Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.

Ukitaka maendeleo JIHUSISHE na aliyekupita maendeleo. Hata darasani ukiwa ni "D" student ukawa na "D" friend, utaishia kuwa "F" candidate
 

Kenya ingawa tunachambana lakin tunashare mambo mengi na kenya than any nation hata wafanyabiashara wanaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…