hahahahah hakuna marudio babu dc....mwaka ujao ciello anakuja kivingine kabisa......tunasubiri mashosti wapewe viti maalumu nao wafunguke....
Sasa urafiki hadi awe mme wa mwenzio ? wanawake wenzako huwaoni ! yaani mwanamke mwenzio anahangaika kufua mijinzi, kiulaini kabisa we unatafuna nae bata, shame on you !!
Afu naomba kuuliza hiyo avatar ni real ndo ulivo? maana unaonekana mjanja mjanja sana!!
Subutu na we mda huo ushazama utamkumbusha kweli
ukiteleza uwezekano wa kutoanguka ni asilimia 0...!!!
Hahahaaaaaaaaa! Ujue Ciello huyu alikuwa rafiki yangu wa kawaida kabla hajawa besteee!!!!!!! Mambo ya familia ananieleza ili nimshauri lazima ujue mimi mtoto wa mjini so akitaka kiwanja au gari au chochote lzima aniombe opinion kama ni deal zuri au apotezeee! Na nikisikia ishu lazima nimwambie kama ana hela asababishe!
Ndoa yake ni jukumu langu as what are friends for? Siwezi kufurahi kitoto kile kisupu kikirudishwa kijijini kwa bibi mtu! Na hata yeye ndoa ikisambarika itamuumiza plus malengo yake hayatatimia! So kama rafiki na mtu anaemtakia mema i dont wish ndoa isambaratike!
Ofcourse angekuwa hajanitendea wema isingekuwa ishu kumpa makavu! Bt repaying badly mtu aliekufanyia nothing bt good deeds to the extent wema anatenda yeye ila mtendewa ndo najipangia kiwango its not that easy!!!!!!!!! Im always loyal to my friends!!!!!
hilo linaeleweka, najua inauma to stay away from ur friend bt you have to do it !!! binafsi nina marafiki wa hivyo wa kike na kiume, ila the moment wametake vows, nilikeep my distance....iliniuma sana ila nilitambua napaswa kufanya hivyo....si kuwa unaua friendship ila unatoa yale mazowea ya kuwa karibu nao like 24/7 kama ilivyokuwa awali...
narudia tena hiyo ndoa yake si jukumu lako wewe..ni jukumu lake muoaji...kwani alioa akijua anamudu changamoto hizo za ndoa....anajisikia mpweke coz anamchukulia mkewe kama mtu wa kutengeneza naye familia tu...hajamfanya mkewe kuwa best friend wake....mwambie amtreat mkewe more than a wife....yeye ni rafiki wake wa kwnza b4 anyone else..ndomana wanasema utawaacha baba na mama ...mtaambatana wawili...
sisemi umpe makavu ila jaribu kuchomoka kwenye huo urafiki kimyakimya....yeye ni mtu mzima...atasoma reactions zako na atakuelewa...
labda kama na wewe unammezea mate ndio uruhusu hayo makitu. ila mnaweza kuwa friends kwa roho safi kabisa.......
hivi @lara1 huyo nae ataingia kwenye category ya uzombi au? lol
urafiki haukatazwi after ndoa lakini isiwe too much kila akitoka kazini ampitiea Lara wakapombeke daily mkewe analinda nyumba, hii hapana kwa kweli,jiangalie vizuri shost
mke mwenyewe awe ni mimi we utanieleza.
Huyu rafiki wa kike kama hatembei na yeye basi atatembea na rafikiye au atakuwa kuwadi wake.
Hiyo kitu haipo we lara 1 hujaolewa na naona jimoyo lako gumu sana.
Unaona poa ila ukishikwa utajua uchungu wake.
Tena mie ukizidi urafiki nakubarasa mbele sitaki mchezo kabisa.
labda kama na wewe unammezea mate ndio uruhusu hayo makitu. ila mnaweza kuwa friends kwa roho safi kabisa.......
hivi @lara1 huyo nae ataingia kwenye category ya uzombi au? lol
mke mwenyewe awe ni mimi we utanieleza.
Huyu rafiki wa kike kama hatembei na yeye basi atatembea na rafikiye au atakuwa kuwadi wake.
Hiyo kitu haipo we lara 1 hujaolewa na naona jimoyo lako gumu sana.
Unaona poa ila ukishikwa utajua uchungu wake.
Tena mie ukizidi urafiki nakubarasa mbele sitaki mchezo kabisa.
mke mwenyewe awe ni mimi we utanieleza.
Huyu rafiki wa kike kama hatembei na yeye basi atatembea na rafikiye au atakuwa kuwadi wake.
Hiyo kitu haipo we lara 1 hujaolewa na naona jimoyo lako gumu sana.
Unaona poa ila ukishikwa utajua uchungu wake.
Tena mie ukizidi urafiki nakubarasa mbele sitaki mchezo kabisa.
ha ha ha umenichekesha bibie!!!!
hivi kweli utaruhusu mumeo kabisaaa awe na urafiki na mtu kama lara 1
na hapo bora angekuwa rafiki wa wote wa familia ye rafiki yake mume tu!!!!!
Wanawake wa mjini hawaaminiki hata kidogo.
lara 1 shost punguza ubest na huyo mume wa mtu
na hapo uzembe ni wa huyo mwanamke mpaka ushost wa mume wake na lara 1 kunoga hivyo
Ciello huyu lara 1 unamuonaje???ana jimoyo gumu balaa