Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.
Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana.
ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.
Ulisema mwenyewe Mwanza wakati wa harambee ya Chinga......kiwofu lini umekuwa msemaji wangu? unapata faida gani kung'ang'aniza.?
Mkuu ukifanya siasa safi utakuwa huna kundi ila siasa hizi za kuchanganya na masuala ya kusema una ushahidi utautoa hadi mbinguni sio nzuri.
kiwofu lini umekuwa msemaji wangu? unapata faida gani kung'ang'aniza.?
Mwigulu Nchemba in short nlikuwa nakuchukia sana, ila nakumbuka we had a time tukaongea last week japo hatukuzungumzia siasa but I realized una akili sana and you ar good at heart.
Mob usichanganye mambo. Nakushauri fanya uchunguzi kabla ya kuamini au kutoamini. Jihangaishe kidogo tu
Mob usichanganye mambo. Nakushauri fanya uchunguzi kabla ya kuamini au kutoamini. Jihangaishe kidogo tu
Thanx sixgates. watu wengi hawanijui vizuri.
Thanx sixgates. watu wengi hawanijui vizuri.
Mwigulu Nchemba in short nlikuwa nakuchukia sana, ila nakumbuka we had a time tukaongea last week japo hatukuzungumzia siasa but I realized una akili sana and you ar good at heart.
alikupa dili la kumwagia watu tindikali nini!?