Urusi imenivunja moyo wangu zaidi sasa

Urusi imenivunja moyo wangu zaidi sasa

Hizo objective 1 and 2 ni either alifeli akabadili gia angani au ilikuwa mbinu ya kuteka majimbo sababu alijua jeshi la Ukraine si la kulidharau litamuumbua.

All in all anashikilia majimbo, ushindi kamili wa Ukraine utaonekana akirudisha majimbo. Halafu iwapo atafanikiwa raia wa hayo majimbo inabidi wawe na somo la uzalendo maana ni masnitch au waoga au wanaamini urusi ndio sehemu sahihi kuwepo.

Putin angepata upinzani mkubwa wa kisiasa kutoka kwa uma kwenye hayo majimbo asingekuwa na ujasiri aliouonyesha.
Kuishi mpakani ni kazi sana, angalia kigoma huko wanajeshi wametia kambi kote kuepusha huu ujinga
 
Taifa kutokufungamana na upande wowote ni uongo, woga na unafiki. Hicho kitu kiuhalisia hakiwezekani katika dunia iliyochanganyika na yenye kutegemeana. Ni sera zilizopitwa na wakati na zimekaa kufikirika tu.

Hivi kutokufungamana na upande wowote ni sawa na kufungamana na pande zote?
Kutofungamana na upande wowote maana yake ni kwamba unakuwa rafiki katika maslahi na unakuwa adui pale unapotishia maslahi TU. Nje ya hapo hakuna mahusiano yoyote.
 
Nenda kajifunze Historia ya uvamizi wa Iddi Amin Kagera mwaka 1978, Pia nenda kajifunze Chechnya iliingiaje kuwa sehemu ya Urusi.
Kuna mambo umekuwa ukirudia rudia yanayodhihirisha labda hujawahi kusikia hata mlio wa bastola tu kwa karibu tu achilia mbali mizinga mizito ya kivita.
Pia wewe unaweza kuta ni mmojawapo ya wakazi wa Dar es Salaam ambao mnafanywa kuwahi kurudi nyumbani na kujifungia mapema na Panya Road.
Hizo objective 1 and 2 ni either alifeli akabadili gia angani au ilikuwa mbinu ya kuteka majimbo sababu alijua jeshi la Ukraine si la kulidharau litamuumbua.

All in all anashikilia majimbo, ushindi kamili wa Ukraine utaonekana akirudisha majimbo. Halafu iwapo atafanikiwa raia wa hayo majimbo inabidi wawe na somo la uzalendo maana ni masnitch au waoga au wanaamini urusi ndio sehemu sahihi kuwepo.

Putin angepata upinzani mkubwa wa kisiasa kutoka kwa uma kwenye hayo majimbo asingekuwa na ujasiri aliouonyesha.
 
Nenda kajifunze Historia ya uvamizi wa Iddi Amin Kagera mwaka 1978, Pia nenda kajifunze Chechnya iliingiaje kuwa sehemu ya Urusi.
Kuna mambo umekuwa ukirudia rudia yanayodhihirisha labda hujawahi kusikia hata mlio wa bastola tu kwa karibu tu achilia mbali mizinga mizito ya kivita.
Pia wewe unaweza kuta ni mmojawapo ya wakazi wa Dar es Salaam ambao mnafanywa kuwahi kurudi nyumbani na kujifungia mapema na Panya Road.
Ww unauzoefu upi kuhusu risasi na vita mpaka ujue asiye na uzoefu anafananaje?
Unaexit strategy ya kijinga ndo maana wengine wanakutukana. Umri wako pia ni tatizo.. 27 to mid 30's nimewakuza na ndo wana hili tatizo la kufikia hitimisho kwa kutumia UNAWEZA KUTA NA ITAKUWA
Nasoma mfumo wako wa majibizano upo kundi hilo. Punguza kutoa majibu ya hisia kuwa utakuwa hivi, utakuwa vile ili hali huna uhakika..... TOA HOJA KWA KUFUATA MISINGI YA UZOEFU HALISI, SIO UNAWEZA KUTA, UNAWEZA KUTA.

Nina hakika kuwa ww huna uzoefu wa risasi kuwa ufahamu asiyeijua anafananaje ila una tatizo hilo nililolisema hapo la ITAKUWA na unafanya hivyo ili uwekwe kundi la wenye uzoefu usionao.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] una hasira, unatamani Ukraine awaue askari wote wa Urusi, unatamani urusi waondoke kwa aibu Ukraine lakini ndio haiwezekani. Nato kamwe hatoingia kupigana na urusi pale Ukraine, pia Majimbo yaliojitenga kamwe hayatarudi Ukraine
 
Mimi sijali kutakanwa na Pro-Russia extremists au nyie Pro-Russia nyutro[emoji16]. Mnatukana kwa sababu hamna hoja zenye mashiko.
Ww unauzoefu upi kuhusu risasi na vita mpaka ujue asiye na uzoefu anafananaje?
Unaexit strategy ya kijinga ndo maana wengine wanakutukana. Umri wako pia ni tatizo.. 27 to mid 30's nimewakuza na ndo wana hili tatizo la kufikia hitimisho kwa kutumia UNAWEZA KUTA NA ITAKUWA
Nasoma mfumo wako wa majibizano upo kundi hilo. Punguza kutoa majibu ya hisia kuwa utakuwa hivi, utakuwa vile ili hali huna uhakika..... TOA HOJA KWA KUFUATA MISINGI YA UZOEFU HALISI, SIO UNAWEZA KUTA, UNAWEZA KUTA.

Nina hakika kuwa ww huna uzoefu wa risasi kuwa ufahamu asiyeijua anafananaje ila una tatizo hilo nililolisema hapo la ITAKUWA na unafanya hivyo ili uwekwe kundi la wenye uzoefu usionao.
 
Uko sahihi, siasa za kutofungamana na upande wowote mara nyingi huwa ni za kinafiki sana.
Taifa kutokufungamana na upande wowote ni uongo, woga na unafiki. Hicho kitu kiuhalisia hakiwezekani katika dunia iliyochanganyika na yenye kutegemeana. Ni sera zilizopitwa na wakati na zimekaa kufikirika tu.

Hivi kutokufungamana na upande wowote ni sawa na kufungamana na pande zote?
 
Mimi sijali kutakanwa na Pro-Russia extremists au nyie Pro-Russia nyutro[emoji16]. Mnatukana kwa sababu hamna hoja zenye mashiko.
Hilo la kutokujali ni tatizo lako. Wapo wengi wanaofanyiwa mambo ya ajabu na hawajali.ww endelea kutokujali, haupo peke yako.
 
Denazification has been a humbug since day one!

Hiyo ilikuwa ni propaganda ya Urusi ya kuhadaa watu wasiotafiti mambo ama wasiolijua hili suala kiundani.

Ni sawa na kumpatia mtu jina lolote baya kwanza kabla ya kupigana naye.

Ukweli ni kuwa, Unazi mamboleo upo karibu Ulaya nzima ikiwemo Urusi yenyewe. Ndani ya Urusi kuna makundi ya Unazi yenye ushawishi wa kisiasa na kijeshi ambapo baadhi yameshiriki katika operesheni mbalimbali za kijeshi za Urusi.

Kundi mojawapo maarufu ni Russian Imperial Movement lenye makao makuu yake St. Petersburg, Urusi. Hili kundi linamiliki kikosi maalumu cha jeshi ambacho kimekuwepo katika mapigano mashariki mwa Ukraine tangu mwaka 2014.
Mkuu, vita yoyote ni lazima iwe na pretext/cover story ili jeshi lipate uungwaji mkono kutoka kwa raia lakini agenda halisi inakuwa siri ya elites huko jeshini na wanasiasa waandamizi ndio maana kuna baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema lile tukio la 9/11 was just an inside job ili US army wapate uungwaji mkono wa kuzivamia Iraq na Afghanistan.
 
sawa ni supapawa sawa ukraine anasaidiwa na nchi zaid ya 30+ sawa mumeandaa referundum sasa ndio mukimbie kama Nyumbu kweli?
 
Mimi sijali kutakanwa na Pro-Russia extremists au nyie Pro-Russia nyutro[emoji16]. Mnatukana kwa sababu hamna hoja zenye mashiko.
Hilo la kutokujali ni tatizo lako halina uhusiano na upro wowote au hoja za utetezi either wa urusi au ukraine. Wapo wengi wanaofanyiwa mambo ya ajabu na hawajali.
 
Taifa kutokufungamana na upande wowote ni uongo, woga na unafiki. Hicho kitu kiuhalisia hakiwezekani katika dunia iliyochanganyika na yenye kutegemeana. Ni sera zilizopitwa na wakati na zimekaa kufikirika tu.

Hivi kutokufungamana na upande wowote ni sawa na kufungamana na pande zote?
Embu nikuulize sasa wewe msimamo wa Tanzania kuhusu hiyo vita ni upi? Hata UN hatukuilaani Russia wala kuiunga mkono Russia. Utauita ni uoga na unafiki but let's be frank wewe mtanzania una faida gani na hiyo vita? Na sio uoga wala unafiki, hata sisi huku tuna vita vyetu vya kimwili na kiroho. Kimwili tushawahi kupigana na Uganda so hauwezi kusema kwamba Tanzania ni waoga wa vita. Kiroho tunayo kazi kubwa sana ya kupambana na ujinga, maradhi na umaskini -- na miongoni mwa ujinga wa kupambana nao ni huu wa kujiingiza kwenye vita zisizo zetu. Ulimwengu ndio umeingiliana lakini kuingiliana huko hakumaanishi kwamba mtu binafsi au nchi isijitambue kuwa hii vita inanihusu na hii hainiusu.
 
Hilo la kutokujali ni tatizo lako halina uhusiano na upro wowote au hoja za utetezi either wa urusi au ukraine. Wapo wengi wanaofanyiwa mambo ya ajabu na hawajali.
Mwanzoni ulikuwa unajitahid kuwa nyutro, lakini siku hizi Nina mashaka na ww

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mwanzoni ulikuwa unajitahid kuwa nyutro, lakini siku hizi Nina mashaka na ww

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwasababu nimemsapoti mnyang'anyi kuhusu:

"Putin alinukuliwa akisema kuwa wakazi wa maeneo ya Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhzhia wameichagua Urusi licha ya Serikali ya Ukraine kupinga maamuzi hayo".

BOSS sina maslahi upande wowote, hii inanipa uhuru wa kutoa hoja bila kufungwa na msimamo. Na kwa sasa nawaona raia wa yale majimbo ni wasaliti kwa askari wanaowapigania. Ikitokea jeshi la ukraine ikakomboa ile miji haitabidili usaliti wa raia wao japo itaonyesha kuwa PUTIN NI LIJINGA flani linalofanya sherehe ya harusi kabla halijapata mke.
 
Unapooji uhalali wa raia kupiga kura ya kuunga mkono kujiunga na urusi hapo ndo mashaka yangu yalipoanza juu yako.

Mkuu,Hawa raia walipiga kura wakiwa chini ya jeshi ..,Kuna wakati ulihoji kwa nini hao raia wasiandamane katika hayo majimbo Ili kupinga kujiunga na urusi..,hapa ndo uliniacha hoi kabisa, nchi IPO vitani..,unawaona wajeda wanapishana mtaani na killing mashine ,sauti za makombora na mizinga na kila aina ya silaha haziishii masikioni mwenu kila siku..,alafu wewe raia hambaye huna hata sare ya mgambo unaingiaje mtaani kuandamana??...,huku sio kujiingiza kwenye tanuru la moto wakati unaliona wazi wazi?

Alafu uliwahi kuona wapi nchi IPO vitani na raia wakaingia mtaani kuandamana?..,ata maandamanio yaliyozikumba nchi kama Syria, Libya...,yalitokea kwa muda tu..,vita ilipolipuka katika mataifa hayo hatukusikia Tena mtu akiandamana ,ni mwendo wa fireee..,

Kiukweli unapowaita wasaliti hao raia waliokubali kushirikiana na urusi unawaonea sana..., wakati wa vita kinachofanya kazi ni nguvu ya jeshi tu.., unaposema waandamane Ili kupinga huo udhalim Ina maana unaiangalia Ukraine kama nchi yenye utulivu na democrasia, kitu hambacho hakipo kwa Sasa,

Unasema wanajeshi wa Ukraine wasiangaike kupigana kwa ajili ya hao raia wasaliti walioamua kujiunga na urusi..,maana wameichagua urusi wao wenyewe..,[emoji848]

Katika siku za hivi karibuni, najitaid kukusoma sana lakini sikuelewi kabisa..,

Back
Top Bottom