Wakuu,
Natambua ya kwamba hili bandiko haliko pahali pake sana, ila naweka kwa sbb najua hapa watu wengi zaidi wanapitia.
Naomba Mtu yeyote aliyemaliza Mtwara TTC diploma, mwaka huu, hasa aliyesom Historia na Kiswahili aniPM. Nahitaji msaada wake.
Ahsanteni,
Jjf2050
Vipi unataka kumtafutia kazi au unataka madesa nini? au tuition ya kiswahili na historia? Maana sasa hivi nina wasi wasi sana na watoto wa Mulugo!
duh urafiki si ndo huu.
Asnam, naomba unipm kama maelezo niliyotoa yanakuhusu au hata kama unajua mtu mwingine aliyesoma hapo H & K na kumaliza 2013. Ahsante.