hahahahahahah amu mbona unamkomalia lara 1 hivoooo?? hana jimoyo gumu ndomana akaleta hii ishu hapa tumshauri....anajua sio sahihi...amekuwa akielezwa hilo....yamemuingia moyoni yakamkera na ndo mana anataka viewz za wadau.....na amini ataamua kwa busara...kibongobongo kuwa na urafiki na mume wa mtu its an abomination !!!!
hivi kweli utaruhusu mumeo kabisaaa awe na urafiki na mtu kama lara 1
na hapo bora angekuwa rafiki wa wote wa familia ye rafiki yake mume tu!!!!!
Wanawake wa mjini hawaaminiki hata kidogo.
lara 1 shost punguza ubest na huyo mume wa mtu
na hapo uzembe ni wa huyo mwanamke mpaka ushost wa mume wake na lara 1 kunoga hivyo
Ciello huyu lara 1 unamuonaje???ana jimoyo gumu balaa
Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho!
Asahvi hata mmshauri vip Lara1 hawez waelewa!!
She is not commited to anyone so she is free to mingle!!
Asiende kunywa bia anamuwah nani hme!?
She has all the tym to wait 4 jam to end!
When will all this stop(wakat huo hatahesabu hata huo urafiki wao una miaka mingap wala hatajiuliza anamkatalia vip), atakapokuwa mke wa mtu na mtoto m1 tu sio wawil wala watatu!
Nnachotaka kukwambia mydia si kweli huwez kuendup au kupunguza muda unaospend na huyo mume wa mtu hujaamua tu na haujaona sababu ya kufanya hivo!
Kwa hiyo muda ndo utakaokuamulia ila mantain heshima kati yenu mpaka huo mda utakapofika kama huwez kustop!
kuna jamaa ana mke wake, na huwa anaenda kwake na mwanamke mwingine kamtambulisha hadi wife kuwa yule ni rafikia ake, kumbe kiburudisho chake huo si ufala unafanyiwa....
kwangu mie hiyo kitu hakuna, hata rafiki angu mazoea na shemejiye sitaki!!!!
hahahahah umenigeuzia kibao sio eeeh??? alokwambia mie wa kulialia nani???
Binadamu yeyote aliye timamu ni selfish likija swala la mapenzi...who would be happy to share the attention of her lover with another woman (if it's only attention because I doubt)?....wish ningekuwa mke wa huyo jamaa...angechuzi Lara 1 or me...
Upole ukizidi hayo ndio matokeo...alichosema Lara 1 kina exist saana tu...nina rafiki yangu mume wake ana urafiki wa utata na mabinti, na yuko wazi in the name of just friends lakini kuna kila ushaidi anamega.
Ila wanaume wa hivyo wako very smart wanaoaga wake wapole mpaka wajinga!!!!

Hahahaaaaaaaa! Mkewe mtata sanaaaa! Yaaani usimpimie! Sema kuna mambo yako out of control ya mkewe! Kama hili la urafiki! Anajua hawezi kumpangia marafiki wa kuwa nao! Na yeye aliolewa huyo bwana akinywa, plus yeye hanywi, sasa hawezi tu kumkataza au kumpangia akanywe na nani? Mumeo akiwa mnywaji na wewe sio inabidi tu ukubali yoteeee!
Tunahitaji sana kampani ila wake zetu wakiona hulali usiku mpaka ujibu page 10 za maswali na ujibu kulingana na marking scheme yake. Ili kuepuka hilo basi tunajitenga ingawaje kwa maumivu
Binadamu yeyote aliye timamu ni selfish likija swala la mapenzi...who would be happy to share the attention of her lover with another woman (if it's only attention because I doubt)?....wish ningekuwa mke wa huyo jamaa...angechuzi Lara 1 or me...
Upole ukizidi hayo ndio matokeo...alichosema Lara 1 kina exist saana tu...nina rafiki yangu mume wake ana urafiki wa utata na mabinti, na yuko wazi in the name of just friends lakini kuna kila ushaidi anamega.
Ila wanaume wa hivyo wako very smart wanaoaga wake wapole mpaka wajinga!!!!
Taaabu yetu wengi akili iko sehemu moja tu, hapa unazungumziwa urafiki basi NUKTA!Umeonaaaa! Hata wanaobisha hawana hoja za msingi za kubishia!
Mimi mbona bar natinga na chupa ya soda...mume wangu anakunywa mimi sinywi lakini akitaka kwenda bar; mi ndo company yake...na hiyo inasaidia turudi mapema nyumbani kuwahi watoto kabla hawajalala (maana watoto wetu wako demanding...they have to see us before going to bed)...waache hao wanaotumia excuse ya kutokunywa kubweteka nyumbani waendelee kusaidiwa.
hilo linaeleweka, najua inauma to stay away from ur friend bt you have to do it !!! binafsi nina marafiki wa hivyo wa kike na kiume, ila the moment wametake vows, nilikeep my distance....iliniuma sana ila nilitambua napaswa kufanya hivyo....si kuwa unaua friendship ila unatoa yale mazowea ya kuwa karibu nao like 24/7 kama ilivyokuwa awali...
narudia tena hiyo ndoa yake si jukumu lako wewe..ni jukumu lake muoaji...kwani alioa akijua anamudu changamoto hizo za ndoa....anajisikia mpweke coz anamchukulia mkewe kama mtu wa kutengeneza naye familia tu...hajamfanya mkewe kuwa best friend wake....mwambie amtreat mkewe more than a wife....yeye ni rafiki wake wa kwnza b4 anyone else..ndomana wanasema utawaacha baba na mama ...mtaambatana wawili...
sisemi umpe makavu ila jaribu kuchomoka kwenye huo urafiki kimyakimya....yeye ni mtu mzima...atasoma reactions zako na atakuelewa...
Umehama mlengo wa Kushoto?
Unajua lara 1 anajaribu kulinda ndoa ya mtu!!!!!!!!!!!
Kuna wakati alisema kuna mume wa mtu anahitaji ushauri kwake ili amwamche mke wake kwa sababu amezidi uzito!!
Leo ni ishu ya Mume wa mtu mwingine anahitaji saana kampani ya Lara 1 pengine kwa sababu mke wa jamaa hastahili!
Mungu akupe nini zaidi kwa kujaaliwa hekima ya kupewa "first priority"