mkodomi mkodomi
Member
- Jan 11, 2015
- 13
- 1
Kamanda derick ruhende mungu utangulie maana muda wa kulisishana madaraka haupo tanganyika mwache s.sitta na m.sitta waqpumzike wakale waliyotuibia
Soma vizuri na utang'amua hapo ni suala la kumuuza huyu na kumponda yule. Kinachotafutwa ni kura na si vinginevyo.Kwani Mkuu tayari kura zimeanza kupigwa? Sijaona mahali mleta mada kaandika kwamba anaomba kura?!!
Nawasalimu wote watanzania wenzangu, Amani iwe kwenu:
Jimbo la Urambo mashariki limeongozwa kwa miaka mingi sana na Ndugu Samuel Sitta,
Na sasa ametangaza kutogombea na anataka kumwachia jimbo mke wake Mama Magreth Sitta,nadhani dhana za kuachiana madaraka kifamili imepitwa na wakati..
Ashukuliwe Mungu kwa kumwinua kijana wetu Derrick Luhende( mjukuu wa mzee maarufu hapa ussoke marehemu T.S.Mapolu ) Kijana mcha Mungu,mpambanaji,mwenye msimamo usioyumba...ameamua kutangaza Nia ya kulichukua Jimbo hili Iwapo tu Chama chake cha Chadema na Umoja wao wa Ukawa utampa ridhaa....
Na lengo lake kubwa ni jimbo la Urambo litoke mikononi mwa CCM, kama ikiwa yeye au yeyote Yule atakayepewa nafasi atashirikiana naye kuleta ushindi..
Hili ni tumaini jipya la Urambo ,tumuunge mkono
Dr.Martin Luther aliwahi kusema " ni heri mtu mmoja akakutia moyo wakati wa shida,kuliko watu wengi kukushangilia wakati wa mafanikio"
" Mbunge wa watu kwa ajili ya watu"
Karibu kwa ushauri,maoni,mapendekezo,na kukosolewa pia.
Mungu awabariki nyote
Kamanda derick ruhende mungu utangulie maana muda wa kulisishana?????? madaraka haupo tanganyika mwache s.sitta na m.sitta waqpumzike wakale waliyotuibia
Jifunze Kiswahili.
Kuridhishana sio kulisishana.