Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
huwa nanuna alafu nacheka sana! hahaha!
Haha, lakini tege ukilijulia nguo na kiatu, uongo mbaya utatesa sana tu..
huwa nanuna alafu nacheka sana! hahaha!
Ngoja nikutumie picha![]()
![]()
![]()
Bonge la swaggaHaha, lakini tege ukilijulia nguo na kiatu, uongo mbaya utatesa sana tu..

Haha me sinaga habareeemimi nikivaa sandles yanakuwa km( )!Mweeeeeee!
Haha, lakini tege ukilijulia nguo na kiatu, uongo mbaya utatesa sana tu..
mimi nikivaa sandles yanakuwa km( )!Mweeeeeee!
Bonge la swagga![]()
![]()
![]()

Mie na vipedo sasa, najishaua ndugu yangu utadhani nina guuhahaha ni kweli usemayo! marufuku mie kuvaa kaptura! marufukuuuuuu! ila gaun fupi ndo vazi zangu!
. Vimini nagonga kama kawa, afu bado mlonjo ni mrefuuHaha kuku watatutechezea sanaMwiko kufukuza kuku wewe na mrs air
Maana watafurahi watakuwa wanakatiza tu, tena huku wanatembea...lol!
Mie na vipedo sasa, najishaua ndugu yangu utadhani nina guu. Vimini nagonga kama kawa, afu bado mlonjo ni mrefuu
Yani mimi sinaga habari kwa kweli na nalipenda tege langu +kuliflaunt. confidence yangu ni level za mbutanangamie pedal navaa vzr sana! hahahah! mie sina mlonjo ila nina tege amaizing! ila nikivaa highheels ukaambiwa nina tege utabisha! hahha!BORA KUJIKUBALI
Yani mimi sinaga habari kwa kweli na nalipenda tege langu +kuliflaunt. confidence yangu ni level za mbutananga
Wedges ndio mpango mzima.
Mie na vipedo sasa, najishaua ndugu yangu utadhani nina guu. Vimini nagonga kama kawa, afu bado mlonjo ni mrefuu
mie pedal navaa vzr sana! hahahah! mie sina mlonjo ila nina tege amaizing! ila nikivaa highheels ukaambiwa nina tege utabisha! hahha!BORA KUJIKUBALI

Mnavyotulingishia na matege yenu sasa!
Hongera zenu asee!![]()
Yani mimi sinaga habari kwa kweli na nalipenda tege langu +kuliflaunt. confidence yangu ni level za mbutananga

Haha la kurudi nyuma kama masanja anavyofanyaga mmhhahaha ila lile jingine jaman ni baya! lile km unayarudisha nyuma hv au la kuingia ndan magoti yagongane!kha! kwa mwanamke halifaiiiiii
She is something elseHahahah!, jamani msinikumbushe Mbuta Nanga na miguu yake na high heels zake!![]()