Urafiki wa Jinsia Tofauti

Je, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?

Hapo hakuna urafiki Mkuu. Lazima Mwanamke aliwe, tena kama Mwanamke ni Mke wa Mtu anakwambia Fulani wa jinsia ya kiume ni rafiki yake basi jua huyo rafiki wake wa kiume anamkula Mkeo.

Hakuna urafiki wa jinsia tofauti. Tena urafiki wa namna hiyo ndiyo utakuta Njemba zinakula hadi TIGO na wengi wao wa wanawake wa namna hiyo hawana Marinda
 
Je, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?
Urafiki wa namna hiyo haupo.

Labda itawezekana iwapo watu hao ni 'wagonjwa' wa hormones.

Huwezi kumpenda mwanamke halafu ukakosa hisia za kufanya naye mapenzi.
 
Umenichekesha sana asubuhi hii😅😅
 
🫶🫶🫶🫶
 
🙌😜.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…