Urembo Corner


Mwanamke anapo jipamba haina maana kama yeye sio mzuri hapana ,cha muhimi ni kujua tu kujipamba kwa usahihi.
Pia watu wengi huwa wanamtazamo hasi wanaposikia make up,mtu akisikia make up anapata picture ya mwanamke amepaka eye shadow za kijani,blue,silver,mashavuni kaweka pink,lipstick nyekundu anatoka ndani.Ndio maana mara nyingi utasikia mtu anasema mimi huwa siweki make up labda powder tu na lipgloss au wanja tu kwa mbali na lipgloss bila kujua hata hapo tayari ameweka make up.
 
Last edited by a moderator:
vitu fake hasa vya kemikali ni hatari
bora kutumia vitu vilivyotengenezwa na vitu natural .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…