Nimejizatiti kumtoa Sitta na CCM Urambo kwa tiketi ya CHADEMA

J

jedrick

Member
Joined
Aug 3, 2010
Messages
49
Points
70
J

jedrick

Member
Joined Aug 3, 2010
49 70
Ndugu zangu wanaJF, naomba nijitambulishe zaidi kwenu,
Mimi ndiye Paul Andrew Maganga.

Shule ya msingi nimesoma Nseda katika kata ya Nseda tarafa ya Urambo.1992-1998
Urambo sekondari 1999-2002
Mkwawa high school 2003-2005
University of dar es salaam 2005-2008.Bsc with educ.
University of Arusha 2011-2013 MA in education management and leadership.

Baada yakutoka Udsm, niliajiriwa Edmund rice Sinon High school arusha kama Mwalimu wa kemia form six 2008-2011
Nikaenda Serikalini Kinana sekondary hapahapa Arusha.

Nikachukua mkopo ili nisome masters degree nanilifanikiwa.
Kwasasa nafundisha Losirway sekondary, nimehamishwa shule 3 tangu 2011 kisa kuzuia wezi namafisadi.

Nilijua Mimi siwezi kuwa Mwalimu bali kutumikia jamii kubwa ya watanzania kwanafasi kama Ubunge tangu 2008, ilikuwa niende 2010 urambo lakini nikawa sijajipanga sawasawa.

Sasa nikitokea Arusha Niko fit kuliko Sitta anavyonichukulia. Siendi Urambo kushindania ubunge, Mimi nasubiri tarehe yakuapishwa, kwani tangu 2011 nilianza kazi Urambo mashariki.

Na wiki ijayo naelekea urambo jimboni kwangu kumalizia kazi yangu kwaziara ya jimbo zima.Nimeshaandika barua za kuacha kazi mazima, sio kuomba ruhusa bila malipo, nimeacha maana nitakuwa mbunge baada ya hapa, sina hofu.

Kwa wenye mapenzi mema yakubisaidia, contacts zangu hizi hapa, nitashukuru kwa Mchango wako wowote.

maganga14@ yahoo.co.uk

+255754852015
+255712550924.

Mungu awabariki watanzania wote kwa kuniombea.

Paul Andrew Maganga.
 
K

kabangila

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
440
Points
195
K

kabangila

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
440 195
Kamanda pigana usiangalie usoni.
 
H

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
606
Points
195
H

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
606 195
Hongera kwa kutangaza nia,hakika Sitta anatakiwa kupumzika alichowafanyia watanzania ni dharau isiyovumilika.
 
J

jedrick

Member
Joined
Aug 3, 2010
Messages
49
Points
70
J

jedrick

Member
Joined Aug 3, 2010
49 70
Nimekupata handsome boy 2014, Huyu MZEE amechoka vibaya sana jimboni. Kupumzika nilazima.
 
Yugu

Yugu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
1,083
Points
1,250
Yugu

Yugu

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
1,083 1,250
pamoja sana huyu 6 alishajichafua na katiba tz yote inatambua hilo
 
MFUKUZI

MFUKUZI

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
931
Points
225
MFUKUZI

MFUKUZI

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
931 225
Kila la kheri!!!... Ukipitishwa na chama nistue nikuchangie za kampeni
 
IFRS

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Messages
1,891
Points
2,000
IFRS

IFRS

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2014
1,891 2,000
Mwalimu Wa Kata mpaka ubunge.
Bora abaki huyo sitta.
 
Emma.

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Messages
19,913
Points
2,000
Emma.

Emma.

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2012
19,913 2,000
pambana mkuu sitta alishakufa kisiasa siku nyingi CV yake aliyaribia kwenye bunge la katiba .
 
H

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
606
Points
195
H

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
606 195
Mwalimu Wa Kata mpaka ubunge.
Bora abaki huyo sitta.
Hebu acha dharau au kisa umesoma hivyo viaccount ndio unaleta dharau.....!!!
 
IFRS

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Messages
1,891
Points
2,000
IFRS

IFRS

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2014
1,891 2,000
Hebu acha dharau au kisa umesoma hivyo viaccount ndio unaleta dharau.....!!!
Mtu anatupia CV kuanzia primary mpaka masters kasoma bongo,mbaya zaidi master ya education.
CV gani hizi zinatia aibu
Bukoba mtu kama huyu hata udiwani hatumpi
 
Window7

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
3,839
Points
2,000
Window7

Window7

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
3,839 2,000
Kwa nini hukuja na verified user ID mkuu jedrick ili watu wasiwe na shaka juu yako kwa maana mambo ulioandika yanahusu wasifu wa mtu na nia kisiasa, what if kama sio wewe Paul Andrew Maganga?
 
Last edited by a moderator:
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
12,667
Points
2,000
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
12,667 2,000
Mtu anatupia CV kuanzia primary mpaka masters kasoma bongo,mbaya zaidi master ya education.
CV gani hizi zinatia aibu
Bukoba mtu kama huyu hata udiwani hatumpi
Mama Asumpta Mshana ana degree ya nn?Acha hizo wewe!Masters ya Education ina ubaya gani?

Kuna ubaya gani kusoma bongo?Charles Mwijage mbunge wa Jimbo mjawapo Kagera kasoma wapi na nini?
 
Teacher on duty

Teacher on duty

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Messages
203
Points
500
Teacher on duty

Teacher on duty

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2014
203 500
Kila la kheri mkuu Paul Andrew Maganga, pambana mpaka kieleweke, wapo watakaokukatisha tamaa na kujiona wao zaidi ila fuata sauti ya wito moyoni mwako na lengo litatimia
 
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
12,667
Points
2,000
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
12,667 2,000
Mwalimu Wa Kata mpaka ubunge.
Bora abaki huyo sitta.
Mna mbunge ktk mkoa wenu alikuwa anapika ubwabwa Ikulu ndiyo mumkatae msomi kama huyu?

Kwa CV yake hii huyu jamaa anaweza kuwa hata Mbunge wa Kyela jimbo ambalo lina angalia zaidi elimu kwenye viongozi wake
 
MAHANJU

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
5,001
Points
2,000
MAHANJU

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
5,001 2,000
Mama Asumpta Mshana ana degree ya nn?Acha hizo wewe!Masters ya Education ina ubaya gani?

Kuna ubaya gani kusoma bongo?Charles Mwijage mbunge wa Jimbo mjawapo Kagera kasoma wapi na nini?
Mbona Hujauliza Kuhusu Naibu Waziri Wa Elimu Na Mafunzo Ya Ufundi?
 
MAHANJU

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
5,001
Points
2,000
MAHANJU

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
5,001 2,000
Vipi Tathmini Ya Uchaguzi Serikali Za Miita? Ulikisaidia Vipi Chama Kwenye Kampeni Za Uchaguzi Serikali Za Mitaa? Au Unasubiria Ubunge Tu?
 
M

Mnzajila GairoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Messages
562
Points
0
M

Mnzajila GairoTz

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2014
562 0
Mtu anatupia CV kuanzia primary mpaka masters kasoma bongo,mbaya zaidi master ya education.
CV gani hizi zinatia aibu
Bukoba mtu kama huyu hata udiwani hatumpi
Nyie inshomile mbona mnapenda sifa sana!? Kwani mtu akisoma hapahapa Tanzania bila kwenda kusoma ulaya elimu yake inakuwa haina maana!? Bac kama hivyo ni kwanini bac inshomile wote msihamie huko huko ulaya!
 

Forum statistics

Threads 1,316,007
Members 505,466
Posts 31,876,389
Top