Urafiki mjini taaabu tupu

Ts ma life..who cares lolQUOTE=Derimto;2380842]Samahani! Hivi gari yako ni aina gani? na ina thamani ya sh. Ngapi? Na wewe una umri gani? na umeanza kumiliki gari lini? Maana tunaweza kuanza kukuhukumu na ka babyworker chako (vitz) bure kumbe la mkopo. Maana umeshasema rafiki sasa malamiko ya nini? <br />
<br />
Nyie watu wa hivyo hamjui life kabisa kuwa muwazi na kumweleza leo siwezi kukuchukua maana nampitia demu au kuna mahali napita na ningependa kuwa mwenyewe! Acha ushamba na roho ya korosho watu wanawabeba hata wasiowajua wanapohitaji msaada na hawalalamiki kama wewe[/QUOTE]<br />
<br />
 
Rafiki kila kukicha yupo mlangoni..mara ooh..nisogeze hadi ubungo..
Mara.."thi unaelekea mjini..nipige tafu..thi unajua huu usafiri wa public kupata taabu"
Mtu anakuganda hadi mnaanza kufanana kumbe hata huo ukwe haupo..

ndio tukujue ktk JF kuwa una gari? haaaaaa haaaaa Acha uchoyo , kama kitu kinakuuuma si umwambie tu..? ya nn kulalamika?
 
Back
Top Bottom