Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,455
- 8,248
na si wale wanaojiandaa wenyewe na kuanza kupayuka payuka hovyo kuwa wanafaa kuwa marais bila ya kuandaliwa na chama makini.kwa chama makini,huu ni wakati muafaka wa kuanza kuandaa mgombea wa urais