Urafiki wa Kagame na Magufuli umeanzia wapi?

Hizi hoja za kitoto kabisa. Kama muingiliano wa makabila ni tatizo basi Mchagga na Mchagga wasingekuwa wanaoana maana tayari ni ndugu kwa maelezo yako. Tanzania na Rwanda ni majirani lazima wawe marafiki hata maandiko yanataka umpende jirani
 
Watanzania kwa umbea hatujambo. Mtu akifa tuna story juu ya kilochomuua, mtu akigombana na mwingine tuna la kusema, na sasa watu wakionekana kuwa marafiki tuna ya kusema!
Wasiwasi ndio akili. kuhoji, kutaka kujua jambo kwa undani na kwa hakika ndio akili hasa!
 
Sasa kama JK na PK walikuwa na tofauti zao ndiyo utake kumzulia Dk.Magufuli wa watu??

Umri wa Kagame na Dk.Magufuli ni karibu sawa - Rais Kagame maisha yake ya utotoni na ujanani kakulia na kusomea Uganda, wazazi wake walikimbilia uhamishoni Uganda wakati Mh.Kagame akiwa a toddler kabisa, akuwahi kurudi Rwanda mpaka kwenye miaka ya mwisho mwishoni ya themaniini kwa kujiiba iba ili Serikali ya Habyalimana isimgundue maanake alishajulikana ni lebel dhidi ya Serikali ya Rwanda ya wakati huo.

Hivi inaingia akilini kwamba PK aliyekulia Uganda na Baba yake kuagia Dunia na kizikwa huko anaweza kuwa na udugu wa damu na Dk.Magufuli kweli?

Kwani nani ajui kwamba Dk.Magufuli alizaliwa Chato Mkoani Kagera kabla wilaya hiyo aija hamia Mkoani Geita - na kabila lake linajulikana wazi wazi.

Haya madai yanayo kuwa raised hivi sasa lengo lake ni nini hasa? Dk.Magafuli ni mchapa kazi na a results oriented man, kwa nini tushagae akimtafuta Rais aliye fanikiwa kuleta mabadiriko/maedeleo ndani ya Taifa lake ili na yeye ajifunze kitu - kuna ubaya/dhambi gani hapo. Siyo vizuri kueneza uzushi uliyo pitiliza mipaka.
 
Eti kuna makabila ya ...., wanyarwanda, wahaya, warundi, ....n.k. Ni mwalimu wako ama kichwa chako kibovu? hayo mawili yanapatikana nchi zipi hapa ulimwenguni?

Kwa kanda ya ziwa haya makabila ya Hutu na Tutsi yakiingia Tanzania yanajulikana kama Warundi na Warwanda! Hivi wewe hujui kama kuna Wahaya wako Tanzania,Wanyarwanda (Tutsi&Hutu)wako Rwanda na Warundi wako Burundi(Tutsi,Hutu)?
 
Wapuuzi sana hawa, uzushi tu na kujitia ujuaji - kwa nini awaulizi wenyeji wa huko wakawapa ufafanuzi wa kina - tunajuana asili zetu hata vipite vizazi vingapi - mwenye asili ya Rwanda anajulikana (HUTU/Tutsi), asili ya Burundi anajulikana (Hutu/Tutsi) hata baadhi yao wakihamia mkoa wa Kagera specifically Uhayani wakazungumza Kihaya fluently, wengi wao wako fluent kweli kweli lakini bado wanajulikana hata ipite karne lukuki.
 
Sasa kama JK na PK walikuwa na tofauti zao ndiyo utake kumzulia Dk.Magufuli?

Kwani nani ajui kwamba Dk.Magufuli alizaliwa Chato Mkoani Kagera kabla wilaya hiyo aija hamia Mkoani Geita - na kabila lake linajulikana wazi wazi.
Haya madai yanayo kuwa raised hivi sasa lengo lake ni nini hasa? Dk.Magufuli kuanzisha urafiki na ubaya/dhambi gani hapo. Siyo vizuri kueneza uzushi uliyo pitiliza mipaka.

Bukyanagandi,
Kama unasema kabila la JPM linajulikana ni KABILA GANI?Mbona hulitaji?Umesema JPM anatoka Chato iliyokuwa mkoa wa Kagera na sasa Chato iko Geita baada ya mgawanyo wa mikoa na Wilaya!
Wasukuma wako Mwanza, Shinyanga na Mara kidogo lakini kwa Chato wengi ni Wahaya,Wanyambo,Wazinza na makabila yote haya yana ukaribu na kiasi cha kuoleana.

Hivi unaweza kujuua uhusiano ulipo kati ya Museveveni na Kabila?
 
tupe pia uhusiano wa mbowe na lowassa, maana kipindi cha jk mbowe na lowassa walikuwa maadui, urafiki wao umeanzajeanzaje
 
Kuna tetesi kuwa Magfufuli na Kagame hawakukutana barabarani uhusiano wao inasemekana waweze kuwa ni udugu wa damu!

Kwa asili Magufuli Pombe Joseph ni mtu anayetoka Kanda ya Ziwa maeneo yanayopakana kabisa na nchi za Rwanda, Burundi na Uganda. Katika mikoa hii ya Kigoma, Kagera kuna mwingiliano wa makabila ya ya Wahaya, Waha, Warundi, Wanyarwanda, Waganda, Wasukuma,Wazinza na Wanyambo.

Mpaka JPM ameingia kwenye Urais bado kabila lake rasmi haliko wazi. Kuna watu wanasema Magufuli ni Msukuma, wengine waasema ni Mzinza, wengine wanasema ni Mhaya au mchanganyiko wa Kisukuma na Kizinza!!!

Lakini kwa kasi ambayo Magufuli ameionyesha ya kuwa karibu sana na Rais Paul Kagame wa Rwanda imeanza kuleta hofu. Kuna uwezekano mkubwa wa Magufuli kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na wa kifamilia na Kagame. maana haingii akilini Rais huyu huyu Paul Kagame alikuwa na uadui na Rais mstahafu Kikwete kiasi cha kutishia amani ya nchi hizi mbili lakini leo imekuwa ni kinyume chake!! Kuna nini hapa?

Uwezekano wa Magufuli na Kagame kuwa na udugu uliotokana na mwuingiliano wa makabila ya mipaka ya Tanzania, Rwanda na Burundi ni mkubwa sana. Miaka ya nyuma kwenye 1960s na 1970s kulikuwa na wimbi kubwa sana la Warundi na Wanyarwanda waliokuwa wakija mikoa ya Mwanza, Kagera, Shinyanga kwa kazi za kilimo cha Pamba na kuchunga ng'ombe na pia katika mikoa ya Morogoro na Tanga kwa ajili ya Kilimo cha Mkonge na Miwa.

Mwingiliano huu ulifanya baadhi ya Warundi na Wasukuma kuoleana na hivo kuwa na damu mchanganyiko wa makabila haya. Nahitimisha kwa kusema kuwa yawezekana kabisa tukianza kufuatilia babu wa babu wa babu wa John Pombe yawezekana ametokea hukohuko......!!!
What difference does it make? Tujenge taifa tuache hadithi
 
Mh.Rais Magufuli atafakari mara mbili mbili uamuzi wa kutumia Watutsi kwny Masuala ya Anga, TRA na reli ya kisasa
Jk alikuwa na sababu valid ya kuwakwepa, wamesababisha matatizo Uganda na CONGO baada ya kukaribishwa. ni Rahisi sana kuwakaribisha tatizo lipo siku ukiwaambia "Thank you & goodbye"
 
Wapiga ramli wa Jamiiforums.com
 
Mh.Rais Magufuli atafakari mara mbili mbili uamuzi wa kutumia Watutsi kwny Masuala ya Anga, TRA na reli ya kisasa
Jk alikuwa na sababu valid ya kuwakwepa, wamesababisha matatizo Uganda na CONGO baada ya kukaribishwa. ni Rahisi sana kuwakaribisha tatizo lipo siku ukiwaambia "Thank you & goodbye"

Umenikumbusha kisa cha Kabila Sr kuwambia kazi wamemaliza sasa warudi Rwanda, kilicho fuata kinajulikana - lakini hapa kwetu awawezi kufanya ujinga huo, tutashirikiana nao kwa machale sana - na Mh.Kagame is smart enough kujua kwamba sisi tuko interested na masuala ya biashara sio kukorofishana na majirani au adventures nyingine hatarishi - hilo Dk.Magufuli anapashwa kumweleza mapema - bila ya kufanya hivyo suala la Congo DRC na Burundi linaweza kuiweka Tanzania katika wakati mgumu, tukajikuta tunaimba wimbo wa Waingereza wa North West (Manchester) wa "SHOULD I STAY OR SHOULD I GO?" sina shaka mnajua ninacho maanisha, in other words Taifa letu liwe makini tusije tukajikuta tunakuwa caught "between a rock and a hard place" katika masuala ya geopolitcs kutokana na kuendekeza urafiki tukajikuta tunashindwa kufanya maamuzi magumu - biashara na ushirikiano sawa lakini tujisahau SANA - nayasema haya kwa nia njema.
 
Umenikumbusha kisa cha Kabila Sr kuwambia kazi wamemaliza sasa warudi Rwanda, kilicho fuata kinajulikana - lakini hapa kwetu awawezi kufanya ujinga huo, tutashirikiana nao kwa machale sana - na Mh.Kagame is smart enough kujua kwamba sisi tuko interested na masuala ya biashara sio kukorofishana na majirani au adventures nyingine hatarishi - hilo Dk.Magufuli anapashwa kumweleza mapema - bila ya kufanya hivyo suala la Congo DRC na Burundi linaweza kuiweja Tanzania katika wakati mgumu, tukajikuta tunaimba wimbo wa Waingereza wa North West (Manchester) wa "SHOULD I STAY OR SHOULD I GO?" sina shaka mnajua ninacho maanish, in other words Taifa letu liwe makini tusije tukajikuta tunakuwa caught "between a rock and a hard place" katika masuala ya geopolitcs kutokana na kuendekeza urafiki tukajikuta tunashindwa kufanya maamuzi magumu - biashara na ushirikiano sawa lakini tujisahau SANA - nayasema haya kwa nia njema.
Watutsi ni Wayahudi wa Africa Mashariki na Kati. Jakaya Kikwete aliwakataa kwa tabia zao sio urefu wa Pua zao. Tabia ya kudhani kila alichoamua Jakaya ni cha kubadilisha kitatugharimu sana. Kagame ni mzuri.kwny Muonekano tu sio utawala wala ubinadami atakuja kutuharibia Mh.Rais wetu ikitokea akavutiwa na Leadership style yake.
 
Bukyanagandi,
Kama unasema kabila la JPM linajulikana ni KABILA GANI?Mbona hulitaji?Umesema JPM anatoka Chato iliyokuwa mkoa wa Kagera na sasa Chato iko Geita baada ya mgawanyo wa mikoa na Wilaya!
Wasukuma wako Mwanza, Shinyanga na Mara kidogo lakini kwa Chato wengi ni Wahaya,Wanyambo,Wazinza na makabila yote haya yana ukaribu na kiasi cha kuoleana.

Hivi unaweza kujuua uhusiano ulipo kati ya Museveveni na Kabila?

Ni kweli Chato yapo makabila uliyo taja hapo lakini si kwa wingi kihivyo Wilaya hiyo ni predominantly wazinza - we sema Wahaya, Wanyambo, Wazinza lugha zao na tamaduni zinafanana sana - wasukuma ni tofauti kabisa.
 
Watutsi ni Wayahudi wa Africa Mashariki na Kati. Jakaya Kikwete aliwakataa kwa tabia zao sio urefu wa Pua zao. Tabia ya kudhani kila alichoamua Jakaya ni cha kubadilisha kitatugharimu sana. Kagame ni mzuri.kwny Muonekano tu sio utawala wala ubinadami atakuja kutuharibia Mh.Rais wetu ikitokea akavutiwa na Leadership style yake.
Kilichofanyika congo kinafahamika. Kinaweza tokea hata hapa tanzania. Watusi co watu wema.
 
Back
Top Bottom