Independent-Mind
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 712
- 207
Mkuu,bado nauliza. warundi si wa kupigiwa mfano? mfano makamba kawa rais oktoba. hope ana 41or 42. akimaliza term zake mbili ana 52. around age ya nkurunzinza. unsdhami makamba atajishughulisha tena na nini baada ya urais? we are creating dormant intellectuals
Ndio maana nikasema hiyo ya kutaka kujiongezea muda ni hulka ya mtu sababu wakati unatoa mfano wa rais kijana anayetaka kujiongezea muda,usisahau pia wako marais vijana duniani waliomaliza muda na kukaa pembeni bila shida.