majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 568
Huo "uijnga" wa "kujenga" katika huu upunguani wako umeusahau?
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
= ujinga
Wee dada akili zako sijui zipo sehemu gani? ebu nikuache mie.
Mi sijaenda shule yoyote, nilisoma madrasat kama huko ndo wanafundisha huo unaoita ujinga sawa!!
Samahani FaizaFoxy, kuna swali nataka nikuulize mara nyingi ila huwa nasahau........hivi wewe umeolewa au unae hata Mwanaume? Jibu lako litanisaidia kufahamu asili ya comments zako.