Urembo :uhusiano wa urembo na kadashian

Urembo :uhusiano wa urembo na kadashian

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Hivi wadau inakuwaje unakuta binti mrembo alafu kichwani hazichaji. ...

Nadra kukuta binti mrembo proffesa. ..sana sana utamkuta hotelini reception hivi kweli kwa nini urembo hauambatani na akili za darasan

Mdau umewahi kujiuliza hili
 
Wapo wengi mbonaa?? Dada yangu ni Muremboo duh! Pia kwa mukichwa ndo usisemee! Wapo kibao UDOM, UDSM, SUA,CBE,IFM hukoo kotee wamejaa na wewe ongezeaaaa!
 
Hicho kichwa cha habari wala hakina uhusiano na habari yenyewe
 
Hicho kichwa cha habari wala hakina uhusiano na habari yenyewe

atakua alikua anataka kuandika "uhusiano na wa urembo na darasani" sasa hiyo kadashian ndo atueleze kaipata wapi
 
Embu mdau weka picha ya profesa mwanamke umalize utata nilionao
 
atakua alikua anataka kuandika "uhusiano na wa urembo na darasani" sasa hiyo kadashian ndo atueleze kaipata wapi

hiyo dashian ... inatoka kwenye wimbo wa SAFARI wa nikk wa II verse aliyoimba Joh makini... dashian maana yake hamna kitu kichwani.
 
Prof Tibai. ..beauty itokee wapi bob
 
Back
Top Bottom