John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
CLOSED:
Ofisi yetu Ipo not far Morocco Airtell.
Tunayemtafuta ni House keeper.awe ni:-
-Msichana
-Mtanzania
-miaka isizidi 24
-ajue english
-asiwe anakaa mbali na Moroko ya airtell
-awe mwaminifu na bosi ni Mzungu.
Kazi ambao atatakiwa kufanya:-
-house keeping, sometimes kumpikia bosi mzungu,na kufua nguo na anatakiwa awe msafi sana.
-ni kazi ya kuaminika na kama ni mwaminifu atakaa sana na ni best job.
Anatakiwa afanye yafuatayo-:
-atume majina yake yote na picha yake fully kwenye whatsapp namba yangu.
Kazi ataanza as soon as possible ndani ya mwezi huu kabla mwaka haujaisha.
Mshahara sio mkubwa ila maslahi yapo kutokana na uaminifu wake.
Tuma details hapa au uliza swali.
0714-925-525
John.
Why? Vigezo vya kijinga urembo wa mtu na kazi wapi na wapi?? Mara atume picha full tena whatsap ni mpishi why usiweke vigezo vya kupika na kujua kufanya usafi badala yake sifa za kidunia ?? Kwenda zako huko only God can see what's yr intention..!Asante kwa matusi.
I dont mind ila mara kibao naleta kazi hapa JF na tushapata wafanyakazi wengi kupitia JF.
Mungu akubariki kwa kunitukana ila nia yangu sio mbaya nimeleta kazi kama haikuhusu au kama huna ndugu si ungenyamaza ustaarabu ni kitu cha bure.
Ndugu ninao wengi ila sijataka kuwaambia nimetaka kuwaambia watanzania wenzangu.
Sasa kosa langu hapo ni lipi jamani??
Kwa nini umewaza hivyo?
Namba yangu ya simu hio hapo.
Jina langu halisi natumia hapa. Au mnataka niweke na copy ya passport?
Khaaa!! Watanzania mna matatizo gani?
ACHA UJINGA MATUSI YA NINI SASA,UACHE UDOMO ZEGE KAMA UNATAKA WANAWAKE KUPITIA KAZI HUO NI ULIMBUKENIHaaa!! So whats your problem brother?
If you dont qualify shut up! Au unawashwa?
Utakuwa jipu! Eti mara mzungu whose mzungu by then??? Unashida weweKwa nini umewaza hivyo?
Namba yangu ya simu hio hapo.
Jina langu halisi natumia hapa. Au mnataka niweke na copy ya passport?
Khaaa!! Watanzania mna matatizo gani?
dogo akili yako mbovu huko utokako hakuna msichana wa kufanya kazi hiyo mpaka uje kuwarubuni madada wa hapaAcha wivu wa kike.
Mbona mara kibao nimeshaleta matangazo.
Au kwa vile huna vigezo ndio maana unamwaga povu?
Soma hapo juu nimemuumbua akaedit upuuzi malaya mkubwa huyu! Akampe dada yake hiyo kazi.HUU NI UTAPELI TU, UMEKOSA KILA MAHALI MPAKA UJE HUKU? UNATAKA TAPELI DADA ZA WATU TU!
Huyu boya nime mbana mwanzo kaandika awe mrembo, atume picha full tena whatsap, mara boss mzungu, badae nikamtoa nishai eti kakimbia kuedit mpuuzi sana huyu mbuzi pori..!MADADA KUWENI MAKINI HIYO SIYO KAZI NADHANI MMEONA UOMBAJI WAKE WA KIMAGENDO MAGENDO,MTAINGIZWA CHOO CHA KIKE MWISHOWE MTALIA
kaweka kwa mzungu ili iwe rahisi kuwarubuni watoto wakike,hawa ndo wakuwakamataHuyu boya nime mbana mwanzo kaandika awe mrembo, atume picha full tena whatsap, mara boss mzungu, badae nikamtoa nishai eti kakimbia kuedit mpuuzi sana huyu mbuzi pori..!
Unadhani ukiedit inafutika mshba mkubwa nitaleta hapa nikuumbue zuzu mkubwa wewe..!Sija edit kitu.
Acha wivu au unaweza ku prove?
Unachofanya nakitambua kenge wewe..! Unapita mlango wa nyuma eti..Sijaona umeandika mrembo....details umetoa ni vyema sana kwa security yako na mali zako. Hopes mwenye ndugu jamaa na rafiki ambae anahitaji kazi atakutafuta.
Usibishane na kichaa utaonekana wewe ni kichaa zaidi yake maana utatumia energy kubwa kumuelewesha kumbe sio.
All the best upate mdada wa kazi, hata ukipata mrembo zaidi ni poa.
We jamaa mbona povu linakutoka sana...Unachofanya nakitambua kenge wewe..! Unapita mlango wa nyuma eti..
Acha utapeli usilete vikazi vyako vya hovyo vya kutafuta wadada hovyo kabisa usiweke tenaJiheshimu edy acha sifa.
Mtasababisha siki zingine ikitokea kazi nisilete hapa.
Mbona nimeshaleta kazi nyingi hapa?
Na watu wengi wakanipigia wengine wanachukua namba hapa wanawapa ndugu zao hadi nikapata mtu.
Sasa kwa nini leo ulalamike?
Na sitaki mwanaume ni msichana anatakiwa sasa wewe wivu wa nini?
Au vaa dela uje basi upewe hio kazi acha wivu