Uroho wa madaraka waendelea kuitafuna CHADEMA

Ule msema wa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote ndo kinachokwenda kumtokea Mwenyekiti wa Chadema Freeman Elikaeli Mbowe na Makamu mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu kwa kile kinachoonekana Sintofahamu baina yao kutokana na Nani atakiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu 2025 kwa nafasi ya URais!!!!

Kumekuwa na misuguano inayoendelea mara kadhaa kwa kutofautiana kauli baina yao jambo ambalo linashangaza kiongozi Mkuu kama Mwenyekiti wa Chama na Makamu kutokuwa na kauli moja ndani ya Chama kwa kila mmoja kutaka kuonyesha ukubwa wake hahaahahah inastaajabisha

Sasa hilo limeenda mbali zaidi ambapo Mbowe ameendelea kutumia Ubabe kwa kuwa Chama ni Chake na nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama kutaka nafasi zote ya Uenyekiti na sasa ameanza harakati zake za Kampeni za Urais 2025 kupitia Chadema

Wadau wamejiuliza mengi huko mitandaoni hili linawezekana vipi Mtu mmoja kutaka nafasi zote peke yake lakini pia Lisssu hakutarajia haya kwani yeye anajua ndiye atakayekiwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi 2025 huku Mbowe kamgeuga na sasa anataka yeye ashike nafasi zote ili aendelee na ubabe na ubadhirifu unaonendelea ndani ya Chadema bila kuhojiwa na yeyote sababu kikawaida kinachokwenda kutokea Lissu ataachia ngazi kama Makamu mwenyekiti na ameshaanza mpango wa kuanzisha chama chake ili apate nafasi ya Uenyekiti na Hatimaye kuwa Mgombea Urais jambo ambalo kwa CHADEMA limeshindikana mpaka sasa

Hebu tizama maoni ya ya watu mbali mbali mtandaoni wakihoji juu ya nia ya Mbowe kutaka kuwania nafasi ya Urais 2025!!!
Tuelekeapo chaguzi za 2024 - 25 inaonyesha wazi CCM ina hofu kubwa sana kutokana tishio la dhahiri la CDM kwake. Kuna madudu mengi na ya hovyo yamefanyika hivi karibuni ambayo yanaipa CDM hoja mujarabu na kinzani dhidi yao.Tutegemee kusikia kila aina ya propaganda chafu na uzushi kutoka upande wao kuelekea upande wa CDM.

Kitu ambacho wanatamani mno kukiiona kinatokea katika muda huu ni kushuhudia mpasuko unatooea kati ya Lissu na Mbowe ambaob utapelekea kuisambaratisha CDM. Wanatambua fika udhaifu mkubwa wa mpeperusha bendera kwa upande wa chama chao endapo tamaduni zao zitadumishwa ili zitumike kumpisha agombee tena katika muhula wake wa pili.

Nafasi ya urais ndani ya CDM huwa wazi kwa mtia yeyote yule endapo wakati stahiki ukifika. CDM ina mchakato wake mahususi wa kum "endorse" mpeperusha bendera wake wakati huo ukifika. Tofauti na CCM wao hutoa fomu nyingi kwa kila mtia nia, wakati CCM wao hutoa fomu moja tu katika nafasi hiyo katika mazingira kama haya.

Wazee wa "single source".wanaona kuna tishio la wazi lkutoka katika makundi fulani muhimu tuelekeapo 2024-25, na kuna kila dalili za wazi kuwa yanaonyesha kutoweza kuwaunga mkono tena kama ilivyozoeleka hapo awali. Tishio kubwa zaidi kwao si lingine bali ni TEC na ule waraka wake uliosomwa nchi nzima.
 
Ule msema wa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote ndo kinachokwenda kumtokea Mwenyekiti wa Chadema Freeman Elikaeli Mbowe na Makamu mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu kwa kile kinachoonekana Sintofahamu baina yao kutokana na Nani atakiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu 2025 kwa nafasi ya URais!!!!

Kumekuwa na misuguano inayoendelea mara kadhaa kwa kutofautiana kauli baina yao jambo ambalo linashangaza kiongozi Mkuu kama Mwenyekiti wa Chama na Makamu kutokuwa na kauli moja ndani ya Chama kwa kila mmoja kutaka kuonyesha ukubwa wake hahaahahah inastaajabisha

Sasa hilo limeenda mbali zaidi ambapo Mbowe ameendelea kutumia Ubabe kwa kuwa Chama ni Chake na nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama kutaka nafasi zote ya Uenyekiti na sasa ameanza harakati zake za Kampeni za Urais 2025 kupitia Chadema

Wadau wamejiuliza mengi huko mitandaoni hili linawezekana vipi Mtu mmoja kutaka nafasi zote peke yake lakini pia Lisssu hakutarajia haya kwani yeye anajua ndiye atakayekiwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi 2025 huku Mbowe kamgeuga na sasa anataka yeye ashike nafasi zote ili aendelee na ubabe na ubadhirifu unaonendelea ndani ya Chadema bila kuhojiwa na yeyote sababu kikawaida kinachokwenda kutokea Lissu ataachia ngazi kama Makamu mwenyekiti na ameshaanza mpango wa kuanzisha chama chake ili apate nafasi ya Uenyekiti na Hatimaye kuwa Mgombea Urais jambo ambalo kwa CHADEMA limeshindikana mpaka sasa

Hebu tizama maoni ya ya watu mbali mbali mtandaoni wakihoji juu ya nia ya Mbowe kutaka kuwania nafasi ya Urais 2025!!!
Wanachadema ndo watakao amua nani apeperushe bendera 2025 , ww mwanaccm yanakuhusu nn mambo ya chadema??? Samia ni Rais na ni mkiti wa ccm, na 2025 ndo mgombea wenu ninyi, kwnn usianze kuhoji huko ccm kwanza ndo uende chadema??? Kwa taarifa yako 2025 mgombea urais kupitia chadema ni John Heche
 
Duh, Tindo tutake radhi wazee kwa kutufananisha na huyo kuwa anapiga propaganda za kizee! M
Wambie anapiga propaganda za kishamba!
Sie wazee tuko fiti na hatuhusiki na huo uchawa wao
Sorry mzee wangu, ni propaganda za kizamani.
 
Zitto na Feeeman ni Wabunge 2025-2030
Huo ubunge kama wa kina Halima Mdee hatuufagilii. Hatujawahi kusujudia ubunge wa mbeleko wakati tuna uwezo wa kupata kura halali kwa ridhaa ya wananchi.
 
Ule msema wa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote ndo kinachokwenda kumtokea Mwenyekiti wa Chadema Freeman Elikaeli Mbowe na Makamu mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu kwa kile kinachoonekana Sintofahamu baina yao kutokana na Nani atakiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu 2025 kwa nafasi ya URais!!!!

Kumekuwa na misuguano inayoendelea mara kadhaa kwa kutofautiana kauli baina yao jambo ambalo linashangaza kiongozi Mkuu kama Mwenyekiti wa Chama na Makamu kutokuwa na kauli moja ndani ya Chama kwa kila mmoja kutaka kuonyesha ukubwa wake hahaahahah inastaajabisha

Sasa hilo limeenda mbali zaidi ambapo Mbowe ameendelea kutumia Ubabe kwa kuwa Chama ni Chake na nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama kutaka nafasi zote ya Uenyekiti na sasa ameanza harakati zake za Kampeni za Urais 2025 kupitia Chadema

Wadau wamejiuliza mengi huko mitandaoni hili linawezekana vipi Mtu mmoja kutaka nafasi zote peke yake lakini pia Lisssu hakutarajia haya kwani yeye anajua ndiye atakayekiwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi 2025 huku Mbowe kamgeuga na sasa anataka yeye ashike nafasi zote ili aendelee na ubabe na ubadhirifu unaonendelea ndani ya Chadema bila kuhojiwa na yeyote sababu kikawaida kinachokwenda kutokea Lissu ataachia ngazi kama Makamu mwenyekiti na ameshaanza mpango wa kuanzisha chama chake ili apate nafasi ya Uenyekiti na Hatimaye kuwa Mgombea Urais jambo ambalo kwa CHADEMA limeshindikana mpaka sasa

Hebu tizama maoni ya ya watu mbali mbali mtandaoni wakihoji juu ya nia ya Mbowe kutaka kuwania nafasi ya Urais 2025!!!
STUPID RUBBISH POST FROM A RABID MIND
 
Back
Top Bottom