Mkuu jMali kama kusudi ni kutumia ethnicity yao, kwanini hawakuvamia Uganda yenyewe walipokuwa wanaishi?
Mimi sijui malengo yao najua yale ambayo yametokea na yanathibitika. Lakini food for thought: Museveni is a mhima, wahima wanashare ancenstry na watutsi, hawa ni ndugu moja. kagame na watutsi wenzie walipigana katika jeshi la Museveni kupindua serikali ya Uganda wakati ule, na Museveni baadae akaprovide vikosi vyake kumsaidia kupindua Rwanda. So i think hawavamii Uganda kwa sababu tayari wanatawala huko?
Lakini ningeomba tujadili yale yaliotokea ambayo yanathibitika kwanza

You said it well jMali. Wakati wanavamia Uganda na baadae Rwanda na wanachokifanya huko Mashariki ya DRC, huwa wanashirikiana watutsi wote (call them wahima, banyankole, waha, wahangaza etc) kwa pamoja. Mfano, wakati rpa wanapigana kuvamia rwanda, watutsi wengi ambao tulikuwa tunajua ni WaTZ walienda vitani. Kule mpakani na burundi upande wa Kigoma panaitwa Manyovu, kuna wkt watusi wa kule waliingia burundi kupiga kura; waha wakawastukia..it wasn't good kwa kweli.. so these people think they are strategic, ila waTZ sasa tumewajua ndo mana akina Koba wakiona nondo kama za jMali, Mokala na wengineo jamaa wanapata wazimu kabisa wanaishia ku name watu km vile hutu, interahamwe nk.. hawaamini kama their satanic conspiracy is well known to many TZs. Congrats jMali
Try to argue from your mind like Jmal and not from feelings of your heart
RPF iliundwa 1988 nchini Uganda, shabaha kubwa ikiwa ni kukusanya na kurudisha tena Wanyarwanda waliokuwa uhamishoni na pia kuunda serikali
mpya ya Rwanda.
RPF iliundwa na wakimbizi wa Kitutsi waliokimbilia Uganda na wengi wao walikuwa wakitumikia NRA ya Museveni.
Kama unataka watu tu argue njoo na hoja za msingi siyo huu upuuzi! Mtu anaanza kuquestion genocide ya Rwanda ana akili timamu huyo?
Moja ya sababu ya mara moja moja kuingia ktk hizi threads za aina hii imekua ni kutoa elimu kwa watu kama wewe ambao mnachochea chuki kwa maslahi finyu sana. Soma vyema historia ya koo za Wahima na kiasi gani mengi ya makabila ya magharibi ya Tanzania tukiwemo sisi Wahaya tuliongozwa na koo hizi! Chuki zenu mbaki nazo huko kwenu siyo kuja kuwafitinisha watu wengine
You said it well jMali. Wakati wanavamia Uganda na baadae Rwanda na wanachokifanya huko Mashariki ya DRC, huwa wanashirikiana watutsi wote (call them wahima, banyankole, waha, wahangaza etc) kwa pamoja. Mfano, wakati rpa wanapigana kuvamia rwanda, watutsi wengi ambao tulikuwa tunajua ni WaTZ walienda vitani. Kule mpakani na burundi upande wa Kigoma panaitwa Manyovu, kuna wkt watusi wa kule waliingia burundi kupiga kura; waha wakawastukia..it wasn't good kwa kweli.. so these people think they are strategic, ila waTZ sasa tumewajua ndo mana akina Koba wakiona nondo kama za jMali, Mokala na wengineo jamaa wanapata wazimu kabisa wanaishia ku name watu km vile hutu, interahamwe nk.. hawaamini kama their satanic conspiracy is well known to many TZs. Congrats jMali
You must have a lot of free time on your hands. Please continue. I am enjoying your "pumba" every moment you write here. I have some contacts in the publishing industry. I can connect you so that you can write a book about the garbage that you are spilling here. Hey, I can suggest a good title for your book " The Garbage according to Jeean Marie"...lol
Spin it whatever you want, wewe ni hater tuu wa watutsi na kumbuka anybody can come with millions reasons to justify anything, you singled out hao watu hapo juu for one and only one reason... TUTSI,shame on you, Kazi yako ni kueneza chuki tuu juu ya watutsi ndio maana huchoki posting garbage and seems you are in someone payroll, utawapata ignorant fools and extremist wenzako ndio wanakuamini,na ------ kama wewe ndio mliosababisha genocide itokee na hata humu jf wakikuachia na huu upuuzi wako you can make some damage,post zako doesn't belong here at jf Kuna extremist websites peleka kule ila one thing for sure you are not going to win or gain anything from hate propaganda and it will backfire 100%.
Nikiulize swali dogo hivi nini sifa za mtu kuitwa Mtanzania? Huo mfano wa Kabila unaotoa hapo ni kitu tofauti na kesi za akina Bandora,Ulimwengu,Castico na Amani. Watu wa aina ya Kabila walikuepo wengi hapa wakati wa awamu ya kwanza na kiasi awamu ya pili
Binafsi nimesoma na watu wa aina ya Kabila pale Muhimbili Primary sch. ktk miaka ya mwisho wa sabini kuja mpaka ktkt ya themanini. Lakini lazima utambue serikali ilikua imewapa hifadhi na ulinzi!
Keep spilling out your garbages lakini one word ARUSHA ndio mnatakiwa kule kwa genocide mliyofanya na sio kagame anaye finance trial zenu ni international community are they wrong too?and your feel good fiction fantasies about hima empire is all BSNani anaongea fitna hapa? Nani anachochea chuki?
1. Wewe bisha kama hakuna uhusiano kati ya wahima na watutsi.
2. Bisha kama hiyo account niliyotoa ya uhusiano wa Museveni na Kagame ni fact au fiction.
Mnatakiwa Arusha kujibu mashtaka ya genocide wapuuzi wakubwa nyie,vita mlishindwa mkapigwa na baba zako kina bagosora wanaozea jela na wengine you are criminal wanted,and pls spare us with your BS of hima conspiracy maana is all garbage..you lost give it up!Ukiongelea udhalimu wa waarabu, wazungu na wakoloni wengine does that mean you hate them all? vipi kuhusu terrorists ukiongelea kuhusu al-shabab does that mean unachukia wasomali wote? I don't hate ALL tutsis. I hate YOU kind of tutsis!
Genocide ni matokeo ya watu kuvamia nchi period. You should be ashamed of yourselves. Mnasababisha watutsi wasiwe na raha kokote kule kwa tamaa zenu za madaraka.
Mkuu, huyu jamaa yuko blinded by his hatred kwa watutsi kiasi kwamba haoni kwamba anaji contradict mwenyewe. Na the more watu wanampa forum na nafasi kama hii, basi anajiona kuwa ni some "expert" on Rwanda. Unfortunately, expertisim yake inaishia kwenye Google tu. So, mimi nina enjoy googled comments zake ambazo hazina mantiki hata kidogo. Hawa ndio wale tunawaita "good at everything, best at nothing". Lakini tumpe fora hii....he is very entertaining.
Mnatakiwa Arusha kujibu mashtaka ya genocide wapuuzi wakubwa nyie,vita mlishindwa mkapigwa na baba zako kina bagosora wanaozea jela na wengine you are criminal wanted,and pls spare us with your BS of hima conspiracy maana is all garbage..you lost give it up!
Keep spilling out your garbages lakini one word ARUSHA ndio mnatakiwa kule kwa genocide mliyofanya na sio kagame anaye finance trial zenu ni international community are they wrong too?and your feel good fiction fantasies about hima empire is all BS
Such a liar, hakuna sehemu Yeyote kagame anatakiwa kujibu anything na dunia nzima dismissed case mlizomfungulia..kawadanganye washamba wenzako sio hapababa yako kagame anatakiwa france huko, spain, hata marekani inamlia timing, ngoja kidogo SA waprove kamuua karegeya usikilize mziki wake!
Nawashauri hii siyo sehemu sahihi ya michango ya chuki,pelekeni ktk mitandao yenu!