....

Unajua ya kwamba bila NATO kwenda basi YUGOSLAVIA ingewamaliza WAKOSOVO wa ALBANIA?!!!

NATO washukuriwe kwa kuwahami WAKOSOVO WA ALBANIA wasichinjwe na kuwa EXTERMINATED....

Ile move ilikuwa totally for humanitarian purpose Mkuu wangu....
Walipeleka jeshi ili kuwasaidia Wakosovo wawe huru ila wao walifanya unyama zaidi maana walikuwa wanapiga mabomu kila sehemu mpaka kwenye hospitali wao walikuwa wanapiga mabomu tu.......

Wao walifanya unyama zaidi

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Siungi mkono harakati za jiwe, lakini kusema Urusi inaangushwa na Uturuki ni kichekesho ambacho akisikia Angela Merkel atacheka hata azimie kama si kuaga dunia kabisa.

Nchi pekee duniani inayoweza kumjibu itakavyo mmarekani kwasababu ya nguvu zake za kijeshi ni Urusi.
China hajivunii jeshi bora bali jeshi kubwa. (China inawategemea pia wachina ambao ni wamarekani)

Uturuki si nchi ambayo unaweza kuipambanisha na nchi za ulaya kwenye nguvu za kijeshi.

Hilo jina Armania tu linaleta hisia za kuwa ni nchi hafifu ya Ulaya kuliko hata Serbia.

Wakati Rusia inarekodi stealth jet ya kwanza duniani su 57
USA imeshazicertify stealth jet zake vizazi vitatu kuweza kufanya operation.
( ikumbukwe hiyo su 57 bado haijasajiliwa kufanya operation yoyote)

Ingia google.

Ukiacha Urusi, taifa linaloweza kuichallenge marekani kwa nchi za Ulaya kwa sasa (likiwa kama limesahaulika kwa sababu ya mbinyo wa sheria za kimataifa dhidi yake.... ) UJERUMANI ni taifa pekee ambalo USA anaendelea kuheshimu siasa zake za nje licha ya kwamba amewezesha kulibana kisiasa.

Uturuki ni bwa mdogo kama akina Ukraine, Serbia au Kosovo.
 
Kwa kukuongezea tu kwa Mara ya Kwanza ndege isiyonekana kwenye rada F-117 Nighthawk stealh ya MAREKANI ilitunguliwa na mfumo wa kizamani wa jeshi la YUGOSLAVIA aina ya S-125 neva/pachora....

Lilikuwa tukio la kushangaza sana na pigo kwa jeshi la Marekani

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Sawa Mkuu...

Ninakubali Hilo....

Ila....

US hawataki mfumo wa ardhini was makombora kubebwa na MALORI kama wa URUSI NA CHINA....

Kwa sababu US wamegundua ni rahisi sana MAGARI hayo KUDUNGULIWA na ndio mana was makombora ya INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES(ICBM) wanayatengeneza kwa mfumo wa SILO....huu ni ngumu KUNG'AMUA uwepo wa YALIPO....japo URUSI nao anao ila HANA SILO bora na nyingi kama superpower US....
 
We umejuaje kama za URUSI sio bora ndugu wakati katika top 10 zipo za WARUSI ndo zinaongoza au wewe unajua sana kuliko waliyoweka listi ?......

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Walipeleka jeshi ili kuwasaidia Wakosovo wawe huru ila wao walifanya unyama zaidi maana walikuwa wanapiga mabomu kila sehemu mpaka kwenye hospitali wao walikuwa wanapiga mabomu tu.......

Wao walifanya unyama zaidi

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile ap
Mkuu I stand with NATO kwa walichokifanya zile siku zaidi ya 75....

Unajua kuwa SLOBODAN MILOSEVIC alishakuwa karibu KUWAFUTA wakosovo waalbania?!!!

Alishataka kufanya ETHNIC CLEANSING...GENOCIDE....

Yaani ni sawa na IRAN ilivyotishia kuwafuta WAISRAEL...unategemea dunia ikae kimya?!!!

Zile nguvu walizozitumia zilikuwa ni sahihi kuwahami RAIA wasiokuwa na NGUVU....

Kwanza Milosevic alikuwa hapigani tu na ASKARI "WAASI" wa KOSOVO bali KUCHINJA raia wasiokuwa na SILAHA....man.nninaa zake....
 
Back
Top Bottom