Urais wa TLS hauna impact ya maana!

Congratulations, you're the second fool to have made it to my ignore list.
Unahisi ukiandika matusi kwa lugha ya watu ndio unaonekana msomi?
Ni mpumbavu kama wapumbavu wengine tu.

TLS iwepo isiwepo hakuna cha maana, mwenzenu kavuliwa uwakili kwa sababu za kisiasa hamjamsaidia kwa lolote, nyumbu tu nyie hakuna lolote zaidi ya kuvaa suti na kuchanganya kiswahili na kiingereza.

HKL mkiwa mnafanya majibizano mnaona kama nyie ni wasomi sana kuliko fani zingine shenzi sana wewe
Vicoba ni bora kuliko TLS


Chama cha kufa na kuzikana hicho
 
Wewe binafsi umeifanyia Tanzania jambo gani la maana ambalo tunaona impact yake ???
Mbona unatoka kwenye mada mkuu, Ukitaka kujua impact yangu kwa jamii mtafute katibu wa Kimei umuulize Kiwewere water project , pia kiwanda cha Heritage Drinking water utapata habari zangu.

Ila TLS msipo badilika hamna kitu pale, haiwwzekani kati ya wapiga 10,000 waliopiga kura no 800 tu hamko serious nyie wenyewe mnajua hamna impact.

Na msipo angalia mbele ya safari unakuwa tawi la ccm
 
Mkuu soma vizuri mission na vision zenu mbona unatafuta mahali pa kujifichia Mkuu kapitie tena Objectives zenu then urudi hapa, laiti ingezisimamamia hizo nanamini mngeaisika na.mngekuwa na impact kwwnye nchi.
 
Hii kweli kabisa- nakubakiana na wewe 100%, mwaka mmoja hauna impact yeyote... pili hawa waliowahi kufanya kazi serikalini sijui wanatafuta nini hadi sasa ambacho hawakukifanya walipokuwa kwenye nafasi zao huko nyuma hadi waje wagombee tena uraisi wa TLS ... maswali ni mengi !
 
Binafsi hujiamini mpaka mtu mwingine azungumzie habari zako (A typically Tanzania Intellectual)
Kwanini nimfuate Kimei aniambie habari zako wakati mwenyewe waweza kuzisema hapa ???
 
Sioni Faida ya TLS kama wanashindwa kuwa na nguvu ya kuwashawishi au kuwaeleza wabunge madhara ya Sheria zinazowadhuru Raia
...Sheria Bodi ya Mikopo
..... Sheria ya Udhibiti wa Vyombo vya habari (2015)
 
Tatizo mlishageuza TLS kua sehemu ya mapambano ya kisiasa.Mapambano yaliyoanza 2016 yaharibu sifa,morali na mwelekeo mzuri wa TLS.Nafahamu kwa nini mwaka huu hakujakua nongwa.Jibu ni kwa sababu wagombea wote ni wa ruling party na kama utulivu huu ungekua hata pale upande mwingine unapotoa mgombea bora basi nchi ingjifunza mengi.Ombi langu kwa mamlaka utulivu na kutoingilia mchakato viendelea hata hapo baadae bila kujali itikadi binfsi za wagombea hii itasaidia kujenga taasisi imara si tu kwa TLS hata vyombo vingine vya kitaaluma na visivyo vya kitaaluma.Vyama vya siasa navyo viache kuteka mambo ya TLS na kuingiza ajenda zao za kisiasa.
 
Wewe ni mwanasheria? Unaelewa maana ya professional body?
TLS siyo Professional Board ! Wewe ni ki.laza sana! Hii yenu ni Professional Association. Ingekuwa Professional Board kama kuna watu ina wa- accredit kama ilivyo NBAA ya Wahasibu ambapo kuna watu wanafanya mitihani ya Uhasibu kupitia NBAA then wanatunukiwa vyeti (CPA) ambayo ni Accreditation ya Wahasibu hapa Nchini!
Wanasheria kabla hujawa wakili (Advocate) kuna role yoyote TLS ina- play ?!
Wanasheria wanaenda Law School then wanahojiwa na Jaji Mkuu uki- pass then unaapishwa kuwa Wakili full- stop! TLS iko wapi hapo?!
Mnakutana Arusha kula bia na nyama choma tu ! Hamjitambui na hamna impact yoyote ,mkiambiwa mnambilia kuita watu DARASA LA SABA!
 
akikujibu unitag
 
Naona umetokwa povu sana mkuu haya nieleze tofauti kati ya hizo maana mimi ni kilaza...maelezo niliyoyatoa yamo humo...

 
Kabisa, TLS inafaa ijitathimini kwa mabo mengi likiwemo hilo la muhula wa Uongozi. Mwaka mmoja ni kipindi kifupi mno kuweza kutekeleza ajenda yeyote ya maana. The term should be at least 3 years.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…