Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,598
Kabisa mkuuKukopesha marafiki ni shida sana, mara nyingi huwa wanazingua.
Mimi rafiki akiniomba nimkopesha nachukulia ni kama ninempa tu. Kama naona simudu kumpa na kuisahau, basi simkopeshi.
Kuna kauli mm ukiniambia nakudai nikopeshe nakudai ila nisaidie nakupa kabisaMwanangu kabisa akinipiga pesa kazi anayo maana najua nitairudishaje, ila mara nyingi tunasaidiana hatuazimani, tunafaana kwenye shida.
Nikopeshe 😅😅😅Kukopesha marafiki ni shida sana, mara nyingi huwa wanazingua.
Mimi rafiki akiniomba nimkopesha nachukulia ni kama ninempa tu. Kama naona simudu kumpa na kuisahau, basi simkopeshi.
Sijasema ni medhulumiwa kingine iko ni kiasi kidogo tu nimeazisha kuonyesha jinsi gani watu wanakosa uaminifu kingine 10000 haiwezi kuitwa 10000 kama 100 imekosena usidharau 100 kisa una 10000Mkuu, jitahidi kukopesha kiasi ambacho hata ukidhulumiwa hautokuja kuanzisha thread.
Matajiri wengi kwenye pesa hawatoi ovyoMi huwa nina roho ngumu kwenye pesa zangu aiseee....
Yaani roho ngumu mno...
Na maisha yanasonga
Wakiwa na shida wanalialia sanaMm nina slogan moja, simkopeshi wowote,,,, hata ndg yangu ni big No ! Kuliko uniambie nikukopeshe, ni bora uniombe ili nijue nitakusaidiaje kama ipo utapewa na kama sina basi !
Maswala ya kumkopesha mtu nakuja kumdai tena kwa kumpa kusudi la uhitaji wa hela yangu ni ujinga na upumbavu
Ahahha ushanisaidia na mabosi zangu wananilipa kwa mwaandiko uhuuPole bro, hapo ushkaji utapungua/utaisha.
Ila jitahidi kuboresha muandiko wako huwezi jua, muandiko una nafasi ya kukusaidia kimaisha.
Yaah mi nipo hvo an..Matajiri wengi kwenye pesa hawatoi ovyo
Ujue kuna watu wanaishi ivyo ila usisema nikopeshe au niazimeUnajua inakuwa Ngumu sana kurudisha pesa niliyopewa na rafiki yangu kipenzi. Mimi ntajua umenipa
Ahaha we siku kabisa kabisanikopeshe na mm u mama mkwe ufe
Au sioYaah mi nipo hvo an..
Sitoi wala sikopeshi nakaka ni rafiki ukikasrika poa tuu mi sijari