APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,048
- 8,628
sema wataingizwa choo cha KIUME.....MADADA KUWENI MAKINI HIYO SIYO KAZI NADHANI MMEONA UOMBAJI WAKE WA KIMAGENDO MAGENDO,MTAINGIZWA CHOO CHA KIKE MWISHOWE MTALIA
sema wataingizwa choo cha KIUME.....MADADA KUWENI MAKINI HIYO SIYO KAZI NADHANI MMEONA UOMBAJI WAKE WA KIMAGENDO MAGENDO,MTAINGIZWA CHOO CHA KIKE MWISHOWE MTALIA
mkuu hao watukanaji ndo zao mimi nawajua wana stress sana .yupo mmoja mlokole hapa anasali kwa gwajima basi taabu tupuOfisi yetu Ipo not far Morocco Airtell.
Imeajiri watanzania 25 ..wanawake 10 na wanaume 15.
Tunayemtafuta ni House keeper.awe ni:-
-Msichana
-Mtanzania
-miaka isizidi 24
-ajue english
-asiwe anakaa mbali na Moroko ya airtell
-awe mwaminifu .
Kazi ambao atatakiwa kufanya:-
-house keeping.
-ni kazi ya kuaminika na kama ni mwaminifu atakaa sana na ni best job.
Anatakiwa afanye yafuatayo-:
-atume majina yake yote na picha yake passport size or any. kwenye whatsapp namba yangu.
Kazi ataanza as soon as possible ndani ya mwezi huu kabla mwaka haujaisha.
Mshahara sio mkubwa ila maslahi yapo kutokana na uaminifu wake.
Tuma details hapa au uliza swali.
0714-925-525
Au tuma CV
johnmllacha@gmail.com
John.
Note: mimi ni verified user, nimetangaza kazi hapa ni uhakika.
Kuna wanaonitukana hapo chini ila nawahakikishia kazi ni ya uhakika.
Msiogope ningekuwa tapeli ningetumia fake id.
Max ana copy ya passport zangu. Nikitapeli mtu ni very easily kunikamata.
Namba yangu imesajiliwa jina langu huamini unaweza kuhakiki.
Nimeshaleta kazi kabla hapa jf na nikapata wafanyakazi.
Leo nashangaa why nimeambulia matusi?
So sad! Next time nitajifikiria kuleta kazi hapa JF mimi kama member wa jf na mjasiriamali
teh labda hukuqualify jamaniJohn ulitoa nafasi ya kazi before.ukaomba hivyo hivyo picha.namba yako ninayo niliisevu naona umejisahau ukatima tena.nilikuuliza umepata mtu ukasema yes in a matter of five minutes like seriously? mbona before hujapokea picha ukusema umepata mtu? kwanini unasumbua watu wenye shida?? mimi kazi yangu ni kuumbua matapeli sasa leo utajuuuta umeingia choo cha kiume sink lipo ukutani sijui utakunyaje?? WEWE NI TAPELI MKUBWA NA UNASTAHILI MATUSI MBWEHA WEWE.MARA UNA MGAHAWA MOROCCO AIRTEL MARA UNA KAMPUNI MFYUUUU KAAJIRI DADA ZAKO AU MAJIRANI ZAKO PAKA LA BAA WEWE
Mkuu hebu tujuze. Alimla ndugu yako?huyu kaka anakwambia uje muonane ukifika anakwambia ooh kazi ameshapatikana mtu then anakusalandia ukilegea unaliwa hivi hivi.ana bahati sana huyu nipo mkoa ningedeal nae personally.alishamfanyia hivi ndugu yangu
ana multiple id jinga sana hiliUnachofanya nakitambua kenge wewe..! Unapita mlango wa nyuma eti..
Asante kwa kunitukana,John ulitoa nafasi ya kazi before.ukaomba hivyo hivyo picha.namba yako ninayo niliisevu naona umejisahau ukatima tena.nilikuuliza umepata mtu ukasema yes in a matter of five minutes like seriously? mbona before hujapokea picha ukusema umepata mtu? kwanini unasumbua watu wenye shida?? mimi kazi yangu ni kuumbua matapeli sasa leo utajuuuta umeingia choo cha kiume sink lipo ukutani sijui utakunyaje?? WEWE NI TAPELI MKUBWA NA UNASTAHILI MATUSI MBWEHA WEWE.MARA UNA MGAHAWA MOROCCO AIRTEL MARA UNA KAMPUNI MFYUUUU KAAJIRI DADA ZAKO AU MAJIRANI ZAKO PAKA LA BAA WEWE
kwa nini ulidai picha kwanza?Asante kwa kunitukana,
Ila mwezi wa 11 nilikuwa natafuta waiter na nilimpata kupitia hapa hapa JF.
Na wewe labda ulichelewa.
Kwa sababu imagine hata wiki hii kuna mtu alinipigia kuulizia kazi ya mwezi wa 11 ambayo mtu alishapatikana.
Kwa hio akipatikana mtu na akaajiriwa sio kwamba mimi ni tapeli.
Nadhani kuna point ambayo hujaielewa.
Hata hivyo asante kwa matusi
Ndugu yako yupi.huyu kaka anakwambia uje muonane ukifika anakwambia ooh kazi ameshapatikana mtu then anakusalandia ukilegea unaliwa hivi hivi.ana bahati sana huyu nipo mkoa ningedeal nae personally.alishamfanyia hivi ndugu yangu
Mkuu heshima ifuate mkondo wake.Mkuu hebu tujuze. Alimla ndugu yako?
Sio kila mtu lazima afanye kazi fulani .kwa nini ulidai picha kwanza?
Sawa.Kawachukue kijijini kwenu uwape hiyo kazi yenye maslahi km usemavyo kijiji kizima kitakuheshimu utakua mungu mtu kwao....
Sawa.Kawachukue kijijini kwenu uwape hiyo kazi yenye maslahi km usemavyo kijiji kizima kitakuheshimu utakua mungu mtu kwao....