Hii haipo kwenye menu ya wengi wetu.....
Nisiwezi kukubaliana na hali kama hiyo kama mke wangu ndiye anatoka na mate wake wa kazini,
Pia sitapenda kuendekeza kutoka toka na mate wangu eti kwa kuwa hatuna uhusiano zaidi ya kampani...
Ukikubali kuoa/kuolewa basi umejimilikisha kwa mtu na ownership ni exclusive....
lara 1, ....huna nafasi kwa huyo kaka na wala hutakiwi kuendekeza kampani za mume wa mtu....
Babu DC!!
Huyo anakulia timing tu...siamini kama hatakuja kuomba kidude. Urafiki na mume wa mtu haufai. Jiweke kwenye nafasi ya mke wa huyo jamaa...kama wewe ndo mke wake utafurahi jamaa akiwa na company na mdada mwingine? Kwangu mimi it is not OK.
lara 1,Hahahaaaaaa! Babu toa hoja za msingi na kidini ikibidi kuwa ubaya uko wapi? Sio flani hatojisikia vizuri! Hilo halina mashiko!
Ujue watu wanavonisemasema ndo imenikeraaa ila nikiwaambia waseme ubaya gani nautendaaaa??????? Wanabaki shauri lako, dhambi! Dhambi ipi???????????
lara 1,
Nadhani hutaki kuziona hoja na kwa hiyo hutakaa uzione....
Nimeongea kutoka kwenye uzoefu wa maisha ya ndoa na kama retired Maj Gen, na bado unabisha!!
Kuna vitu vingine haviwezi kuhukumiwa kwa sheria za nchi yoyote ikiwemo Tanzania au Jumuiya ya Madola...
They are wrong acts...basi..!!
Sasa kama unasubiri hoja...poa tu!!
Babu DC!!
Alaaa kumbe kuna history behind!
Hahahaaaaaaaaaaaa! Meja General bwanaa! Sasa tufanye nimekubaliana na wewe (Of which bado sijakubaliana!) Naanzia wapi kumkata huyu baba nanii!!!!!!! Mind you 3 long years of friendship!!! Siwezi kuacha tu kupokea simu yake! Na kumsomea risala bwana wewe umri umeenda kaa na mkeo mfanye maendeleo, mkeo hatofurahia hili, mimi sitoki tena na wewe blah blah blah! Its too late for that manake ni unafiki!!!!!!! Miaka 3 sijayaona yote hayo leo ndo nijifanye Sister Lara 1!!!!!!!! Mmmmmmmmmmmh!
History ni watu kwenye unywaji nikiwakaribisha waongeze bili, na wasinywe kwa mawazo saa ya kuondoka wanaanza kuuliza yule ndo shemeji mpya? Flani imekuwaje? Nawaambia ukweli! Nooooo! Yule ni Flani rafiki yangu, ana MKEWE na Mtoto, jst company!!!!!! Ndo wanaanza risala zao ndeeefu! Na bia walizokunywa wanaanza kuziona chachu!!!! LOL! Japo wengine vichwa vibovu wanadai kama shamba limenishinda niwaunganishe wao wakalilime!!!!!!!!! Sasa nikiwagomea kuwa Noooooo! Yule ana MKEWE na Mtoto wanaanza kunigeuzia kibao kuwa sina lolote kama ana mkewe mimi nafanya nae nini pale!!!!!! Tena wana nituhumu mie ndo mnafiki zaidi coz simpi chochote zaidi ya kumlia pesa zake! LOLEST! Bora niwaachie wao wampooze! Sasa unaona mi simtendeshi dhambi na siruhusu mtu amtendesha dhambi! The Wife is Safe with Me!
Kwa kuwa hadi sasa hujaona kama unachofanya siyo vizuri au ni kosa,
Haitakuwa sahihi na wala siyo vizuri kuongelea mbinu za kujiweka mbali na yeye...
Ila kama kweli ungejua kuwa unachofanya ni kitu kisichopendeza kwenye mahusiano kama ambavyo wengine tumekueleza, ingekuwa rahisi kutafuta remedy ambayo haitawaumiza nyote...
Kwa sasa endelea tu mdogo wangu lara 1,
Babu DC!!
Hao marafiki zako unahisi ni wajinga au vichwa vyao vina matatizo??
In any case, they are either right or you are .....!!
Babu DC!!
Hahahaaaaaaaaaaaa! Babu umeonaaa NO WAY OUT!!!!! Ikabidi uzuge! Kweli Sikio la Kufa Halisikii Dawa!!!!!!!
Hahahahaaaaaaaaaaa! Wala my Bf ananitreat sanaaa, sema "More is always prefered to less" The issue is why say no to more treats!!!!!? Hilo la ubaya mimi nimelifikiria ila sijaona uko wapi? Tukianza na amri 10 za Mungu!!!!! Ipi tunavunja? Isitoshe mimi nikikataa ndo nitaanza kupata dhambi ya kusema Uongo, Kuhisi vibaya!
Ofcourse kwa upande wake anaweza kuwa ana makosa ua hana! Mi nilikomuacha alikuwa anapata hela nyingi tu so sidhani kama familia inapungukiwa!!!!!! Na hata angekuwa mzazi wangu mi sioni tatizo!!!!!! He is not doing anything bad!!!!!
Ujue watu wanavonisemasema ndo imenikeraaa ila nikiwaambia waseme ubaya gani nautendaaaa??????? Wanabaki shauri lako, dhambi! Dhambi ipi???????????
inaonyesha we ni mtu wakuharibu ndoa za watu maana maelezo yako yanaonesha jinc gani wamtega kwa mitegoWakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!
Peopleeeeeeeeessssssssssss!!!!!!
Jamani ile tabia ya ubesteee na Mume/Mke wa mtu wa kukolea japo hamfanyi chochote jamii inauchukuliaj! Mfano wa company ya Bier, na mitoko maybe na stori stori za maisha!!!! Eti kama umeolewa afu mumeo ana rafiki rafiki mdada will it bother you?
For me sioni tatizo coz vita ushavishinda na ndani umewekwa, sasa kwanini usijiamini!? For me i have a friend this married guy tulikuwa tunafanya kaz wote zamani, he is super nice, sio mchoyo kabisaa, plus anaenjoy company yangu sanaaa! Hajawahi kuniomba kidude! Kjistukia tu na kumpotezea naona sio haki, sababu mtu hajanikosea chochote! hatujakwaruzana! Tena kila mda anamuongelea mkewe like its kitu cha kawaida!
Japo kuna wadu wananiponda sanaaaa! Sasa mi sioni kosa liko wapi? He is not cheatting on her!!!! Wala hajawahi kugusia hilo swala! Kwani a dude akioa ndo mwisho wa urafiki wake na wadada!???? Kosa lake labda kutoa offer za bier!
Eti wajameni hapo kuna utratra wowote ili nimpotezee huyu baba flani au it is okay kumchangamsha changamsha bab flani wa watu!
Hapana lara 1,
Wewe mwenyewe umeshafunga milango, ndo maana nikaona kuwa hakuna haja ya kujaribu kukushauri...
Sasa nitakupa ushauri wa nini wakati huoni kama unachofanya ni kibaya, kwako na kwa huyo mume wa mtu??
My simple advice,.... endelea tu mdogo wangu!!
Babu DC!!
In your Case who is the friendlier devil btn me n my friends!!!!!!!!!! (Usiwahukumu sanaa hao marafiki life is not fair to all of us and never was!)
inaonyesha we ni mtu wakuharibu ndoa za watu maana maelezo yako yanaonesha jinc gani wamtega kwa mitego
Hahahaaaaaaa! Babu duniani hatulingani some poople know by their heads, some learn from others!!!!!!!!!!!! Labada bado sijajua coz hamna alie nijuzaaaa!!!!!!!
We sahuri tu, utakuwa umefanya your part hata nikioverule huo ushauri hutokuwa wa kulaumiwa mbele za hii dunia na juu ya mbingu! Hapo itakuwa ni mimi ndo mkosefu!
Mwagaa advice hapa nimetega masikio mawili!
inaonyesha we ni mtu wakuharibu ndoa za watu maana maelezo yako yanaonesha jinc gani wamtega kwa mitego