Urusi imenivunja moyo wangu zaidi sasa

Urusi imenivunja moyo wangu zaidi sasa

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
oparation uliianza vizur tu. sikatai malengo yako yakikua donbas? Sawa lakini unapotezaje mageneral zaid ya 10+ na batalion zao kwenda kyiv?

sasa malengo yako russia sjui yalikua ni nini!!

1. kupunguza uwezo wa jeshi wa Ukraine?

kapunguza nini sjui hadi leo. unaambiwa hivi vita vikiisha Ukraine atakua top 10 military power jinsi Nato itakavyo wekeza kyiv. Save my words.

2. Kuondoa Nazi?
hakuna cha Nazi wala Dafu liliondolewa pale ukraine [emoji1255] mambo ndo kwanza yanaiva na gari limewaka

3. kuwalinda wanaoongea Kirusi?
maelfu ya raia wanakufa sjui hao raia nafkir watakua wanaongea kinyakyusa sjui. sio kirus?

4. Ukraine asiwe Mwanachama wa Nato?
bado hajajiondoa na application zinafanyika fresh tu.

5. Kuichukua Donbass. ?
hauna millitary control unaleta drama wanajeshi wa russia 3000+ wamezungukwa hkohko kwenye maeneo unayosema umeyakomboa nilitegemea sherehe na utiaji saini wa hayo majimbo ungefanyikia kherson. matokeo yake unajificha moscow.

Hakuna asie jua Donbas na luhask zilikua kwenye utawala wa waasi waliokua empowered by russian tangu 2014...
lakin huko hko ndiko maaskar wa russia na mageneral wao wanakimbizwa kama mbwa mwizi.

unatangaza ushindi vita havijaisha. au itakua Putin anaskiliza sana motivation speaker kua kwa imani yote yawezikana na hakuna lisilo shindikana? so ametangaza ushindi kwa Iman.

au ndio kujiwekea kidole na kunusa ukitegema utasikia harufu ya Perfume.
IMG_8103.jpg
 
Kisiasa anataka aonekane kashashinda kuyqchukua na kuyaunga Urusi kwa mapambio na Sherehe nyingi huko Moscow.

Halafu anawaachia majukumu ya kujilinda au kulindwa na kila Mrusi

Hivi unajua Hitler akiwa siku za mwisho 1944 alianza walaumu mageneral wake wamemhujumu na Wajerumani sababu ya yeye kushindwa vita.

Na wakati ananyakua Miji ya Poland na Czechoslovakia aliingia akisema anaenda walinda watu wenye asili ya kijerumani waliokuwa wakiuliwa huko

Historia inayojirudia tu
 
oparation uliianza vizur tu. sikatai malengo yako yakikua donbas.? sawa
lakini unapotezaje mageneral zaid ya 10+ na batalion zao kwenda kyiv?

sasa malengo yako russia sjui yalikua ni nini!!

1. kupunguza uwezo wa jeshi wa Ukraine?.

View attachment 2373700
 
Umekwisha jijibu kuhusu lengo la Putin - tatizo liko wapi sasa, si malengo yake ya kukomboa ethnic Russians in south east Ukraine yamekwisha tekelezwa to the letter juzi wamepiga kura za referundum kujitenga na utawala dhalimu wa Zelensky uliokuwa inawaua na kujeruhi wa Ukraine 14,000 wenye asili ya Urusi.

Sijawahi kumsikia Biden wala media za magharibi zikikemea ushetani huo, wapo kimya kabisa kazi kumsema vibaya Putin kwa kumzulia tuhuma za kila sampuli - na kwa kuwa Putin kawazidi kete US/UK na EU tutegemee kelele za chura ndio zitazidi zaidi lakini hilo halitamzuia Tembo (Putin) kunjwa maji atatimiza malengo yake yote kama alivyo yapanga tangu mwanzo.
 
2. Kuondoa Nazi?
Denazification has been a humbug since day one!

Hiyo ilikuwa ni propaganda ya Urusi ya kuhadaa watu wasiotafiti mambo ama wasiolijua hili suala kiundani.

Ni sawa na kumpatia mtu jina lolote baya kwanza kabla ya kupigana naye.

Ukweli ni kuwa, Unazi mamboleo upo karibu Ulaya nzima ikiwemo Urusi yenyewe. Ndani ya Urusi kuna makundi ya Unazi yenye ushawishi wa kisiasa na kijeshi ambapo baadhi yameshiriki katika operesheni mbalimbali za kijeshi za Urusi.

Kundi mojawapo maarufu ni Russian Imperial Movement lenye makao makuu yake St. Petersburg, Urusi. Hili kundi linamiliki kikosi maalumu cha jeshi ambacho kimekuwepo katika mapigano mashariki mwa Ukraine tangu mwaka 2014.
 
Hizo objective 1 and 2 ni either alifeli akabadili gia angani au ilikuwa mbinu ya kuteka majimbo sababu alijua jeshi la Ukraine si la kulidharau litamuumbua.

All in all anashikilia majimbo, ushindi kamili wa Ukraine utaonekana akirudisha majimbo. Halafu iwapo atafanikiwa raia wa hayo majimbo inabidi wawe na somo la uzalendo maana ni masnitch au waoga au wanaamini urusi ndio sehemu sahihi kuwepo.

Putin angepata upinzani mkubwa wa kisiasa kutoka kwa uma kwenye hayo majimbo asingekuwa na ujasiri aliouonyesha.
 
Wakati hii vita inaanza nilisema sisi watanzania ile sera yetu ya kutofungamana upande wowote ilikuwa bonge la sera. Well, katika dunia hii ya sasa hii sera inazidi kujidhihirisha ukweli wake na umuhimu wake. Hivi kuna faida gani ya kuwa pro-western au pro-russian kwenye hii vita. Mrusi hajawahi kuwa na faida kwa mwafrika zaidi tu ya kuuza kalashnikovs zake ili tuuane sisi kwa sisi. Westerners ni majambazi tu matapeli wanaouma na kupuliza kwa vipropaganda vyao vya kikoloni. Hapa kwa mrusi na myukraine, akishinda mrusi sawa, akishinda myukraine sawa, wakishindwa wote sawa.
 
oparation uliianza vizur tu. sikatai malengo yako yakikua donbas.? sawa
lakini unapotezaje mageneral zaid ya 10+ na batalion zao kwenda kyiv?

sasa malengo yako russia sjui yalikua ni nini!!

1. kupunguza uwezo wa jeshi wa Ukraine?.
kapunguza nini sjui hadi leo. unaambiwa hivi vita vikiisha Ukraine atakua top 10 military power jinsi Nato itakavyo wekeza kyiv. Save my words.

2. Kuondoa Nazi?
hakuna cha Nazi wala Dafu liliondolewa pale ukraine [emoji1255] mambo ndo kwanza yanaiva na gari limewaka

3. kuwalinda wanaoongea Kirusi?
maelfu ya raia wanakufa sjui hao raia nafkir watakua wanaongea kinyakyusa sjui. sio kirus?

4. Ukraine asiwe Mwanachama wa Nato?
bado hajajiondoa na application zinafanyika fresh tu.

5. Kuichukua Donbass. ?
hauna millitary control unaleta drama wanajeshi wa russia 3000+ wamezungukwa hkohko kwenye maeneo unayosema umeyakomboa nilitegemea sherehe na utiaji saini wa hayo majimbo ungefanyikia kherson. matokeo yake unajificha moscow.

Hakuna asie jua Donbas na luhask zilikua kwenye utawala wa waasi waliokua empowered by russian tangu 2014...
lakin huko hko ndiko maaskar wa russia na mageneral wao wanakimbizwa kama mbwa mwizi.

unatangaza ushindi vita havijaisha. au itakua Putin anaskiliza sana motivation speaker kua kwa imani yote yawezikana na hakuna lisilo shindikana? so ametangaza ushindi kwa Iman.

au ndio kujiwekea kidole na kunusa ukitegema utasikia harufu ya Perfume.
View attachment 2373700
wewe una ushahidi na unachoandika au ni propaganda za mitandao hakiko kabla hii vita ni siri kubwa tusubiri
 
Wakati hii vita inaanza nilisema sisi watanzania ile sera yetu ya kutofungamana upande wowote ilikuwa bonge la sera. Well, katika dunia hii ya sasa hii sera inazidi kujidhihirisha ukweli wake na umuhimu wake. Hivi kuna faida gani ya kuwa pro-western au pro-russian kwenye hii vita. Mrusi hajawahi kuwa na faida kwa mwafrika zaidi tu ya kuuza kalashnikovs zake ili tuuane sisi kwa sisi. Westerners ni majambazi tu matapeli wanaouma na kupuliza kwa vipropaganda vyao vya kikoloni. Hapa kwa mrusi na myukraine, akishinda mrusi sawa, akishinda myukraine sawa, wakishindwa wote sawa.
Taifa kutokufungamana na upande wowote ni uongo, woga na unafiki. Hicho kitu kiuhalisia hakiwezekani katika dunia iliyochanganyika na yenye kutegemeana. Ni sera zilizopitwa na wakati na zimekaa kufikirika tu.

Hivi kutokufungamana na upande wowote ni sawa na kufungamana na pande zote?
 
Denazification has been a humbug since day one!

Hiyo ilikuwa ni propaganda ya Urusi ya kuhadaa watu wasiotafiti mambo ama wasiolijua hili suala kiundani.

Ni sawa na kumpatia mtu jina lolote baya kwanza kabla ya kupigana naye.

Ukweli ni kuwa, Unazi mamboleo upo karibu Ulaya nzima ikiwemo Urusi yenyewe. Ndani ya Urusi kuna makundi ya Unazi yenye ushawishi wa kisiasa na kijeshi ambapo baadhi yameshiriki katika operesheni mbalimbali za kijeshi za Urusi.

Kundi mojawapo maarufu ni Russian Imperial Movement lenye makao makuu yake St. Petersburg, Urusi. Hili kundi linamiliki kikosi maalumu cha jeshi ambacho kimekuwepo katika mapigano mashariki mwa Ukraine tangu mwaka 2014.

asante kwa ufafanuz mkuu
 
Kisiasa anataka aonekane kashashinda kuyqchukua na kuyaunga Urusi kwa mapambio na Sherehe nyingi huko Moscow.

Halafu anawaachia majukumu ya kujilinda au kulindwa na kila Mrusi

Hivi unajua Hitler akiwa siku za mwisho 1944 alianza walaumu mageneral wake wamemhujumu na Wajerumani sababu ya yeye kushindwa vita.

Na wakati ananyakua Miji ya Poland na Czechoslovakia aliingia akisema anaenda walinda watu wenye asili ya kijerumani waliokuwa wakiuliwa huko

Historia inayojirudia tu

hitler is back in putins Face. now mda wa Hitler kurudishwa kuzimu where he belong
 
Taifa kutokufungamana na upande wowote ni uongo, woga na unafiki. Hicho kitu kiuhalisia hakiwezekani katika dunia iliyochanganyika na yenye kutegemeana. Ni sera zilizopitwa na wakati na zimekaa kufikirika tu.

Hivi kutokufungamana na upande wowote ni sawa na kufungamana na pande zote?

mataifa yanayo jiita hayafungaman ndio maskin na yametawaliwa na umalaya wa kisera. hku wanataka na hku wanataka.
 
Tunahangahika sana wakati Zelensky pale Kiev ana uhakika wa maisha, yeye na familia yake haijalishi Ukraine inashindwa au inashinda..

Putin yuko zake Moscow anakula bata tu...hajui hata kuna watu dunia ya tatu huku wapomstari wa mbele kwenye key board...

Ndugu wakigombana chukua jembe wakalime...kama sio wao basi vizazi vyao huko mbeleni vitaelewana tu....
 
oparation uliianza vizur tu. sikatai malengo yako yakikua donbas.? sawa
lakini unapotezaje mageneral zaid ya 10+ na batalion zao kwenda kyiv?

sasa malengo yako russia sjui yalikua ni nini!!

1. kupunguza uwezo wa jeshi wa Ukraine?.
kapunguza nini sjui hadi leo. unaambiwa hivi vita vikiisha Ukraine atakua top 10 military power jinsi Nato itakavyo wekeza kyiv. Save my words.

2. Kuondoa Nazi?
hakuna cha Nazi wala Dafu liliondolewa pale ukraine [emoji1255] mambo ndo kwanza yanaiva na gari limewaka

3. kuwalinda wanaoongea Kirusi?
maelfu ya raia wanakufa sjui hao raia nafkir watakua wanaongea kinyakyusa sjui. sio kirus?

4. Ukraine asiwe Mwanachama wa Nato?
bado hajajiondoa na application zinafanyika fresh tu.

5. Kuichukua Donbass. ?
hauna millitary control unaleta drama wanajeshi wa russia 3000+ wamezungukwa hkohko kwenye maeneo unayosema umeyakomboa nilitegemea sherehe na utiaji saini wa hayo majimbo ungefanyikia kherson. matokeo yake unajificha moscow.

Hakuna asie jua Donbas na luhask zilikua kwenye utawala wa waasi waliokua empowered by russian tangu 2014...
lakin huko hko ndiko maaskar wa russia na mageneral wao wanakimbizwa kama mbwa mwizi.

unatangaza ushindi vita havijaisha. au itakua Putin anaskiliza sana motivation speaker kua kwa imani yote yawezikana na hakuna lisilo shindikana? so ametangaza ushindi kwa Iman.

au ndio kujiwekea kidole na kunusa ukitegema utasikia harufu ya Perfume.
View attachment 2373700
Kwamba alifikiri balloon kumbe ukuta
 
Back
Top Bottom