URAIS 2015: Mapinduzi Kwenye Sekta ya Elimu!

Nilitoa mchango wangu kama mzaha kwa mchokoza mada. lakini ni hali halisi hata kama ni mzaha as nipo Mwanza-Magu kata ya Mwamanga. Shule ya Upili ya kata tajwa haina choo tangu 2013 na kilichopo haki kidhi mahitaji ya wanafunzi kwa ubora na matundu. Jirani ya shule ya Upili ipo shule ya msingi ambayo choo chake kimedidimia tangu mwaka jana, suruhisho wakaomba msaada watumie choo cha Shule ya Upili kwani hata Shule ya Upili walipokua hawana choo walitumia cha shule ya msingi. Mind you TUNDU MOJA LA CHOO LINAENDA KWA UWIANO WA WATOTO 45, choo kitumikacho kina matundu 6. Idadi ya wanafunzi wote wa Upili na msingi wanaweza fika 800, Je kwa idadi hii ya watoto unaona ni sawia kiuwiano? Na ni kweli tupu isiyo ya kushangaza kukuta kaya huku usukumani haina choo. URUDIPO USUKUMANI KWENU HIMIZA JAMII YAKO KUONA UMUHIMU WA VYOO.

Yaani research yako uliishia kwenye shule mbili za jirani kwenye kata moja kati ya mikoa yote minne wanayokaa wasukuma? Utachekwa ujue......hizo shule zipo chini ya halmashauri au za msukuma mmoja?
Mi nilisoma jitegemee enzi za mwalimu mkuu massawe, Ktk miaka yangu miwili pale shule naweza kuwa niliingia chooni sidhani kama zinafika mara nne. ..vile vyoo vilikuwa havina hadhi ya kuitwa choo na ukitoka chooni basi lazima ukae sehemu upigwe upepo maana mwili nguo zote zinanuka kutokana na harufu kali ya choo, kwa kifupi vile vyoo havikuwa salama kwa matumizi ya wanafunzi. ...sasa unataka na mimi niweke uzi hapa kuwa "watu wa dar es salaam hawajui umuhimu wa choo kwa kuwa vyoo vyao vingi havina vigezo? ".......halafu mbona hutaji wazazi wako wanatokea mkoa gani?
 
Naona mwenye uzi kaamua kutuachia uzi wake Mimi na Wewe. Nimetoa sample shule mbili, lakini hata kaya za eneo hilo choo kwao ni Mkwe. Kuthibitisha hoja yangu kuwa jamii yako haitoi kipau mbele ktk ujenzi wa vyoo, shule nyingi za Upili na Msingi zimejengewa vyoo na shirika la Umoja wa Mataifa. Msaada hadi kwenye vyoo?

Afu mtu kiazi kweli, kwa hiyo ukijua mkoa nitokeao ndio kusema wataka kupima wepi wako mbele katika matumiz ya vyoo? MTANI RUDI KWENU UHIMIZE NDUGUZO KUJENGA VYOO.
 
Unakwepesha kusema mkoa wako sababu unajua huwezi kuwa salama, mi ni msukuma tena wa kutoka bariadi mkoa mpya wa Simiyu. ....nawe sema unatokea wapi ndio tuanze kuchekana sasa. ....halafu mshkaji wangu, wajanja wote wapo mijini, we unafanya nini vijijini? Hehehe
 
hakuna kigen ndani ya ccm hk unatuambia nini huwezi kuleta mageuzi ndani ya ccm mabadiliko tuta pata nje ya ccm tu! nyinyi ccm ni unafiki tu
 
Unakwepesha kusema mkoa wako sababu unajua huwezi kuwa salama, mi ni msukuma tena wa kutoka bariadi mkoa mpya wa Simiyu. ....nawe sema unatokea wapi ndio tuanze kuchekana sasa. ....halafu mshkaji wangu, wajanja wote wapo mijini, we unafanya nini vijijini? Hehehe
Nafanya kazi kijijini na ng'ombe wenzio, lakini jioni narudi zangu jiji. Unatokea bariadi gamboshi afu unajiita mjanja?Mnyantuzu una ujanja gani Bwana Mdogo?
 
Mbona unatoa sana matusi halafu husemi we unatokea mkoa gani? Acha kupanik. ......mjanja ungekuwa kijijini? We kubali tu huko ndio alipoolewa dadaako na msukuma na wewe unakaa kwa shemeji yako ambae ni mwalimu hapo. ....siwezi kukucheka maana najua bila shemeji kukuhifadhi hali itakuwa mbaya zaidi kwako.
 
Back
Top Bottom