Urembo au uchafu

Haya ndio madhara ya kutumia mkorogo mana hapo inaonekana Mkorogo umeshadunda.
 
Nawaza ikiwa mikono ipo hivyo je huo uso utakuwaje? 🤔🤔
 
Mi mwanamke akipaka rangi nyeusi,bluu,kijani au mchanganyiko kucha hii njano,nyingine kijani,nyingine brown kwa kweli huwa simuelewi kabisa...
 
Mkuu umetisha san yan,,una connection na shetani ad umewez kupig pich ya vidol vyake,,,,siku nyngn pig nae selfie kabis
 
Mtu wa hivyo akikutia Konzi lazima utoke nundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…