Urembo: Huyu naye mtasemaje?

Huyu ni mrembo asilia...amependeza sana na ana umbo zuri tu!!maana ni la kipekee
 
daaaaa,ile k2 itakuwa mbali sana,inatakiwa uwe na shafti!!,lol!
 
kisia kwamba wewe ni mfungwa unatakiwa kunyongwa sasa unaambiwa ili usamehewe umbebe huyo hadi msitu wa pande mbio mbio.
 
puto hilo, likidondoka linadunda kama mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…