Urafiki kupitia mtandao

Urafiki kupitia mtandao

Kiukweli mitandao ya kijamii imetukutanisha wengi na inasaidia sana kufahamiana pamoja na mambo mengine

Lakini kwangu mimi kila binti niliyefahamiana naye kupitia mitandao ya kijamii au simu za kiganjani tumeishia nyumba za wageni na kugegedana tena bila hata kutongoza sijui nakupenda sijui nakuona kwenye grass...yaani kiuraini tu.

Sasa najiuliza kwa wake za watu ambao mnachati kila kona sijui kama mnapona....?
 
Bahati mbaya...huwa nachagua Mimi na sio wewe kunichagulia...wewe ushaniambia nijiandae kuchojoa...ina onyesha nia yako si nzuri kabisa...[emoji125][emoji125][emoji125]
Sasa ukishajua intention si unajiandaa kukataa, mbona easy tuu
 
Basi hufai, maana hao Makaka zangu humu hawajawahi hata kunionyesha hiyo intention ....
Sasa haina effect kwangu maana usipokuwa dada angu sikuli ukiwa dada kuna garantee ya kuliwa huko mbeleni, so option zote fresh tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom