Urafiki mjini taaabu tupu

Rafiki kila kukicha yupo mlangoni..mara ooh..nisogeze hadi ubungo..

Mara.."thi unaelekea mjini..nipige tafu..thi unajua huu usafiri wa public kupata taabu"

Mtu anakuganda hadi mnaanza kufanana kumbe hata huo ukwe haupo..

Wow like that..jaman I was just introducing myself here..you know am new so I was just gettn it started..don't quote me wrong plzz.

Hata kama ni mgeni ndo uje na story hizi
Inaonekena kweli ni katabia kako una kauchoyo hata kwa rafiki zako

Jamani nilikuwa najiintroduce hapa ..c unajua ugeni inabd utafute sthn unique kupata wafuasi..!!! Don't quote me wrong plz..
Wacha ni declare interest..

Samahani! Hivi gari yako ni aina gani? na ina thamani ya sh. Ngapi? Na wewe una umri gani? na umeanza kumiliki gari lini? Maana tunaweza kuanza kukuhukumu na ka babyworker chako (vitz) bure kumbe la mkopo. Maana umeshasema rafiki sasa malamiko ya nini?

Nyie watu wa hivyo hamjui life kabisa kuwa muwazi na kumweleza leo siwezi kukuchukua maana nampitia demu au kuna mahali napita na ningependa kuwa mwenyewe! Acha ushamba na roho ya korosho watu wanawabeba hata wasiowajua wanapohitaji msaada na hawalalamiki kama wewe

Jamani nilikuwa najiintroduce hapa ..c unajua ugeni inabd utafute sthn unique kupata wafuasi..!!! Don't quote me wrong plz..
Wacha ni declare interest..

Umechemsha na hiyo topic yako ya kujitambulisha maana ungekuja na kitu kingine
hapa unaonekana wa ajabu sana

unajua kuna uchoyo na usimangaji! aisee, sipendi tabia ya kumsimangia mtu. hawa ndo ukiwa na ndugu anasema koridoni 'choo kinajaa siku hizi' japo anawalisha ugali wa mbegu! muache bana, wallah gari ya pili na ya tatu ataona kawaida tu! unakumbuka ur 1st new pair of shoes? ama kompasi ulivyolipamba na sticker,lol!
Hata kama ni mgeni ndo uje na story hizi

Inaonekena kweli ni katabia kako una kauchoyo hata kwa rafiki zako

unajua kuna uchoyo na usimangaji! aisee, sipendi tabia ya kumsimangia mtu. hawa ndo ukiwa na ndugu anasema koridoni 'choo kinajaa siku hizi' japo anawalisha ugali wa mbegu! muache bana, wallah gari ya pili na ya tatu ataona kawaida tu! unakumbuka ur 1st new pair of shoes? ama kompasi ulivyolipamba na sticker,lol!

King'asti wacha fujo bana
nakumbuka raba zangu za kwanza nilienda kanisani kila mtu alijua nina raba mpya kwa namna nilivyokuwa natembea na kuzionyesha kila muda
Ni utoto akikua ataacha

Acha roho mbaya...eti mpaka anafanana na wewe.Kama hutaki kumpa hiyo lift siumwambie tu badala ya kuumwa roho akiwa amekaa kiti cha pembeni...

amesahau kuwa ngazi iliyompandisha juu inamngojea pale pale imshushe down.

Acha roho mbaya,urafiki kuvumiliana ukiona anakukosea mwambie ukweli acha maneno.Hayo majungu sasa.Wakati mwingne unatakiwa kuudhi nafsi yako kumfuraisha rafiki yako vile vile kumuuz rafiki yako,kufurahisha nafsi yako.Hayo ndio maisha.

Rafiki kila kukicha yupo mlangoni..mara ooh..nisogeze hadi ubungo..
Mara.."thi unaelekea mjini..nipige tafu..thi unajua huu usafiri wa public kupata taabu"
Mtu anakuganda hadi mnaanza kufanana kumbe hata huo ukwe haupo..

i hope uzeeni ni lazima utanunua uchawi kwa hiyo roho yako inavyoonekana.

Tell him/her. Kama vipi uza hicho kimkoko mpande basi wote uache kunyanyasika utapata ugonjwa wa moyo

Back
Top Bottom