Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,276
- 18,350
Unahisi ukiandika matusi kwa lugha ya watu ndio unaonekana msomi?Congratulations, you're the second fool to have made it to my ignore list.
Ni mpumbavu kama wapumbavu wengine tu.
TLS iwepo isiwepo hakuna cha maana, mwenzenu kavuliwa uwakili kwa sababu za kisiasa hamjamsaidia kwa lolote, nyumbu tu nyie hakuna lolote zaidi ya kuvaa suti na kuchanganya kiswahili na kiingereza.
HKL mkiwa mnafanya majibizano mnaona kama nyie ni wasomi sana kuliko fani zingine shenzi sana wewe
Vicoba ni bora kuliko TLS
Chama cha kufa na kuzikana hicho