Urusi imenivunja moyo wangu zaidi sasa

Urusi imenivunja moyo wangu zaidi sasa

Unapooji uhalali wa raia kupiga kura ya kuunga mkono kujiunga na urusi hapo ndo mashaka yangu yalipoanza juu yako.

Mkuu,Hawa raia walipiga kura wakiwa chini ya jeshi ..,Kuna wakati ulihoji kwa nini hao raia wasiandamane katika hayo majimbo Ili kupinga kujiunga na urusi..,hapa ndo uliniacha hoi kabisa, nchi IPO vitani..,unawaona wajeda wanapishana mtaani na killing mashine ,sauti za makombora na mizinga na kila aina ya silaha haziishii masikioni mwenu kila siku..,alafu wewe raia hambaye huna hata sare ya mgambo unaingiaje mtaani kuandamana??...,huku sio kujiingiza kwenye tanuru la moto wakati unaliona wazi wazi?

Alafu uliwahi kuona wapi nchi IPO vitani na raia wakaingia mtaani kuandamana?..,ata maandamanio yaliyozikumba nchi kama Syria, Libya...,yalitokea kwa muda tu..,vita ilipolipuka katika mataifa hayo hatukusikia Tena mtu akiandamana ,ni mwendo wa fireee..,

Kiukweli unapowaita wasaliti hao raia waliokubali kushirikiana na urusi unawaonea sana..., wakati wa vita kinachofanya kazi ni nguvu ya jeshi tu.., unaposema waandamane Ili kupinga huo udhalim Ina maana unaiangalia Ukraine kama nchi yenye utulivu na democrasia, kitu hambacho hakipo kwa Sasa,

Unasema wanajeshi wa Ukraine wasiangaike kupigana kwa ajili ya hao raia wasaliti walioamua kujiunga na urusi..,maana wameichagua urusi wao wenyewe..,[emoji848]

Katika siku za hivi karibuni, najitaid kukusoma sana lakini sikuelewi kabisa..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin alichokifanya ni kutengeneza mfumo wa kidemokrasia vitani, wajibu wa raia ilikuwa ni kuionyesha dunia kuwa hakukuwa na demokrasia. Hii haikuwa kazi ya jeshi ilikuwa kazi ya raia. Wangefanya wajibu wao. Adui kasema wananchi mpo huru kupiga kura, kwann muweze kutoka kwenda kupiga kura mshindwe kutoka kuionyesha dunia kuwa hamuyataki majeshi ya Urusi nchini kwenu? Au hawakutoka kupiga kura?

HAPO NYUMA TULIWAHI KUHOJI KUWA PUTIN ANAWEZA KUWA NA UWEZO WA KUVAMIA ILA KULIKALIA ENEO ALILOVAMIA HAIWEZEKANI SABABU RAIA WATALETA UPINZANI, RAIA WAMETUPROVE WRONG.
 
Hiyo picha hapo imenichekesha sana. Watu sijui wanawaza nini. Hahahahahahahahh

yan hapa tatizo sio Ukraine kuiteka lyman tatizo ni jeshi la supapawa linakimbiaje kama Nyumbu. next time wajifunze namna ya kukimbia vizur angalau na sio kukimbia kama mwizi
 
Putin aliyeshindwa kutengeneza mfumo wa kidemokrasia Moscow kwenye amani atawezaje kutengeneza mfumo wa kidemokrasia katika uwanja wa vita??!
Putin alichokifanya ni kutengeneza mfumo wa kidemokrasia vitani, wajibu wa raia ilikuwa ni kuionyesha dunia kuwa hakukuwa na demokrasia. Hii haikuwa kazi ya jeshi ilikuwa kazi ya raia. Wangefanya wajibu wao. Adui kasema wananchi mpo huru kupiga kura, kwann muweze kutoka kwenda kupiga kura mshindwe kutoka kuionyesha dunia kuwa hamuyataki majeshi ya Urusi nchini kwenu? Au hawakutoka kupiga kura?

HAPO NYUMA TULIWAHI KUHOJI KUWA PUTIN ANAWEZA KUWA NA UWEZO WA KUVAMIA ILA KULIKALIA ENEO ALILOVAMIA HAIWEZEKANI SABABU RAIA WATALETA UPINZANI, RAIA WAMETUPROVE WRONG.
 
Putin aliyeshindwa kutengeneza mfumo wa kidemokrasia Moscow kwenye amani atawezaje kutengeneza mfumo wa kidemokrasia katika uwanja wa vita??!
Haijalishi kuwa ilikiwa ni demokrasia kweli au siyo, Putin amesema wananchi kwa hiari yao wameamua kuichagua Urusi, kama ni muongo nani alitakiwa kuthibitisha uongo wake zaidi ya hao wananchi?

Siku zote kusemewa kuna kikomo, mbabe akisema ww umenichagua, hata kama hukumchagua, usiposimama na kusema sijakuchagua maana yake umemchagua.

CCM inaposema wananchi wametuchagua, hata upinzani ukipinga vipi haibadilishi lolote labda wananchi wenyewe wasimame na kusema HATUJAKUCHAGUA.
 
Inajalisha

oparation uliianza vizur tu. sikatai malengo yako yakikua donbas? Sawa lakini unapotezaje mageneral zaid ya 10+ na batalion zao kwenda kyiv?

sasa malengo yako russia sjui yalikua ni nini!!

1. kupunguza uwezo wa jeshi wa Ukraine?

kapunguza nini sjui hadi leo. unaambiwa hivi vita vikiisha Ukraine atakua top 10 military power jinsi Nato itakavyo wekeza kyiv. Save my words.

2. Kuondoa Nazi?
hakuna cha Nazi wala Dafu liliondolewa pale ukraine [emoji1255] mambo ndo kwanza yanaiva na gari limewaka

3. kuwalinda wanaoongea Kirusi?
maelfu ya raia wanakufa sjui hao raia nafkir watakua wanaongea kinyakyusa sjui. sio kirus?

4. Ukraine asiwe Mwanachama wa Nato?
bado hajajiondoa na application zinafanyika fresh tu.

5. Kuichukua Donbass. ?
hauna millitary control unaleta drama wanajeshi wa russia 3000+ wamezungukwa hkohko kwenye maeneo unayosema umeyakomboa nilitegemea sherehe na utiaji saini wa hayo majimbo ungefanyikia kherson. matokeo yake unajificha moscow.

Hakuna asie jua Donbas na luhask zilikua kwenye utawala wa waasi waliokua empowered by russian tangu 2014...
lakin huko hko ndiko maaskar wa russia na mageneral wao wanakimbizwa kama mbwa mwizi.

unatangaza ushindi vita havijaisha. au itakua Putin anaskiliza sana motivation speaker kua kwa imani yote yawezikana na hakuna lisilo shindikana? so ametangaza ushindi kwa Iman.

au ndio kujiwekea kidole na kunusa ukitegema utasikia harufu ya Perfume.
View attachment 2373700
Vita ni Uchumi na sababu za msingi..

Kwanza wanajeshi wa Russia hawako tayari kupigana zaidi maana hawaelewi wanapigania kitu gani hasa 😃😃..

Na wakiendelea kulazimisha kama hao vijana wa reserve lazima kuna mmja atakuja kuchapa risasi makamanda wa vikosa akaleta uasi..

Subiria waendelee kulazimishwa.
 
Back
Top Bottom